Showing posts with label UTAJIRI WA MAASKOFU TANZANIA. Show all posts
Showing posts with label UTAJIRI WA MAASKOFU TANZANIA. Show all posts

Sunday, May 3, 2015

VIONGOZI WA KANISA LA WADVENTISTA WASABATO TZ.

VIONGOZI WA KANISA LA WADVENTISTA WASABATO JIMBO KUU.

Viongozi wa kanisa la waadventista wasabato Jimbo kuu la kaskazini Mwatanzania pamoja na wafanyakazi wa ofisi hizo na wageni mbalimbali waliotembelea ofisi hizo na kupiga picha ya pamoja katika Mkutano wa wafanyakazi ulionza jumatatu tarehe 20na unategemewa kuisha tarehe 24/4/2015