Wednesday, July 6, 2016

Muhtasari: Habari kuu leo Jumatano



Miongoni mwa habari kuu leo, watu waliofariki shambulio la Baghdad wamefika 250 na mfalme wa Saudi Arabia ameahidi kuchukua hatua baada ya mashambulio Medina.

1. Waliofariki shambulio Baghdad wafika 250

ISImage copyrightAP
Image captionKundi la Islamic State limedai kuhusika
Wizara ya afya nchini Iraq inasema kuwa idadi ya watu ambao sasa wanajulikana kuuawa kwenye shambulizi la kujitolea mhanga siku ya Jumapili mjini Baghdad imeongezeka hadi watu 250.
Shambulizi hilo ambalo kundi la Islamic State lilidai kutekeleza, ndilo baya zaidi kuwai kutokea mjini Baghdad tangu Marekani iongoze uvamizi nchini Iraq mwaka 2003.
Ripoti ya Uingereza kuhusu uvamizi huo inatarajiwa kuchapishwa hii leo. Mwenyekiti wake anasema ana matumaini kuwa ripoti hiyo itahakikisha kuwa kuingilia kati kwa njia ya kijeshi kiwango kama hicho, hakuwezi kutokea siku za usoni bila ya kufanyika udadisi kwa njia ya uangalifu mkubwa.

2. Mfalme wa Saudia kukabili hatari ya mashambulio

Image copyrightAFP
Mfalme Salman wa Saudi Arabia ameahidi kuchukua hatua kufuatia misururu ya mashambulizi ya kujitolea mhanga.
Akiyataja makundi yenye itikadi kali, Salman alisema kuwa atawakabili vikali wale wanaojaribu kuvuruga akili za vijana wake. Alikuwa akiongea siku moja baada ya maafisa wanne wa usalama kuuawa na bomu karibu na eneo takatifu mjini Medina.
Pia kulikuwa na mashambulizi mengine mawili maeneo tofauti ya nchi hiyo. Inaaminika kuwa Islamic State ndio walihusika kwenye mashambulizi hayo ambayo yamelaaniwa na madhehebu ya Sunni na Shia.

3. Mwanabalozi aliyetekwa Nigeria aachiliwa huru

Naibu balozi wa Sierra Leone nchini Nigeria ambaye alitekwa nyara Ijumaa iliyopita ameachiliwa huru. Meja Jenerali alitekwa nyara katika mkoa ulio kaskazini wa Kaduna, akiwa na dereva wake raia wa Nigeria.
Taarifa kidogo imetolewa na maafisa kutoka nchi zote lakini anaripotiwa kuwa katika afya nzuri. Afisa kutoka nchini Sierra Leone anasema kuwa hakuna fidia ililipwa.
Visa vya utekaji nyara ni tatizo kusini mwa Nigeria lakini sasa vinasambaa kwenda kaskazini mwa nchi.

4. Amnesty yasema maelfu wameathirika kiakili Sudan Kusini

Shirika la Amnesty International linasema kuwa maelfu ya watu nchini Sudan Kusini wana matatizo ya akili yanayotokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe na wengi hawana matumaini ya kupata matibabu.
Amnesty inasema kuwa watu wamelazimishwa kula nyama ya binadamu wakati wa mzozo huo ambao ulianza mwishoni mwa mwaka 2013.
Inasema kuwa kuna uhaba mkubwa wa huduma za kiafya kote nchini humom huku mara nyingi watu walio na matatizo ya akili hufungiwa gerezani.

5. Obama ampigia kampeni Clinton

Image copyrightAP
Rais wa marekani Barack Obama ameonekana kwa mara ya kwanza kwenye kampeni ya mgombea urais wa Democtratic Hillary Clinton. Mapema shirika la ujasusi nchini marekani FBI liolisema kuwa hakuna mashtaka dhidi ya Bi Clinton kuhusu kutumia E-mail yake ya kibinafsi kutuma na kupokea ujumbe wa siri wakati akiwa waziri wa mashauri ya nchi za kigeni. Hata hivyo mpinzani wake wa Republican amesema kuwa Bi Clinton kutofunguliwa mashtaka inaonyesha kuwa uchaguzi tayari umevurugwa

Donald Trump praises Saddam Hussein



TrumpImage copyrightGETTY
Image captionTrump has said Saddam had killed 'good' terrorists
Presidential candidate of the Republican Party in the United States Donald Trump has praised Iraq's former leader Saddam Hussein, saying he could better deal with the terrorists.
Mr. Trump was addressing a rally in the state of North Carolina area Tuesday he started talking about the leader strangled in December 2006.
"Saddam Hussein was bad, really? ... But you know what it is he can do very well?He killed the terrorists. He did it very well, "Trump said.
"Hawakuwasomea their rights, have not said anything. They were terrorists, their stuff already. "
Mr. Trump has previously been said that the world would be "100 percent better than now" if authoritarian leaders like Saddam Hussein and long-time leader of Libya Muammar Gaddafi would have been still in power.
Before the US-led invasion, when Saddam was ousted, Iraq was listed by the Ministry of Foreign Affairs of the United States as a nation linalofadhili terrorism.
SaddamImage copyrightGETTY
Image captionSaddam Hussein led Iraq from 1979 to 2003
Chief adviser to Hillary Clinton on policy, has responded to statements by Mr. Trump said that: "Characteristics of Donald Trump for totalitarian leaders potentially limitless."
He said such statements suggest "how it would be dangerous (to be Trump) the Commander in Chief and how unfit to serve as president.

Mameya wawili wa Rwanda mahakamani



Mahakama mjini Paris- Ufaransa leo inataraji kutangaza hukumu dhidi ya mameya wawili wa zamani raia wa Rwanda wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya kimbari yaliyofanyika nchini Rwanda mwaka 1994.Upande wa mashitaka ulikuwa umeomba kifungo cha maisha dhidi ya mameya hao.Kesi dhidi ya mameya hao wa zamani raia wa Rwanda imekuwa ikisikilizwa na mahakama ya mjini Paris-Ufaransa ;ambapo Bwana Octavier Ngenzi na Tito Barahira wanatuhumiwa kupanga na kuongoza mauaji dhidi ya watutsi katika wilaya ya Kabarondo mashariki mwa Rwanda.Mameya hao waliongoza wilaya hiyo kwa kufwatana kwanzia mwaka 77 hadi 94.Kulingana na mwendesha mashitaka walitumia madaraka na uwezo waliokuwa nao na kuamuru mauaji makubwa yaliyotokea katika kanisa la Kabarondo tarehe 13 mwezi wa nne mwaka 94 .
Watutsi wapatao elfu mbili waliokuwa wamejificha ndani ya kanisa hilo waliuawa kwa siku moja.washitakiwa wanakana kuhusika kwao katika mauaji hayo.Kesi hii imedumu kwa miezi miwili ambapo pia walisikizwa mashahidi walioshuhudia mauaji ndani ya kanisa hilo.Mwaka 2009 mameya hao wakiwa uhamishoni walihukumiwa na mahakama za jadi maarufu Gacaca kifungo cha maisha jela kwa kuwakuta na hatia ya mauaji ya kimbari .Hii ni kesi ya pili ya mauaji ya kimbari kusikilizwa na mahakama ya Ufaransa baada ya mahakama hiyo kutoa hukumu ya kifungo cha miaka 25 jela dhidi ya afisa wa zamani wa jeshi Captain Pascal Simbikangwa kwa hatia ya mauaji ya kimbari.

Tuesday, July 5, 2016

DK. KIGWANGALLA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KUJADILI KUHUSU HOSPITALI YA MLONGANZIRA NA UJIO WA MOBILE CLINIC


 

Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa na urafiki na Korea na katika kulidumisha hilo, Balozi wa Korea nchini, Song Geum-young amemtembelea Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla na kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu ushirikiano wa Korea na Tanzania zaidi katika sekta ya afya na jinsi Korea ambavyo imekuwa ikisaidia uboreshwaji wa huduma za kiafya nchini.

Akizungumza na Mo Blog kuhusu ugeni huo, Dk. Kigwangalla alisema kuwa balozi Geum-young alitaka kujua kama naibu waziri anafahamu kuhusu ujenzi wa chuo na hospitali ya Mlonganzira ambapo alitaka kufahamu kama serikali itakuwa tayari kutoa watumishi wa afya 900 ambao watahudumia hospitali hiyo.

Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na balozi wa Korea nchini, Song Geum-young kuhusu uhusiano wa Tanzania na Korea na jinsi ambavyo nchi hiyo imepanga kuendelea kuisaida Tanzania katika kuboresha huduma za kiafya nchini. (Picha zote na Rabi Hume, MO Blog)

Katika hilo Dk. Kigwangalla alimuhakikishia balozi kuwa serikali ipo tayari kutoa wataalam wa afya ambao watakuwa wakitoa huduma katika hospitali ya Mlonganzira ambayo itakuwa na vifaa vya kisasa kutoka Korea na itakuwa na vitanda 600 ambavyo vitakuwa vinatumiwa na wagonjwa wanaofika kupata huduma.

Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akifanya mazungumzo na balozi wa Korea nchini, Song Geum-young, alipofika ofisini kwake kwa ajili ya kuzungumza mambo yanayohusu mahusiano ya Tanzania na Korea.

Jambo lingine ambalo walizungumza ni kuhusu msaada wa magari ya kutolea huduma za kiafya ambayo yanatembea ‘mobile clinic’ ambayo yatatolewa kwa kanda zote nchini na zaidi katika maeneo ambayo yanaonekana kuwa na ugumu kufikika na kuwa na vituo vya afya vichache.

Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na balozi wa Korea nchini, Song Geum-young, wa kwanza kushoto ni Katibu wa Balozi wa Korea, Songwon Shin na wapili kulia ni Katibu wa Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Kulwa.

“Amesema watatuletea convoy zaidi ya sita (kila moja ina magari 10) ambayo yatagawiwa kwa kila kanda nchini, magari haya kila gari linakuwa na mengine 10 ambayo yanakuwa na huduma mbalimbali za kiafya kama chumba cha upasuaji, store ya madawa, maji na mengine ambayo yanahitajika kutoa huduma kwa mgonjwa,” alisema Dk. Kigwangalla.

Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla na balozi wa Korea nchini, Song Geum-young wakipiga picha ya pamoja baada ya kumaliza mazungumzo.

Aidha aliongeza kuwa magari hayo ya kutolea huduma za afya ambayo yanatembea ‘mobile clinic’ yanataraji kuletwa nchini mwakani mwezi Januari na kwasasa wizara imetakiwa kuandika andiko la mradi ili kuonyesha kuwa imekubali kuingia katika mradi huo ambao kwa kiasi kikubwa utaweza kurahisisha upatikanaji wa huduma za kiafya kwa maeneo ambayo yana vituo vichache vya afya.
Na Rabi Hume, MO Blog

Katibu wa Balozi wa Korea, Songwon Shin akibadilishana mawasiliano na Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla katikati ni balozi wa Korea nchini, Song Geum-young.

Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akiagana na balozi wa Korea nchini, Song Geum-young baada ya kumaliza kufanya mazungumzo.

India's Modi expands cabinet into one of biggest in recent years

India's Modi expands cabinet into one of biggest in recent years

By Rajesh Kumar Singh
NEW DELHI, July 6 (Reuters) - Indian Prime Minister Narendra Modi inducted 19 new ministers into his cabinet on Tuesday to bolster his two-year-old administration but drew criticism that he was backtracking on a promise of lean government.
The Indian government late on Tuesday released details of the new portfolios. Modi has moved his minister for human resources, Smriti Irani, seen as a close ally, to the textiles ministry. The minister of state for finance, Jayant Sinha, was shifted to aviation.
Prakash Javadekar, who was sworn in earlier in the day at a ceremony at the presidential palace, took on Irani's former portfolio.
Among other big changes, Finance Minister Arun Jaitley dropped his additional charge as information and broadcasting minister.
Modi's cabinet has now swelled to 78 - one of the biggest in years and a far cry from his 2014 election promise of "minimum government and maximum governance".
"If this was a reform-minded government, you would be reducing the numbers of people and portfolios, shedding ministries," said Manoj Joshi, a political expert at Observer Research Foundation in New Delhi.
"What you can read from this is that it is not particularly efficient or concerned about governance," Joshi said, referring to Modi's ruling Bharatiya Janata Party.
Modi swept to power in May 2014 on a promise of jobs and growth. Critics have questioned his government's performance and political analysts say the ruling party suffers from a shortage of experienced members.
A number of new ministers hail from India's "backward" castes, members of which are widely expected to play a critical role in an election in the most populous state of Uttar Pradesh next year.
That state election is likely to have a bearing on Modi's bid to retain power in a general election due by 2019.
"His eyes are set on his re-election in 2019," said Neerja Chowdhury, an independent political analyst. "He has given representation to the social groups that voted for him in the last general election." (Additional reporting by Tommy Wilkes and Malini Menon; Editing by Janet Lawrence)


Read more: http://www.dailymail.co.uk/wires/reuters/article-3675889/Indias-Modi-expands-cabinet-one-biggest-recent-years.html#ixzz4DZLTFqFg
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook

India's Modi expands cabinet into one of biggest in recent years

India's Modi expands cabinet into one of biggest in recent years
NEW DELHI, July 6 (Reuters) - Indian Prime Minister Narendra Modi inducted 19 new ministers into his cabinet on Tuesday to bolster his two-year-old administration but drew criticism that he was backtracking on a promise of lean government.The Indian government late on Tuesday released details of the new portfolios. Modi has moved his minister for human resources, Smriti Irani, seen as a close ally, to the textiles ministry. The minister of state for finance, Jayant Sinha, was shifted to aviation.Prakash Javadekar, who was sworn in earlier in the day at a ceremony at the presidential palace, took on Irani's former portfolio.Among other big changes, Finance Minister Arun Jaitley dropped his additional charge as information and broadcasting minister.Modi's cabinet has now swelled to 78 - one of the biggest in years and a far cry from his 2014 election promise of "minimum government and maximum governance"."If this was a reform-minded government, you would be reducing the numbers of people and portfolios, shedding ministries," said Manoj Joshi, a political expert at Observer Research Foundation in New Delhi."What you can read from this is that it is not particularly efficient or concerned about governance," Joshi said, referring to Modi's ruling Bharatiya Janata Party.Modi swept to power in May 2014 on a promise of jobs and growth. Critics have questioned his government's performance and political analysts say the ruling party suffers from a shortage of experienced members.A number of new ministers hail from India's "backward" castes, members of which are widely expected to play a critical role in an election in the most populous state of Uttar Pradesh next year.That state election is likely to have a bearing on Modi's bid to retain power in a general election due by 2019."His eyes are set on his re-election in 2019," said Neerja Chowdhury, an independent political analyst. "He has given representation to the social groups that voted for him in the last general election." (Additional reporting by Tommy Wilkes and Malini Menon; Editing by Janet Lawrence)


KADI ZA VISA ZA BANCABC KUPUNGUZA WIZI WA PESA..................


Mkuu wa Kitengo Cha wateja binafsi na wafanya baishara wadogo wa BancABC, Bi Joyce Malai akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kadi ya VISA ya BancABC maalum kwa wateja wao na hata wasio wateja wao. BancABC imezindua kadi hiyo ya Visa ili kupunguzia wateja adha kubwa ya kubeba fedha tasilimu wanaposafiri ndani na nje ya nchi. hafla ya uzinduzi ilifanyika jana viwanja vya sabasaba 
Mkuu wa Masoko wa BancABC, Bi Upendo Nkini, akielezea faida za kadi Mpya ya VISA ya BancABC inayomwezesha mteja kufanya malipo ya mtandaoni kwa urahisi kwa kuwa kadi hiyo inalindwa kwa kutumia teknolojia mpya ya CHIP na PIN.
Wafanyakazi wa BancABC kitengo cha huduma kwa wateja Bw, Ally Miraji kushoto na Bi Neema David wakimuhudumia mmoja wa wateja aliyekuwa akichukua kadi ya VISA ya BancABC bw, Fredrick Israel katika banda la Bank hiyo viwanja vya sabasaba. BancABC imezindua kadi hiyo ya Visa ili kupunguzia wateja adha kubwa ya kubeba fedha tasilimu wanaposafiri ndani na nje ya nchi na kwamba ni njia bora ya kufanya malipo kupitia mitandao kwa kuwa imeunganishwa na mitandao ya simu kama Airtel Money, TigoPesa, na Mpesa. mteja ili kupata kadi hiyo sio lazima awe na akaunti ya BacABC. hafla ya uzinduzi ilifanyika jana viwanja vya sabasaba
Wafanyakazi wa BancABC kitengo cha huduma kwa wateja Bw, Ally Miraji kushoto na wenzake wakitoa huduma ya maelekezo kwa bw, Ahmad Ibrahim kuhusu matumizi ya kadi mpya ya VISA ya BancABC katika viwanja vya sabasaba. BancABC imezindua kadi hiyo ya Visa ili kupunguzia wateja adha kubwa ya kubeba fedha tasilimu wanaposafiri ndani na nje ya nchi na kwamba ni njia bora ya kufanya malipo kupitia mitandao kwa kuwa kadi hiyo imeunganishwa na mitandao ya simu kama Airtel Money, TigoPesa, na Mpesa hafla ya uzinduzi ilifanyika jana viwanja vya sabasaba.
——————-
Kadi ya VISA ya BancABC ndio kadi pekee inayohudumia wateja wa huduma za fedha za mitandao ya simu. 
BancABC, ambayo ni sehemu ya Atlas Mara, imekuja na tiba ya kukithiri kwa wizi wa pesa ambao husababishwa na baadhi ya watu kuzunguka na fedha nyingi mifukoni mwao kwani imeanzisha kadi mpya ya Visa ambayo itaweza kujazwa pesa kwa kutumia shilingi ya Tanzania, Rand ya Afrika Kusini, Dola ya Kimarekani, Euro na Pauni ya Uingereza. 
Akizungumza Jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo Cha wateja binafsi na wafanya baishara wadogo, Bi Joyce Malai alisema kadi hiyo itaweza kutumiwa na wateja walio na wasio na akaunti za BancABC na kwamba itawapunguzia adha kubwa ya kubeba fedha tasilimu wanaposafiri nadani na nje ya nchi na kwamba ni njia bora ya kufanya malipo kupitia mitandao. 
Alisema watatumia maonesho ya Saba Saba kuitangaza kadi hiyo na wateja wataweza kupata kadi ndani ya muda mfupi baada ya zoezi fupi la usajili ambalo ni papo kwa papo. “Ukiwa na kadi hii utaepuka usumbufu mkubwa mno kwani huhitaji kubeba fedha tasilimu na pia sio lazima uwe na akaunti ya benki,” alisema. 
Alisema watumiaji wataweza kupata huduma masaa 24, siku saba kwa wiki mahali popote kupitia ATM zaidi ya 400 zenye huduma ya Visa nchini Tanzania ambapo ATM za aina hii zinafikia milioni 1.3 duniani na pia watumiaji wanaweza kufanya miamala kwa watoa huduma zaidi ya 1000 Tanzania na zaidi ya milioni 35 duniani kote. 
“Tumepata ushuhuda na mrejesho mzuri kutoka kwa wateja wetu ambao wana watoto wanaosoma nje ya nchi kwani wanaweza kuwatumia fedha za kujikimu kila mwezi bila kuingia gharama za ziada,” alisema.
“Kinachofaya kadi hii ya Visa iwe ya kipekee ni pale ambapo mteja anaweza kuweka fedha kwenye kadi kwa kutumia huduma ya kutuma pesa kupitia simu ya mkononi yoyote na tunajivunia kuwa benki yetu ndio yenye huduma hii pekee kwa sasa,” alisema.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Masoko, Bi Upendo Nkini, faida nyingine za kadi hiyo ni kama vile kufanya malipo ya mtandaoni kwa urahisi zaidi, kuthibiti matumizi kwani utatumia kiasi cha fedha kilichoko kwenye kadi pekee na pia kuwa na amani kwani pesa zinakuwa salama kwani kadi inalindwa kwa kutumia teknolojia mpya ya CHIP na PIN.
Alisisitiza kuwa hii ndio kadi pekee ya Visa Tanzania ambayo unaweza kutumia kwa ruzuku tano ambazoni shilingi ya Tanzania, Rand ya Afrika Kusini, Dola ya Kimarekani, Euro na Pauni ya Uingereza na kwamba kadi hiyo, ambayo inaweza kutolewa kwa mtu kama zawadi, inaweza kutolewa nyingine pindi inapoibiwa au kupotea.
“Kadi hizi zitapatikana katika banda letu lililoko katika maonyesho ya Saba Saba Ukumbi wa Kimataifa lakini pia unaweza kutuma ujumbe mfupi wenye neno VISA ikifuatiwa na Wilaya uliyopo , kwenda namba 15774,” alisema.
Atlas Mara iliinunua BancABC in Juni 2014 huku ikizidi kujitanua Tanzania, , Botswana, Mozambique, Zambia na Msumbiji. Baada ya hapo ilinunua benki mbili nchini Rwanda (BR Commercial na BPR ambazo zinaendelea kukamilisha mchakato wa kuungana).