Friday, February 5, 2016

Tumaini wakiwa katika ubora wa Msalaba.

Kwaya ya mkwawa wakisindikiza S.s

Shule ya Sabato yaendelea kundira hapa chuoni Iringa Karibuni Sana

Jamani tujitaidi kufika Rucu Tayari waki fanya mambo

Picha za uthalilishaji inchini India thidi ya watanzania

Tanzania ni miongoni mwa inchi zenye wanafunzi inchini India ambapo imebainika kwamba wanafunzi hawa ubaguliwa na kupelekea vifo visivyo na sabsbu

Picha za warembo toka chuo kikuu Iringa.

Fremason yatoa fomu ya kujiunga na Sim numba.

07687777@7

Kambi ya umpinzani yatangaza Baraza lake la mawaziri

Mbowe na mawaziri vivuli muda huu. Kaskazini wang, ara

Ofis ya rais Tamisemi jafar maiko
Utumishi
Lucy molel

Makam muungano
Ali saleh A. Ali

PM bunge kazi na ajira
Esta bulaya

Sera na mipango
Halima mdee
Naibu silinde

Uchukuzi
Injinia mbatia
Will kambalo

Nishat
Mnyika na heche

Maambo ya nje
Msigwa

Kilimo
Makdalena sakaya

Ulinzi
Juma hamad omar
Waitara naibu

Mambo ya ndani
Lema

Ardhi
Wilfred lwakatare

Maliasili
Estamatiko na pareso

Viwanda
Kalist komu

Elimu
Suzan limo

Afya
Dk godwin molel

Habar
Joseph mbiliny
Minja devota

Maji
Hasan bobali
Peter lijualikali

Katiba na sheria
Tundu lisu

Wednesday, February 3, 2016

Kutana na mwaipopo Ndani kolabo na Baraka

https://youtu.be/XOje8bbb3gA

Chadema kimemkabidhi ilani meya wa kinondoni.

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo kimemkabidhi Ilani Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob ili imuongoze katika utendaji wake. Anaandika Rorya Maendeleo

Akikabidhi ilani hiyo katika Ofisi za Manispaa kwa niaba ya chama, Mratibu wa Chadema Kanda ya Pwani, Kasmil Mabina amesema, anamkabidhi meya ili aweze kutekeleza ahadi za Chadema kwa wananchi kwa kuwa yeye ndiye muwakilishi wao.

Ilani hiyo imeorodhesha vipaumbele vya chama ikiwa ni pamoja na kushuhulikia suala la bomoabomoa, maji, elimu. Pia Chadema kimemtaka kuwaagiza madiwani kufuatilia na kuhakikisha waliobomolewa wanapata haki zao ikiwemo kulipwa fidia.

Mabina akisoma Ilani hiyo amesema, Jacob pia anajukumu la kushugulikia elimu katika Manispaa yake na kuhakikisha anakusanya mapato ya kutosha kama chama kilivyokuwa kinaahidi.

“Inatakiwa tujitahidi ili tuoneshe mfano kwa CCM na tuwaaminishe wananchi kwamba upinzani pia unaweza kuongoza vizuri. Ilani hii tuliyompa Jacob imetokana na katiba ya chama inayomtaka Meya na Madiwani kuisimamia manispaa na kuanda mipango kazi yake na kuwasilisha utekelezaji wake katika kikao kikuu cha chama,” amesema Mabina.

Jacob baada ya kukabidhiwa Ilani hiyo ameahidi kutekeleza yote aliyoagizwa na chama chake huku akiwataka wananchi kuendelea kumuamini katika utendaji wake.

“Nataka niwatoe hofu wananchi wangu kwamba, kukabidhiwa Ilani ya chama haimaanishi kwamba nitakuwa Meya wa wana Chadema au Ukawa tu, bali nitayachukuwa mazuri yote kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote,” amesema