Yaendelea mkutano watu Waurika kuliko kwaida.
Tuesday, June 16, 2015
KIGOMA YAWAKA MOTO.
ACT WAZALENDO WAJA KWA MBWEMBWE KIGOMA. cha kipia cha act yaendelea na operesheni majimaji Mkoani KIGOMA na kupata wanachama wengi kuliko waliyo tarajia wapinzani wao
Monday, June 15, 2015
Chuo cha rucu iringa kuboresha majengo
Chuo kikuu cha RUCU IRINGA yaendelea na uboreshwaji wa majengo ili kuongeza ufansi katika elimu ya juu hapa tanzania.
Pata picha mbalimbali hapa
ACT YATIKISA GEITI
Picha za operesheni majimaji geita na kupelekea wanachama wengi kujiunga na act
ACT WAZALENDO NI CHAMA KICHANGA SANA TANZANIA ILA MAKACHA SASA NI NAMBA TANO KWA UKUBWA NA KUFANYA WATU WENGI KUKIPENDA.
wanaichi wakiwa makini kusikiliza uongozi wa act geita
waki
ACT WAZALENDO NI CHAMA KICHANGA SANA TANZANIA ILA MAKACHA SASA NI NAMBA TANO KWA UKUBWA NA KUFANYA WATU WENGI KUKIPENDA.
wanaichi wakiwa makini kusikiliza uongozi wa act geita
waki
Sunday, June 14, 2015
KIMENUKA- KIGOGO WA CCM AMLIPUA LOWASSA,AMWITA LOWASSA NI MWIZI ,SOMA HAPA KUJUA ZAIDI.
KIMENUKA- KIGOGO WA CCM AMLIPUA LOWASSA,AMWITA LOWASSA NI MWIZI ,SOMA HAPA KUJUA ZAIDI.
http://fullhabari.blogspot.com/2014/09/kimenuka-kigogo-wa-ccm-amlipua.html
majanga ndani ya ccm kwa sasa kila mtu na yake.
![]() |
| WAZIRI wa Zamani wa Serikali ya wamu ya tatu na Nne, wa CCM Dr. Anthony Diallo na Mwenyekiti wa sasa wa CCM Mkoa wa Mwanza. |
Na karoli Vinsent
WAZIRI wa Zamani wa Serikali ya wamu ya
tatu na Nne, wa CCM Dr. Anthony Diallo na Mwenyekiti wa sasa wa CCM Mkoa wa
Mwanza, Diallo ambaye pia ni mmiliki wa Sahara Media,Star tv Radio Free,Kiss
fm,Gazeti la Msanii Afrika,ameibuka na Kumvaa Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward
Lowassa,
Lowassa ambaye ni Miongoni mwa Wasaka
urais ndani ya Chama cha Mapinduzi ambaye amejiapiza kufa na kupona na
kuhakikisha anachukua nafasi ya upangaji wa Ikulu ya Tanzania,
![]() |
| PICHANI NI WAZIRI MKUU ALIYEJIUZULU EDWARD LOWASSA |
Kile kinachoonekana na Vita ya Maneno
imeanza kati ya Diallo na Lowassa imezidi kuwa kubwa baada ya Diallo kuibuka na
kumjibu Lowassa kwenye mtandao wake hivi ndivyo alivyosema Diallo----
"Tuhuma za
Kundi la Makuwadi wa EL dhidi yangu hayana msingi wowote na kama ni kweli
Edward amewapa waziseme kwangu na kuhusisha Mheshimiwa Rais ni mwendelezo wa EL
kumdharau Rais ambaye alimpa madaraka makubwa na kosa likiwa kukubali ajiudhuru
baada ya kufanya madudu aliyoyafanya. Huu ni mwendelezo wa kumsumbus Rais ambao
ulianza tangu 2008 baada ya kujiuzulu uwaziri mkuu. Anayoyasema haya sipendi
kuyajibu ila kwa ajili ya kuweka kumbukumbu sawa, imebidi niyajibu lakini
nikizingatia kuwa sitaweza kuyajibu yale ninayoyajua chini ya kiapo:
1: Sijamtuma Mzee yeyote kwenda kwa Lowasa kwa sababu sio waziri mkuu tena na hata kama angekuwa bado waziri mkuu nisingeweza kumwambia mtu akaniombee vyeo kwa Lowassa. Hao wazee aliowataja wapo Mwanza na mnaweza kupata namba zao za simu na kuwauliza kama nilishawahi kufanya hivyo. Pili, mwaka 2003/4 haukuwa mwaka wa uchaguzi, ilikuwaje niende kuomba cheo wakati niliingia baraza la Mhe. Rais Mkapa 2001? Wakati huo Lowassa hakuwa waziri mkuu! Tatu, mwaka 2004 sijaonana na JK na Karamagi hajanishawishi kumuunga mkono JK mwaka 2005. Mimi ndiye niliyetumwa kumwambia Lowassa asigombee 2005 kwavile dhambi na tuhuma dhidi yake zilizotolewa na Mwalimu zilikuwa kwenye mioyo ya watanzania na asingeweza kupata kura za ushindi isipokuwa angempunguzia JK kura zake na wote kukosa. Karamagi tumekutana naye bungeni baada ya kuchaguliwa ubunge baada ya kifo cha Mhe. Kinyondo. Mimi nimezaliwa na kukua kwa kuzingatia nidhamu ya Kisukuma, sijalelewa kihuni kufika kumsema mtu kama JK. Namsema EL kwa sababu ni mchafu, na sasa sitayasema yaliyo mazito au machafu zaidi dhidi yake, hadi nitakapoona kweli kachukua fomu kugombea Urais! Mimi sijasema Lowassa alidhulumu CCM kupata hisa Vodacom, nilichosema CCM ilikuwa iwe mbia wa MTN, kampuni iliyonyimwa leseni wakijua fika kuwa ilikuwa ikisaidie chama, badala yake wakafanya njama kuvunja tume ya mawasiliano kihuni, na hapohapo wakaipatia vodacom leseni lowasa kwa kutumia watoto wake, alipata walikipata. Ushahidi kuhusu hili ni kampuni yake kupewa U-Super Dealer wa Vodacom ambayo uliwafanya wanufaike kwa kuuza simu nchi nzima.
Kama wanasema Lowassa ni mzima, naomba akakimbie uwanja wa Taifa azunguke hata mara moja kama hataishia ICU. Na kama ni mzima, anatumia fedha za nchi kwenda kutibiwa nini ujerumani kila wakati au Ujerumani nako siku hizi kuna waganga wa kienyeji? Pili kwanini alikwenda kuombewa kwa Emmanuel Ministries huko Nigeria? Kampeni za Urais zinahitaji afya nzuri, sio mzaha kuweka mgonjwa akatufia kwenye jukwaa! Kuhusu tuhuma ya rushwa toka kwa Kimaro, nina hakika Kimaro bado yupo hai, na kama ni mkweli aseme ukweli. Kimaro ni rafiki yangu na nilimshawishi akawekeza hoteli ya Nyumbani sasa ni JB Belmonte, Mwanza. Sijachukua fedha ili nimpatie kitalu kwavile yeye sio mwindaji na sijasikia kuwa ana hiyo biashara. Ninachofahamu ana mahoteli na ndiyo biashara yake. Rais yupo kama alishaniita kunieleza hilo anaweza akasema, ni mkweli. Tuhuma za mimi kuhongwa na Kimaro alizianzisha Lowassa baada ya mimi kutaka kumuondoa Mkurugenzi wanyama pori wizara ya Maliasili. Mkurugenzi huyo alikuwa na mahusiano naye na baadae walikuja kuoza watoto wao. Hilo kila mtanzania analifahamu, na alimtetea sana abaki wizarani wakati huo. Lowassa yupo kwenye mtandao wa yote yanayosemwa kuhusu wanyama pori. Pia tuhuma za kumtapeli aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Mhe Karume ndio nazisikia leo. Karume sijafika nyumbani kwake Zanzibar na wala hata alipokuwa Ikulu Zanzibar. Yupo na anaweza kuulizwa, ni mkweli atasema yaliyo kweli.
Huyo msichana anayesemekana nilimpa mimba, mhudumu wa Dodoma hotel, ndiyo namsikia leo, na kama yupo aniletee mtoto huyo kwani ndio nasikia kwenye watu wa Lowassa baada ya kuweweseka na machache tu tuliyoyaweka hadharani. Mwisho la kupewa fedha na mtuhumiwa wa IPTL nalo jipya simfahamu, labda Lowassa anamfahamu! Tatizo la huyu Lowassa, ni kupata URAIS, asipoupata sijui kama atabaki na afya ya kuridhisha. Anatuhumu watu tusiounga mkono jitihada zake tu, je wanaogombea watakuwa na hali gani mbele yake? Ushauri wa bure kwa wapambe wa Lowassa: Kuleni fedha yake maana ni halali yenu, fedha za kukwapua kwa njia zisizo halali ni haki ya kila mtu kuzitafuna, ila Urais hatopata.Kidumu Ccm kidumu chama tawala.
Burundi parliament approves two new members of electoral.
Burundi parliament
approves two new members of electoral commission
BUJUMBURA Burundi (Xinhua) -- Both chambers of the Burundian parliament have approved two new members of the National Independent Electoral Commission (CENI) who will replace two ladies resigned earlier this month.
The two new female members are Annonciate Niyonkuru and Alice Nijimbere, both Tutsi, replacing respectively of Spes-Caritas Ndironkeye who was the CENI Vice-President and Illuminata Ndabahagamye who was in charge of finance and administration.
At the National Assembly (lower chamber), the candidacies of the two were approved by 81 out of 82 MPs present at the plenary session, while at the Senate (upper chamber) 33 voted for them and 3 against.
“I am satisfied with the vote because the CENI is now going to be complete in accordance with Article 90 of the national constitution which provides that the CENI is composed of five commissioners from various political spheres and ethnic groups,” said Pascal Nyabenda, chairman of the ruling party, the National Council for the Defense of Democracy-Forces for the Defense of Democracy (CNDD-FDD).
Annonciate Niyonkuru, the future CENI Vice-President was the President of the first instance court of Ngozi in the northern province of Ngozi and Alice Nijimbere, the future commission in charge of finance and administration was working in the education sector at Matongo in the northern province of Kayanza.
On June 1, the two former members, both from the Union for National Progress, confirmed their resignation through separate letters sent to CENI President Pierre Claver Ndayicariye.
In their letters, they explained that “the prevailing political and security environment does not offer ideal conditions” for holding elections which are very important for the Burundian people.
With only three remaining commissioners, CENI could not make any decision as it required four out of its five commissioners to make decisions.
Burundi is to hold elections in June and July.
A new election schedule shows that legislative and communal polls will take place on June 29, the presidential election on July 15 and senatorial elections on July 24.

Subscribe to:
Posts (Atom)