Monday, October 26, 2015

mwana sanaa KIGWENDU ashindwa ubunge.............

kisarawe kigwendu chaliiiiiiiii

tabiri uchaguzi na ujishindie zawadi.

Kampuni ya rorya maendeleo yazindua tabiri na kujivunia ushindi
tunapenda kuwajulisha mashabiki wetu kwamba tutatoa zawadi kwa Mtu yeyote atakae tabiri matokeo katika jimboni kwake .

GEITA CCM KUIBUKA VINARA.

GEITA CCM KUIBUKA VINARA.

Majembe wa ccm washindwa majimbo kwao.

Chama cha mapinduzi ccm kimeshindwa kukitetea majimbo mawili yaliyokua yameshikwa na vigogo wake ndani ya Mkoa wa  Mara .vigogo hao ni pamoja na wasira toka jimbo  la  Bunda na Kabwe jumbo La Serengeti .

BUNDA MATOKEO TAYARI YANAPATIKANA HAPA.

ESTAR  BULAYA AMEIBUKA KIDEDEA KWA KUSHINGA KWA VISHINDO NA KUPELEKEA WASIRA KUZAMISHWA.KITU KILICHOFANYA WASIRA KUKIMBILIA DAR.

VIJANA WA VIGOGO WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WAENDELEA KUVUNA MAJIMBO.

Image result for january makamba.JANUARY Image result for ridhiwani kikwete

vedastus mathayo aibuka kidedea jimbo la musoma mjini.

MATHAYO MWAKA HUU AMEWEZA KUPATA AU KUKOMBOA JIMBO LA MUSOMA MUJINI KUTOKA MIKONONI MWA CHAMA CHA CHADEMA.Image result for vedastus mathayo