Thursday, December 17, 2015
Bomoabomoa kinondoni
Wizara ya ardhi ina haya kuhusu Bomoabomoa inayoendelea Bonde la Msimbazi
by Jesca TZA
Bomoabomoa bonde la Msimbazi imeanza tayari na baadhi ya nyumba tayari zimeshabomolewa katika eneo la Hananasifu, Kinondoni Charles Mkalawa ambaye ni Afisa mipango miji Wizara ya Ardhi alikuwa eneo la tukio na kuzungumza na millardayo.com kuhusu bomoabomoa inayoendelea katika baadhi ya meneo Wananchi hawkauwa na taarifa na bomoabomoa.."Serikali inabidi itambue hii hadithi ya kuwatafutia watu
Kilichomkuta kocha jose mourinho
Kilichomkuta kocha Jose Mourinho baada ya matokeo mabaya mfululizo…
by Jesca TZA
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England, Chelsea wameendelea kuwa na bahati mbaya baada ya kuendelea kupata matokea mabaya mfululizo. Kilichonifikia ni kuhusu kocha wa klabu hiyo ya Uingereza kufutwa kazi baada ya kuendelea na matokeo mabaya mfululizo. Bodi ya klabu hiyo chini ya mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich ilikuwa na kikao kizito jana
Davido na agness masogange
Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agness Masogange!
by Sandra Brown TZA
Wiki moja iliyopita, Mtanzania Agness Masogange alikuwa topic kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya post yake kwenye Instagram kuzua mjadala mkubwa na kuibua uvumi mkubwa sana kati yake na Davido staa wa muziki kutoka Nigeria. Masogange alipost kipimo cha ujauzito kwenye page yake ya Instagram, post iliyoibua mjadala mkubwa Nigeria na Tanzania na kuacha […
Wednesday, December 16, 2015
Waziri mkuu aliyopigwa ngumi
Waziri mkuu wa Hispania alivyopigwa ngumi katikati ya kampeni, tukio la pili ndani ya wiki by Millard Ayo Siku zinahesabika toka Waziri mkuu wa Ukraine alipobebwa juujuu akiwa bungeni, aliyembeba alijifanya kama anampelekea ua alafu baada ya kufika akambeba juujuu kabla hajashambuliwa kwa kipigo na baadhi ya waliokuwemo bungeni, sasa December 16 2015 habari ya zamu ya Waziri mkuu wa Hispania. Waziri mkuu wa Hispania Mariano Rajoy alipigwa ngumi usoni na kijana ambaye alikua
Mb dog nishidaaaa
Mabibi na Mabwana MB Dog katuletea hii single mpya ‘Sio Siri’ isikilize hapa…..
by Edwin TZA
Unapolitaja jina la Mb Dog au Dog Man tayari unajua ni nani anayezungumziwa ambaye kwa kipindi cha nyuma hit kama Latifa,Mapenzi kitu gani,Inamaana na zingine nyingi zilimueka kwenye headline na kuzungumziwa kila mara. Sasa time hii ametuletea hii single mpya iitwayo Sio Siri isikilize hapa http://www.hulkshare.com/embed.php?fn=afb6zzpgveo0 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard
Matukio 10 hatari
Matukio 10 hatari ambayo huwezi kuyaangalia mara mbili katika mechi ya mpira wa miguu (+Video& +18)
by Rama Mwelondo TZA
Soka imekuwa kama burudani nyingine ya kawaida kwa watu wa rika zote, siku hizi ni kawaida kuona mtu anapanga ratiba yake ya siku lakini usishangae kumuona katenga muda wa kwenda kuangalia mpira katika ratiba zake, licha ya kuwa ndio mchezo wenye mashabiki wengi duniani au ndio mchezo maarufu zaidi. Kuna baadhi ya matukio huwezi kutamani
Subscribe to:
Posts (Atom)