Friday, January 29, 2016

Kutana na samata hapa.

MARASIBORA MAJI NI HISTORIA NDEFU......

Maji bado ni story ndani ya Kata Kisumwa wilayani Rorya Mkoa Mara .ndani ya Kata hiki cha Kisumwa kulikua na mradi wa maji safi na salama toka kipindi cha baba wa taifa mwl.jk nyerere.na ilipo fika mwaka wa 1987 mradi huu ukapata kusimama kutokana na machine kuchoka kitu kilichopelekea Kata zima kukosa maji na kufanya wana Kisumwa kuishi kwa shida.ilipofka mwaka 2006 halmashauri ya wilaya Rorya chini ya mbunge lameck pamoja na Diwani malaki walileta wakandarasi na kuanza kazi ya kujenga mabomba mapya toka kijiji cha marasibora na nyanchabakenye ila ilipofika kuleta machine ya kusukuma maji toka sibora mpaka kwenye tank kubwa kilichojengwa kobwasa na kwa Mzee zephania nyanchabakenye kilikua chakavi kitu kilicho pelekea mwenyekiti wa kijiji cha marasibora wa kipindi hicho john akuti kigoma kusaini kupokea machine icho.ilipofika mwaka 2010 wakaja tena wengina na walichokifanya ni kuongeza tu mabomba ya kupamp maji toka chini ya arthi na wakaondoka pia mwaka 2013 walipo kuja wengine walichokifanya ni kuongeza ukubwa wa jengo la machine tu nakuondoka mpaka Leo nipesa nyingi zimetumika bila mafanikio kumbuka kwamba mpaka sasa wana marasibora na nyancha wana tumia maji yasiyo sala katika maisha yao yote.haya yalibainishwa na wana kijiji hicho walipo hongea na blog hii hapa kijijini kwao.
 
kumbuka ni kijana mwenye chini ya miaka kumi na leo hii amelazimika kutokwenda shule kutokakana na shuguli ya kutafuta maji.

mwenyekiti wa kitongoji cha karama bw.APIYO  katika picha iliyo pigwa karibu na mashine ya kupampia maji toka arthini katka mto Dago.
mkee wa NYAMBOCK katika shuguli ya kuchota maji karibu na jengo hilo maharufu kama dago.
picha ya mashine inayodaiwa kwamba inafanya kazi wakati toka kipindi cha mwl.j k mpaka leo akija badilishwa.
umeme nao mpaka leo ni historia kwani toka luku ya hofa toka tanesko ya unit 50 kwisha mpaka leo ni 0 kh.
Mzee jeckson yohana maharufu kama mkongwe wa kijiji.

Tuesday, December 29, 2015

Fc Barcelona yavunja mkataba na mchezaji....

FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid … by Rama Mwelondo TZA Mapenzi ya wachezaji katika vilabu fulani barani Ulaya, imekuwa kawaida hata kama hawavichezei. December 28 klabu ya FC Barcelona imeingia kwenye headlines baada ya kumsainisha mchezaji na kisha kufuta mkataba wake masaa machache baada ya kugundua kuwa ametweet vitu ambavyo vinaihusu timu ya Real Madrid. Baada ya kufuzu majaribio na Barcelona B Sergi Guardiola alisaini

Tuesday, December 22, 2015

LESONI SASA HII juma hili lote

Diamod interview

Full Interview ya Diamond Platnumz: Kwanini hakutokea White party Uganda, video ya Wema Sepetu, scene iliyomuhuzunisha na mengine by Millard Ayo Ni Interview ambayo mwimbaji Diamond Platnumz alihojiwa CloudsFM kwenye LeoTENA December 22 2015 ambapo ndani yake alizungumzia kutokutokea kwenye show ya Zari All White Party Uganda, video ya Wema Sepetu iliyosambaa akiimba wimbo wa Diamond na mengine mengi. Ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini utasikia yote aliyosema Diamond ikiwemo ya Mama yake alivyoigiza kwenye […]

Monday, December 21, 2015

PICHA ZA WAGENI WAKIWA NA WASHIRIKI WA KANISA LA NGOME HAPO JANA.

Picha za kipindi kupata chakula kanisani ngome.














FURAHA MPAKA KWA WATOTO


WAPISHI WAKIGAWA VYAKULA.

KWAKWELI TUNAKULA LAKINI TUNATIANA MOYO


KUMBUKA 
SILAA HATA WAKATI WA.......... 


MASTER HAPO PAMOJA NA KATIBU TUCASA.

SHEREHE ZIKAFATANA NA CHAKULA 

JEE WAMJUA MWENYEKITI WA KWAYA YA TUCASA?
KUTANA NA MZAMBIA HAPO KATIKA FURAHAAAAA......