...BEFORE MANDELA THERE WAS MWALIMU NYERERE A PHOTO FROM THE PAST
Nyerere in Rio De Janeiro, Brazil, June 1991...
Mwalimu Nyerere flanked by assistants, officials and bodyguards asking Freddy Macha about life in Brazil. Pic by Vantoen Perreira...
When we speak of great Africans and role models, an image of a smiling Nelson Mandela with those troubled but noble, yet kind shining eyes, comes to mind. Nelson Mandela is the chap that everyone wants to take a photo with. Twenty six years in jail for sticking his tongue at racial hatred, then stepping out of jail, waving a hand, smiling, saluting the world, forgiving…
Before Nelson Mandela there was Julius Kambarage Nyerere.
But who is Nyerere?
Many do not recognise the name. Known in his time as "Mwalimu", which means teacher in Swahili, Nyerere was born in 1922 and while still at Makerere University, Uganda, at the tender age of 21, started an association for the improvement of Africans. Those were colonial days. Two years passed. He wrote an essay: “The Freedom of Women.”
His father, a tribal chief, had 22 wives. It was part of the “idea of moving towards freedom theoretically,” he told Dr. Ikaweba Bunting of the Internationalist magazine in one of his last major interviews in 1999.
On July 7th, 1954, Mwalimu Nyerere formed TANU which led Tanzania to independence. Here the idea of using Swahili as a unifying language was hatched and fundamental in keeping the peace as there are more than hundred tribes and languages in Tanzania. “The only tribalism that exists in Tanzania is teasing each other.” Nyerere would say in one of his speeches, decades later. Between all this he found time to translate two works of William Shakespeare (Julius Caesar and Merchants of Venice) to Swahili.
Then came 1963...
Significant moment.
Nyerere, Haile Sellasie of Ethiopia and Kwame Nkrumah of Ghana formed Organisation of African Unity (nowadays known as the African Union) in Addis Ababa.
Those were tough times. Two years before, Congolese leader Patrice Lumumba had been murdered. A recent book by Ludo de Witte “Assassination of Lumumba” (Verso, 2003) claims that the then USA, President Eisenhower, sanctioned the CIA to hatch a plot to get rid of the Prime Minister.
Soon the same sinister forces toupled Ghana’s Kwame Nkrumah in the infamous military coup of 1966. He died, sadly, in exile a few years after, while Emperor Haile Sellasie was assassinated in a 1975 coup.
Nyerere was the only survivor…In 1965 he forged the Union between Tanganyika and Zanzibar islands to form Tanzania. 1967 the Arusha Declaration was made official policy thus turning Tanzania towards self reliance. It’s major aim was to improve the lives of the poor peasants who form more than 80% of the working population through an ideology of “Ujamaa” or familyhood.
By 1979, Nyerere led Tanzanian army to topple dictator Idi Amin of Uganda. Amin’s terror had ended the lives of almost half a million of his own people and forced multitudes into exile. During the short war Nyerere’s own son, a pilot, was amongst the casualties.
Mwalimu Nyerere resigned in 1985 the second leader in Africa (other was Leopold Senghor of Senegal) to relinquish power willingly. He had wanted to do so much earlier but was requested to carry on by the ruling CCM party because of the economic hardships following Idi Amin's war post- 1980.
Nyerere is revered not just for his national contribution but what he did internationally. Between 1963 till the time of Mandela’s freedom from prison, in 1990, Tanzania was home to many refugees from neighbouring countries still under colonial rule or civil trouble. To this day, she still is. UN sources, quoted by New African magazine in 2002 claimed half a million refugees camping peacefully in Tanzania. Speaking at a business dinner in London on May 2005, the former Ambassador of Tanzania to the UK, Mr. Hassan Kibello said there were at least 1.2 million refugees in Tanzania.
After resigning Mwalimu had many respected roles, one being chair of the South to South Commission. That is why he visited Rio De Janeiro.
This was an especially difficult time for Brazilians. A corrupt President Collor de Mello was in power. The following year Collor was to be impeached.
Mwalimu insisted on relations between Southern countries, by showing us a book that had just come out. The publication, “Challenge to South”, he promised, would soon be in various languages.
“Brazil is a South country. She should not only co-operate with the United Sates (which is wealthy) but take a leading position within Latin America; and also other parts developing countries, Angola, India, Mozambique, China…There is very little trade between South countries…”
During the question and answer session someone wondered how come Tanzania under Mwalimu had only one party? And what did he think of the recent surge of “multi-parties” in Africa?
Mwalimu explained:
“Democracy is not a bottle of Coca-Cola which you can import. Democracy should develop according to that particular country. I never went to a country, saw many parties and assumed that it is democratic. You cannot define democracy purely in terms of multi-partist parties…”
Speaking immediately, Secretary Abdeas Nascimento, added, that “there are thirty parties in Brazil, but no democracy!”
A big applause was heard from the audience.
Few moments after the speeches I went over to Mwalimu.
“What are you doing here?” He chuckled. He had not expected to meet any Tanzanian in Brazil. At close range Mwalimu was like a regular guy, no airs, extremely warm, relaxed, very welcoming, no arrogance, no intimidation. They call such individuals charismatic. Meeting them is like winning the lottery. You feel refreshed for a long, long time.
As we chatted local Brazilian photographer, Vantoen Perreira, snapped pictures.Eight years went by.
I was part of a long queue of mourners paying tribute to Mwalimu Nyerere’s coffin at London’s Westminster Cathedral. He had died of leukemia aged 77.
The mainstream press in the West did not say much. It made me wonder why do Africa’s bad guys get so much publicity while the good ones are unmentioned? There were brief shots from CNN and SKY plus a reasonable long narration by Euro-News television.
“He was untainted by corruption…the only African leader…” something of the sort.
A unique decent report was by Channel Four’s Jon Snow, who remembered interviewing Mwalimu back in the 1970’s at the height of the Southern Rhodesian (now Zimbabwe) conflict… “He tried to help his own people,” Snow recalled , “a rarity amongst African peers.”
I kept wondering, meantime, if Nyerere’s demise had been reported in the Brazilian media; and if so, by who. I also asked myself… how many from that day at Estaçio in June 1991, Rio De Janeiro, were aware of this remarkable man’s passing?
.
Viongozi wa kanisa la waadventista wasabato Jimbo kuu la kaskazini Mwatanzania pamoja na wafanyakazi wa ofisi hizo na wageni mbalimbali waliotembelea ofisi hizo na kupiga picha ya pamoja katika Mkutano wa wafanyakazi ulionza jumatatu tarehe 20na unategemewa kuisha tarehe 24/4/2015
MCHAWI MAARUFU ADONDOSHWA NA NGUVU ZA MUNGU VIJIJI VYA MSATA!
Makomandoo wa VHM wakiwa katika Operation ya kusambaratisha kazi za shetafajilini baada ya maombi mazito mama aliyekuwa na tumbo kubwa akidhaniwa ni mjamzito kumbe hakuwa na mimba yoyote. Baada ya maombi mazito chini ya usimamizi wa makomandoo ya Yesu kupitia VHM alijikuta akitapika meno ya mbwa, nywele na vitu visivyojulikana. Siku chache baadaye kutokana na nguvu ya maombi yaliyokuwa yakifanywa na makomandoo ya Yesu hapo kijijini saa 8.45alfajili mchawi aliyekuwa akiruka angani kuelekea Bagamoyo alivutwa na nguvu za Bwana na kujikuta akidondoka chini kutoka angani na hakuweza kufanya kitu chochote tena. On the picture is the famous witch who was on the witchcraft plane. Having overwhelmed by the power of God, the journey was not successful for he fell down when trying to cross the air where the VHM team led by Pastor Peter Mitimingi (who is Tanzania GLS leader) was settled for prayer and ministry in Bagamoyo, Coastal region, Tanzania. After falling, he could not do anything.
04. Njia za kupata mume au mke sahihi ( chaguo lako )
05. Utajuaje huyu ni chaguo lako?
06. Mambo yanayovunja uhusiano
07. Mambo ya kuzingatia ili kumaliza safari ya mahusiano salama kwa ushindi 01. UTANGULIZI Je, unazijua njia sahihi za kumpata mke au mume toka kwa Mungu? Je, umewahi kupenda au kupendwa?
Basi fuatana nami katika mfululizo wa somo hili ili tujifunze kwa pamoja katika somo hili la mahusiano.
02. CHANZO CHA NDOA ( MAHUSIANO KATI YA MUME NA MKE) Mwasisi wa ndoa ni Mungu mwenyewe. Tazama akawaambia, zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi. Tazama Mwanzo 1:28, 2:18. Kumbuka: Mke mwema hutoka kwa BWANA, Mithali 19: 14. 03. KUSUDI LA NDOA Kusudi pekee la ndoa ni kuendeleza uumbaji (uzao). Tazama Mwanzo 1:26- 28, pamoja na ushirika na kusaidiana, Mwanzo 2: 18 – 25. Hivyo kusudi la ndoa ni uzao, ushirika na kusaidiana.
04. NJIA ZA KUMPATA MKE AU MUME TOKA KWA BWANA. Njia ni mwongozo au dira inayomwongoza mtu kufika au kumaliza mwendo au safari yake. Kumbuka: Kila njia lazima iwe na masharti yake hivyo yakupasa kuifuata vizuri. Njia pekee ya kanisa au mwongozo wetu ni NENO la Mungu pekee ndio lenye mwongozo au njia ya kupata mke au mume toka kwa BWANA. Zifuatazo ni baadhi tu ya njia hizo:
(i) Jipate kwanza wewe mwenyewe vizuri Hivyo kabla ya mwenzi wako anza kwanza kujipata wewe mwenyewe. Luka 1:80, 2:52. Kumbuka: Usiingie kwenye mahusiano kwa dhana ya kujaribu(test). Ndoa hatujaribu bali tunatenda. Tatizo lao wengi ni kimo au kiwango (ufahamu) sahihi wa taasisi ya ndoa. Uanaume ni kupenda. Mwanaume wa ukweli haishii pale wanapoishia wengi (wengine) – Be a man. Jambo jingine la msingi hapa ni kujitambua wewe ni nani. Angalizo: Wanaume (vijana) wote waone wazuri, pia wanawake (mabinti) wote waone wazuri, lakini usiwabinafsishe wote. Elewa kuwa; Wanaume wote ni waume, lakini siyo wote ni waume zako. Wanawake wote ni wake, lakini siyo wote ni wake zako. Tembea ukijua kuwa wewe ni JIBU la mtu, hivyo tembea ukijua wewe ni mke au mume wa mtu.
(ii) Usitafute mke au mume. Mwanzo 2:7, 15, 18-23, 1Petro 5:7 Usijitaabishe/ usijihangaishe ni wapi utampatamke au mume, Mwachie Mungu akupe mke au mume kwani yeye ndiye mwasisi wa ndoa hivyo anajua ni yupi atakufaa katika maisha yako. Rejea kwa mzazi wetu wa kwanza Adamu; hakuhangaika kutafuta bali yelye alijikita kuilima na kuitunza bustani ya Edeni. Ndipo Mungu alipoona kuwa Adamu ana uwezo wa kuhimili ndoa, akampa Hawa kuwa mkewe.
(iii) Maombi na shukrani Filipi 4:4-7 Hupaswi kufanya mahusiano kabla ya kufanya maombi ili uone. Ukishamwona mwenzi wako hauhitaji kuomba wala kwenda kwa Mungu bali kwenda kwa Mchungaji ili kuendelea na mchakato wa kufikia hatma njema, Rum 8 24-25. Angalizo: Kuna mambo ya kuomba na yapo mambo ya kutenda (wajibu). ( Prayer is not a substitute to your responsibilities) Maombi ni ishara ya kuhitaji msaada na imani ni kupokea kwa shukrani ulivyoomba. Kumbuka: Mwenzi wako lazima maisha yake yakuguse, bila kujali hali, mazingira, elimu n.k. Mambo ya kuelewa katika mahusiano:
(a) - Ukimtamani mtu lazima utaanguka naye (kutenda dhambi)
- Ukimpenda mtu lazima utamjali (b) - Ukiwa mtu wa kuangalia au kuchunguza sana, lazima utabagua ( selective)
- Ukiwa mtu wa kutazama, lazima utapenda kwa kujali. Kumbuka: Mahusiano yanaanza kwa kuta za mana, Mawnzo 2:18-23 Hakuna kupenda bila gharama, Mwanzo 29:1-30. Tujenge mahusiano ili tupate akili ya kujuana vizuri. Lazima umjue mtu unaefanya naye mahusiano. Kuna msemo usemao: Ukishindwa kumpata umpendae, basi jitahidi kumpenda utakayempata. Jambo la msingi katika mahusiano ni kuweka mipaka
Usiwe na mazoea na maongezi au mazungumzo yasiyompa Mungu utukufu. (iv) Jitoe vema (kikamilifu) kwa ajili ya utumishi
Mwanzo 2:8, 15, 29:1-30 Endelea kuwa mwaminifu katika ibada na huduma na Mungu ajuaye haja za mioyo atakutendea mema.
Kumbuka: Kijana au binti ukikataliwa usimchukie mwenzako na kumwona amepoa kiroho, bali mshukuru Mungu maana amekuponya na matatizo, janga au msiba. Zaidi, nenda kaongeze kimo/kiwango chako cha ibada na utumishi. Angalizo: Kijana usijaribu kutongoza- yaani kumshawishi binti akubaliane na jambo asilolitaka, bali eleza ukweli wa maisha yako halisi.
Wapagani ndio wanaotongoza (danganya) kwa kujivika nafasi, vyeo na majina makubwa ya uongo ili wakubalike. Angalizo: Usimwoe binti wala usiolewe kwa kigezo/msingi wa kumwonea huruma (kumhurumia) mtu; kwa madai ya kumpunguzia matatizo au kuondoa kero za kukufuatilia kila siku.
Hatuoi kwa kuhurumiana, bali kwa msingi wa kupendana na mapenzi ya Mungu.
Ni vyema kuweka vigezo, lakini uwe tayari kuyaruhusu mapenzi ya Mungu kuchukua nafasi ya kwanza, kwani ndiye anayemjua vizuri huyo mwenzi wako. Math 26:36-44. 05. UTAJUAJE HUYU NDIYE CHAGUO LAKO. Kitu pekee kitakachojulisha na kuamua kuwa huyu ndiye mwenzi na chaguo lako maishani ni ile Amani ya Mungu (Kristo) itaamua ndani yako.
Amani ya Kristo ni sauti ya Roho Mtakatifu kuthibitisha kuwa upo mahali sahihi, Filipi 4:7 Kumbuka: Mke hatuonyeshwi, bali tunaona waziwazi, kama ilivyokuwa kwa Adamu, Mwanzo 2:19-25
Japo wakati mwingine Mungu anaweza kukuonyesha au kusema nawe; ila uwe makini sana hapa kwani zipo sauti kama tatu ma ukishindwa kupambanua utaumia mbele za safari.
Sauti hizi ni: Sauti ya Mungu Sauti ya dhamiri (mimi) Sauti ya shetani Angalizo/Onyo: Usionjeshe/usifungulie chemchem.
Usianze mahusiano ya kimapenzi (sexual intercourse) kabla ya au nje ya ndoa. Hii itakuwa ni ishara ya kuwa msingi wa mahusiano au ndoa yenu siyo upendo bali tamaa tu.
Biblia inatutahadharisha kutoyachochea wala kuyaamsha mapenzi hata yatakapoona vema yenyewe, Wimbo 4:12, 2;7, 3;5
Hapa mapenzi yanafananishwa na chemichemi iliyofungwa, siku itakapofunguliwa itaendelea kutamani kufunguliwa kila siku hata utakapokuwa ndani ya ndoa, utasumbua sana.
Ukishaonja utaendelea kuonja na kuonjesha na hapo ndipo mwisho wa uthamani wako na heshima yako. Tafadhali jitunze, ili uimailize safari yako salama na kwa ushindi. 06. MAMBO YANAYOVUNJA UHUSIANO. Yapo mambo mengi, lakini haya baadhi yana mchango mkubwa: (i) Maneno unayoyaongea/ yanayosemwa na watu wengine dhidi ya mwenzi wako.
(ii) Mwonekano wako: Ni vizuri kijana ukawa msafi (smart) na siyo kuwa ovyo ovyo (rough) Jifunze kuoga, kufua nguo zako, kujipaka mafuta, marashi n.k. (iii) Tabia ( haiba) ya asili ya mtu Mithali 30:11-14. Ni jambo jema hizi tabia za asili zikashughulikiwa mapema kabla ya ndoa, maana zinaweza kuleta shida ndani ya ndoa.
07. MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUMALIZA SAFARI YA MAHUSIANO HATA NDOA KWA USHINDI. Mwenzi anapaswa kuzingatia mambo yafuatayo ili kumaliza safari au mwendo wake salama:
(i) Uwe na kiasi (self control) yaani kuweka mipaka katika:
- Mazungumzo, 1 Kor 15:33
- Mazoea ya kijana na binti kuwa peke yao mafichoni.
- Usijirahisi eti kuonyesha unampenda mtu. ( uwe rahisi kuingilika na siyo kujirahisi). ( You can be simple, but don’t be cheap) (ii) Uwe na maono Mithali 29:18 Mtu mwenye maono ana malengo, mipango na mikakati. Katika mambo yake hajiendeiendei ovyo.
Panga unataka kuishi maisha ya namna gani. (iii) Jaa Neno na Roho Mtakatifu
Luka 4:1-15
Hii itakusaidia kuzipinga hila za mwovu ( shetani) (iv) Kimbia/Ondoka maovuni Mwanzo 39:5-23 Habari za Yusufu akikimbia pale alipotaka kubakwa na mke wa Potifa. Usijifanye wa kiroho sana na kujiamini kupita Neno la Mungu (Biblia) Angalizo: Wakati unapofanya jambo lisilo la kiroho kuwa la kiroho, utakuwa unasema uongo wa kiroho na kuzuia isionekane ile maana halisi ya Neno la Mungu. (v) Fanya maombi ya kufunga Dawa ya mwili ni kuunyima chakula, Galatia 5:16-21, Luka 18:1-7. Tiba ya magonjwa hayo ni kufunga ( kutoupa mwili chakula) UISHI MILELE
Mkuu wa majeshi ya Burundi Meja Jenerali Prime Niyongabo
Mkuu wa majeshi nchini Burundi Meja Jenerali Prime Niyongabo ametoa wito kwa wanasiasa kutotumia jeshi la taifa kwa manufaa yao ya kisiasa.
Jenerali Niyongabo amekariri tangazo lililotolewa na waziri wa ulinzi Jumamosi kuwa jeshi la nchi hiyo litahakikisha kuwa mkataba wa Arusha umetekelezwa kikamilifu na kuwa jeshi hilo halitumiwi na mtu au chama chochote cha kisiasa.
Kuhusiana na maandamano yanayoendelea, mkuu huyo wa jeshi amesema kuwa maandamano hayo sio halali na wanaichi wanapaswa kutumia mbinu za sheria zilizopo kutatua mizozo yao.
Polisi wa kuzuia ghasia wakikabiliana na waandamanaji katika mitaa ya Bujumbura nchini Burundi
Wakati huo huo Meja Jenerali Niyongabo amesema jeshi hilo litasalia kuwa lenye nidhamu ya hali ya juu na tiifu kwa taifa la Burundi na wala sio kwa mwanasiasa yeyote.
Ameongeza kusema kufikia sasa jeshi limefanya kazi nzuri kuhakikisha kuwepo kwa usalama nchini Burundi na katika mataifa mengine wanakohudumu katika vikosi vya Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika.
Mkuu huyo wa majeshi amesema wanajeshi wataendelea kushirikiana na polisi kushika doria ili kuhakikisha amani na utulivu vinakuwepo nchini Burundi.
Huku hayo yakijitokeza muungano wa upinzani umesema kuwa maandamano yataendelea siku ya Jumatatu baada ya mapunziko ya siku mbili.
Upinzani umepinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza ya kuwania muhula wa tatu kama rais.
Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Burundi wakisubiri kuondoka baada ya vyuo vikuu kufungwa kufuatia maandamano ya kupinga Rais Pierre Nkurunziza kuteuliwa na chama chake cha CNDD-FDD kugombea muhula wa tatu
Viongozi wa upinzani wanasema kuwa Rais Nkurunziza ni sharti atekeleze mkataba wa Arusha ambao ulimaliza mapigano ya wenyewe kwa wenyewe nchini Burundi.
Lakini chama tawala cha CNDD FDD kimepinga madai hayo na kusema kuwa Rais Nkurunziza anatumikia muhula wake wa kwanza kwa sababu, miaka mitano ya kwanza ilikuwa kipindi cha mpito na hakuchaguliwa na raia kama inavyohitajika kisheria.
Wakaazi wa mji mkuu wa Bujumbura wameshuhudia uhaba mkubwa wa bidhaa muhimu kama vile petroli, na kadi za simu za muda wa mazungumzo huku kukiwa na misururu mirefu katika vituo vya kununua mafuta.
Idadi kubwa ya raia wa Burundi wamekimbilia nchi jirani kwa hofu ya kuzuka mapigano zaidi.
Mkuu wa majeshi ya Burundi Meja Jenerali Prime Niyongabo
Mkuu wa majeshi nchini Burundi Meja Jenerali Prime Niyongabo ametoa wito kwa wanasiasa kutotumia jeshi la taifa kwa manufaa yao ya kisiasa.
Jenerali Niyongabo amekariri tangazo lililotolewa na waziri wa ulinzi Jumamosi kuwa jeshi la nchi hiyo litahakikisha kuwa mkataba wa Arusha umetekelezwa kikamilifu na kuwa jeshi hilo halitumiwi na mtu au chama chochote cha kisiasa.
Kuhusiana na maandamano yanayoendelea, mkuu huyo wa jeshi amesema kuwa maandamano hayo sio halali na wanaichi wanapaswa kutumia mbinu za sheria zilizopo kutatua mizozo yao.
Polisi wa kuzuia ghasia wakikabiliana na waandamanaji katika mitaa ya Bujumbura nchini Burundi
Wakati huo huo Meja Jenerali Niyongabo amesema jeshi hilo litasalia kuwa lenye nidhamu ya hali ya juu na tiifu kwa taifa la Burundi na wala sio kwa mwanasiasa yeyote.
Ameongeza kusema kufikia sasa jeshi limefanya kazi nzuri kuhakikisha kuwepo kwa usalama nchini Burundi na katika mataifa mengine wanakohudumu katika vikosi vya Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika.
Mkuu huyo wa majeshi amesema wanajeshi wataendelea kushirikiana na polisi kushika doria ili kuhakikisha amani na utulivu vinakuwepo nchini Burundi.
Huku hayo yakijitokeza muungano wa upinzani umesema kuwa maandamano yataendelea siku ya Jumatatu baada ya mapunziko ya siku mbili.
Upinzani umepinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza ya kuwania muhula wa tatu kama rais.
Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Burundi wakisubiri kuondoka baada ya vyuo vikuu kufungwa kufuatia maandamano ya kupinga Rais Pierre Nkurunziza kuteuliwa na chama chake cha CNDD-FDD kugombea muhula wa tatu
Viongozi wa upinzani wanasema kuwa Rais Nkurunziza ni sharti atekeleze mkataba wa Arusha ambao ulimaliza mapigano ya wenyewe kwa wenyewe nchini Burundi.
Lakini chama tawala cha CNDD FDD kimepinga madai hayo na kusema kuwa Rais Nkurunziza anatumikia muhula wake wa kwanza kwa sababu, miaka mitano ya kwanza ilikuwa kipindi cha mpito na hakuchaguliwa na raia kama inavyohitajika kisheria.
Wakaazi wa mji mkuu wa Bujumbura wameshuhudia uhaba mkubwa wa bidhaa muhimu kama vile petroli, na kadi za simu za muda wa mazungumzo huku kukiwa na misururu mirefu katika vituo vya kununua mafuta.
Idadi kubwa ya raia wa Burundi wamekimbilia nchi jirani kwa hofu ya kuzuka mapigano zaidi.