Tuesday, July 21, 2015

Magufuli kupandisha bei za kofia .

Kofia za dizaini hii. yazidi kupanda bei bahada ya mgombea wa ccm dr.john pombe magufuli kuonekana kulipenda sasa vazi hili kutokana na sifa za kiongozi huyo mwenye uwezo wa kukariri na kutunza kumbukumbu kwa hali ya juu zaidi vazi lake hilo limeonekana kuwa adimu sana toka kuchaguliwa na ccm .

Monday, July 20, 2015

JINSI YA KUONGEZA KIPATO WAKATI WA MASOMO.

JINSI YA KUONGEZA KIPATO WAKATI WA MASOMO.
 wajua  nijisi gani waweza kufanya shuguli za kilimo wakati wasoma chuo kikuu?
1.Akikisha kwamba umepanga tatiba yako vizuri.

2.Panga kuto kukaa bila kufata ratiba yako .
3.ogopa makundi ya starehe  yasiyo na tatiba ya zihada bahada ya vipindi kwisha.
4. hakikisha bustani au shamba lako kila siku inapata huduma toka kwako.

Sunday, July 19, 2015

Milipuko mitano yalikumba eneo la Gaza.

Milipuko mitano yalikumba eneo la Gaza

Milipuko Gaza
Takriban milipuko mitano iliyotokea katika ukanda wa Gaza imeharibu magari ya wanachama wa kundi la Hamas na makundi mengine ya Jihad
Haijabainika ni nani alihusika na mashambuli hayo.
Lakini wadadisi wanasema kuwa huenda ni makundi madogo yanayolipinga kundi la hamas ndiyo yaliotekeleza mashambulizi hayo.
Shambulizi hilo lilifanyika kwenye mtaa mmoja katika mji wa Gaza ambapo vikosi vya Hamas hivi majuzi vilimuua mwanamgambo aliyeunga mkono kundi la Islamic State.