Watu wakiendelea kupata sera motomoto kwa makanda wa act
Friday, September 18, 2015
Thursday, September 17, 2015
Kutana na Anna katika kampeni za Act
Mama machachari katka chama cha act wazaleo yupo kwenye harakati za hapa na pale ili kukijulisha umma thamira ya kweli toka chama hicho juu ya maendeleo.
Wednesday, September 16, 2015
TCU MAJINA YA WALIOKOSA VYUO MWAKA 2015/16 HAYA HAPAA
TCU YATOA MAJINA YA WALIO KOSA AWAMU YA KWANZA MAJINA YANAPATKANA HAPA http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Group%20(I_L).pdf WAWEZA Wasilia nasi kwa Sim No 0768441610 kujua jinsi ya kutuma maombi ya pili.
WAZIRI SAADA MKUYA AZINDUA KAMPENI.....
Waziri wa fedha , Bi Saada Mkuya azindua kampeni

Mgombea ubunge jimbo la Welezo, Waziri wa Fedha , Bi Saada mkuya akimwaga sera katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni jimboni. mkutana ulifanyika jana uwanja wa Kimara
Meza kuu ikimsikiliza kwa makini mgombea Ubunge wa jimbo la Weleze Bi Saada Mkuya(hayupo pichani) akijinadi na kumwaga sera. Mkutano huu pia ulihudhuriwa na mgombea uwakilishi wa jimbo hilo la Welezo, Hassan Hafidh (wa pili kulia waliokaa)
Wanachama na wapenzi wa CCM kutoka jimbo la Welezo waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya jimbo la Welezo jana huko Uwanja wa Kimara wakimsikiliza kwa makini mgombea ubunge wa jimbo hilo Bi Saada Mkuya Salum
Wanachama na wapenzi wa CCM kutoka jimbo la Welezo waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya jimbo la Welezo jana huko Uwanja wa Kimara.
Timu ya kampeni ya mgombea Ubunge wa jimbo la Welezo
ACT WAZALENDO JIMBO LA IRINGA WAZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE
ACT WAZALENDO JIMBO LA IRINGA WAZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE
Mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini Chiku Abwao akiwahutubia wananchi katika uzinduzi wa kampeni kwenye uwanja wa Mwembetogwa jana
Mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini Chiku Abwao akiwahutubia wananchi katika uzinduzi wa kampeni kwenye uwanja wa Mwembetogwa jana
Subscribe to:
Posts (Atom)