Waziri mkuu mstshafu bw.Raila Odinga wa kenya ametuma sama za kuwashukuru watanzania wote kwa kumchagua Dr. POMBE MAGUFULI kuwa Rais wa TANZANI kwa thamana ya kuliongoza inchi ndani ya miaka mitano.

Japo majembe ya ccm kukutana mjini Iringa ila hali bado ciyo zuri kwa chama hicho kwani mpaka sasa mwakalebela kabwagwa tena na msigwa.
llinzi wa mgombea ubunge jimbo la RORYA Bw. Owawa katika kampeni zake ndani ya kijiji cha marasibora.
M gombea Ubunge bwana OWAWA kwa tiketi ya chandema inayoungwa na umoja wa vyama (UKAWA)katka jukua ndani ya kijiji cha Marasibora
Wanakijiji cha marasibora wakiwa makini kipindi cha kampeni za Bw. Owawa ndani ya kijiji chao.