Wanachama wakipata kiapo cha kufunguliwa.
Saturday, November 28, 2015
Tuesday, November 17, 2015
Shule ya Msingi marasibora yabaki jina tu.
Shule ya msingi marasibora kata Kisumwa wilaya rorya imebainika ni magofu baada ya wanafunzi kusomea majengo yasiyo na madirisha wala milango.
Blog yetu ilipata kutembelea hapo shuleni.
Kweli Vijana wanashida Sana Kwani mpaka sasa wlm tunafanya kazi kwenye mazingira magumu Sana zaidi ya Sana miongoni mwa majipu hili nijipu kubwa na Tayari limesha hiva so tujipange kulitumbua tu.
J mosi ni gradwesheni chuo kikuu cha iringa.
Karbuni katka sherehe za gradwetion chuo kikuu cha iringa
Friday, November 13, 2015
Sunday, November 8, 2015
Saturday, November 7, 2015
Picha za mtoto aliyepotea.....
Balozi wa mtaa wa tumaini chuo Bi.Auko au Bimujey anapenda kuwajulisha watanzania kwamba Mtoto pochani hapo hameokotwa baada ya kubainika kwamba Dada wa kazi alichelewa kufika katka mazigra ya kumpokea Mtoto huyo kila siku.
Subscribe to:
Posts (Atom)