Friday, December 18, 2015

Anayetaka nafasi ya jose mourinho

Anayeitaka nafasi ya Jose Mourinho ni huyu hapa by Jesca TZA Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea kwa sasa haina kocha baada ya kumfukuza kazi kocha wao mkuu Jose Mourihno. Headlines za sasa zimemgeukia kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Ulolanzi Guus Hiddink ambye ametajwa kukaimu nafasi ya Mourihno na tayari amesafiri kwa ndege leo kwenda kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu

Ajali mbaya yatokea leo kitonga

Thursday, December 17, 2015

Kidumu kaokoka

Ni kweli Kidumu ameokoka? nini hasa kilitokea? majibu yote ninayo hapa by Millard Ayo Jina lake lilianza kutajwa na Watanzania wengi kupitia hit single zake kama ya 'haturudi nyuma' ft Juliana ni miaka imepita toka wimbo wake wa mwisho uwe kwenye TOP 10 ya Radio za Tanzania, sasa juzi zikatufikia habari kwamba Kidumu ameokoka na sasa hatoonekana akiimba muziki tuliozoea kumuona nao, ni kweli? ni kitu gani kilitokea hasa? […

Somo la leo

--- --- Sent by WhatsApp

Bomoabomoa kinondoni

Wizara ya ardhi ina haya kuhusu Bomoabomoa inayoendelea Bonde la Msimbazi by Jesca TZA Bomoabomoa bonde la Msimbazi imeanza tayari na baadhi ya nyumba tayari zimeshabomolewa katika eneo la Hananasifu, Kinondoni Charles Mkalawa ambaye ni Afisa mipango miji Wizara ya Ardhi alikuwa eneo la tukio na kuzungumza na millardayo.com kuhusu bomoabomoa inayoendelea katika baadhi ya meneo Wananchi hawkauwa na taarifa na bomoabomoa.."Serikali inabidi itambue hii hadithi ya kuwatafutia watu

Kilichomkuta kocha jose mourinho

Kilichomkuta kocha Jose Mourinho baada ya matokeo mabaya mfululizo… by Jesca TZA Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England, Chelsea wameendelea kuwa na bahati mbaya baada ya kuendelea kupata matokea mabaya mfululizo. Kilichonifikia ni kuhusu kocha wa klabu hiyo ya Uingereza kufutwa kazi baada ya kuendelea na matokeo mabaya mfululizo. Bodi ya klabu hiyo chini ya mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich ilikuwa na kikao kizito jana

Davido na agness masogange

Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agness Masogange! by Sandra Brown TZA Wiki moja iliyopita, Mtanzania Agness Masogange alikuwa topic kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya post yake kwenye Instagram kuzua mjadala mkubwa na kuibua uvumi mkubwa sana kati yake na Davido staa wa muziki kutoka Nigeria. Masogange alipost kipimo cha ujauzito kwenye page yake ya Instagram, post iliyoibua mjadala mkubwa Nigeria na Tanzania na kuacha […