Tuesday, December 22, 2015

LESONI SASA HII juma hili lote

Diamod interview

Full Interview ya Diamond Platnumz: Kwanini hakutokea White party Uganda, video ya Wema Sepetu, scene iliyomuhuzunisha na mengine by Millard Ayo Ni Interview ambayo mwimbaji Diamond Platnumz alihojiwa CloudsFM kwenye LeoTENA December 22 2015 ambapo ndani yake alizungumzia kutokutokea kwenye show ya Zari All White Party Uganda, video ya Wema Sepetu iliyosambaa akiimba wimbo wa Diamond na mengine mengi. Ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini utasikia yote aliyosema Diamond ikiwemo ya Mama yake alivyoigiza kwenye […]

Monday, December 21, 2015

PICHA ZA WAGENI WAKIWA NA WASHIRIKI WA KANISA LA NGOME HAPO JANA.

Picha za kipindi kupata chakula kanisani ngome.














FURAHA MPAKA KWA WATOTO


WAPISHI WAKIGAWA VYAKULA.

KWAKWELI TUNAKULA LAKINI TUNATIANA MOYO


KUMBUKA 
SILAA HATA WAKATI WA.......... 


MASTER HAPO PAMOJA NA KATIBU TUCASA.

SHEREHE ZIKAFATANA NA CHAKULA 

JEE WAMJUA MWENYEKITI WA KWAYA YA TUCASA?
KUTANA NA MZAMBIA HAPO KATIKA FURAHAAAAA......

Friday, December 18, 2015

Anayetaka nafasi ya jose mourinho

Anayeitaka nafasi ya Jose Mourinho ni huyu hapa by Jesca TZA Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea kwa sasa haina kocha baada ya kumfukuza kazi kocha wao mkuu Jose Mourihno. Headlines za sasa zimemgeukia kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Ulolanzi Guus Hiddink ambye ametajwa kukaimu nafasi ya Mourihno na tayari amesafiri kwa ndege leo kwenda kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu

Ajali mbaya yatokea leo kitonga

Thursday, December 17, 2015

Kidumu kaokoka

Ni kweli Kidumu ameokoka? nini hasa kilitokea? majibu yote ninayo hapa by Millard Ayo Jina lake lilianza kutajwa na Watanzania wengi kupitia hit single zake kama ya 'haturudi nyuma' ft Juliana ni miaka imepita toka wimbo wake wa mwisho uwe kwenye TOP 10 ya Radio za Tanzania, sasa juzi zikatufikia habari kwamba Kidumu ameokoka na sasa hatoonekana akiimba muziki tuliozoea kumuona nao, ni kweli? ni kitu gani kilitokea hasa? […