Thursday, November 10, 2016

DONALD TRUMP KUTUMIA GARI AINA YA CADILLAC ONE AMBALO LINA KILA AINA YA ULINZI

DONALD TRUMP KUTUMIA GARI AINA YA CADILLAC ONE AMBALO LINA KILA AINA YA ULINZI


 Ukilitazama kwa nje unaliona kama gari la kawada tu.
 

Ni Gari ndogo aina ya Cadillac One lakini lina uzito wa tani 9.
na lina uwezo wa kutembea usiku bila kuwasha taa zake za mbele kutokana na kufungwa kifaa maalum (lenzi).

Gari lina uwezo pia wa kutembea zaidi ya kilometa 100 likiwa lina pancha (umbali wa kutoka Dar hadi Chalinze) katika magurudumu lake .
Watalaamu wanaeleza kuwa endapo gari hilo litaanguka au kupata madhara yoyote rais anaweza kukaa ndani ya gari kwa saa 24 huku akitumia hewa maalumu iliyopo ndani ya gari hilo.
 

Bodi ya gari hilo ni imara na hakuna risasi inayoweza kupenya huku vioo vya gari vikiwa vina unene wa inch 8 au cm 20 au mm 200 na hakuna risasi inayoweza kupenya kutokana na utaalam uliotumika wakati wa kuundwa kwake
 

Pia lina vifaa maalum vya kurekodi mzunguko wa damu ya Rais pindi awapo ndani ya gari hilo lililotengenezwa kwa ghalama kubwa ya fedha.

The United States presidential state car (nicknamed "The Beast", "Cadillac One", "First Car"; code named "Stagecoach") is the official state car of the President of the United States.


Gari hilo sasa litatumiwa na rais mteule Donald Trump

Magufuli 'challenges' African leaders after wife admitted to hospital in Tanzania

Magufuli 'challenges' African leaders after wife admitted to hospital in Tanzania

President John Pombe Magufuli visits his wife Janet who is admitted at Muhimbili Referral Hospital in Dar es Salam. /COURTESY
President John Pombe Magufuli visits his wife Janet who is admitted at Muhimbili Referral Hospital in Dar es Salam. /COURTESY
A photo of Tanzanian President John Magufuli visiting his wife Janeth after she was admitted to a local hospital within Tanzania has stirred a debate among Kenyans.
A CCTV photo released by Tanzania State House showed Magufuli with the First Lady at the Muhimbili referral hospital in Dar es Salam.
It remains unclear what Janeth is ailing from but the hospital where she was admitted to is rated as an equivalent to Kenya's Kenyatta national hospital.
President Magufuli, through his action, challenges other African presidents and state officials fond of taking their patients to hospitals abroad even for treatment of minor ailments.
According to sources, the hospital has a 3,700 square meter Out patient department which serves up to 1,000 people in a day.
It has 34 patient examination rooms, a pharmacy, and training facilities for medical students and health care professionals.
The Magufuli challenge comes days after Bomet Governor Isaac Rutto left the country to South Africa for specialised treatment of an injury on his eye.
The injury was inflicted by a teargas canister which was lobbed at him by the police who were dispersing a rowdy crowd at Silibwet Stadium in Bomet.
In August, former President Mwai Kibaki underwent a successful surgery on the carotid artery on his neck in South Africa.
The former Head of State was admitted to the Netcare Sunninghill hospital in Johannesburg after he was referred from Karen Hospital.
Family sources said the ex-President had been taken to South Africa because his doctors did not want to take chances.

Donald Trump and Barack Obama meet at White House

Donald Trump and Barack Obama meet at White House


Media captionTrump and Obama play nice, but it wasn't always so
US President-elect Donald Trump has said it was a "great honour" to meet President Barack Obama for transition talks at the White House.
Mr Obama said he was "encouraged" by their "excellent" and "wide-ranging" conversation, lasting over an hour.
During the election campaign, Mr Trump vowed to dismantle Mr Obama's legacy and he has previously questioned his US citizenship.
Mr Obama, meanwhile, had called Mr Trump "uniquely unqualified".
But following Mr Trump's shock defeat of Hillary Clinton in Tuesday's election, Mr Obama appealed for national unity and said he was "rooting" for him.
After Thursday's behind-closed-doors meeting in the White House, Mr Obama said: "My number one priority in the coming two months is to try to facilitate a transition that ensures our president-elect is successful."
President Barack Obama meets with President-elect Donald TrumpImage copyrightAP
Image captionPresident Barack Obama meets with President-elect Donald Trump in the Oval Office
He said they had discussed domestic and foreign policy and he had been "very encouraged" by Mr Trump's interest in working with President Obama's team on issues facing the US.
Mr Trump said he would "very much look forward" to dealing with President Obama in future.
"I have great respect, the meeting lasted for almost an hour and a half, and it could've, as far as I'm concerned, it could've gone on for a lot longer," the president-elect said.
"We discussed a lot of different situations - some wonderful and some difficulties."
Media captionUS election: Donald Trump meets Barack Obama at White House
White House spokesman Josh Earnest said the two men did not resolve their differences but "the meeting might have been at least a little less awkward than some might have expected".
"President Obama came away from the meeting with renewed confidence in the commitment of the president-elect to engage in an effective, smooth transition," he said.
Mr Trump flew from New York on his private jet and landed at Reagan National Airport, just outside the nation's capital.
The president-elect was accompanied by his wife, Melania, who had a meeting with First Lady Michelle Obama.
Trump and Obama in Oval OfficeImage copyrightEUROPEAN PRESS AGENCY
He, along with Vice-President-elect Mike Pence, then met Republican House Speaker Paul Ryan, saying they "can't get started fast enough, whether it's healthcare or immigration".
Mr Ryan described it as a "fantastic, productive meeting".
President Obama congratulated his successor in a phone call in the early hours of Wednesday.
The defeated Mrs Clinton also told supporters Mr Trump had to be given a "chance to lead".
Despite appeals for unity, thousands took to the streets of major US cities on Wednesday. Many chanted: "Not my president."
Sixty-five people were arrested in New York, while shop windows were smashed and missiles hurled at riot police during demonstrations in Oakland, California.
In Chicago, crowds blocked the entrance to Trump Tower, chanting: "No Trump, No KKK, No Fascists USA", and a mass anti-Trump rally shut down the key 101 freeway in Los Angeles.
Media captionTrump meets highest ranking Republican
Mr Obama and Mr Trump have a history of mutual hostility.
Mr Trump led the charge in challenging the legitimacy of Mr Obama's presidency through the "birther" movement, which falsely claimed the Hawaii-born commander-in-chief was actually born outside the US.
The businessman also called Mr Obama "the worst president in the history of the United States".
For his part, the president famously skewered Mr Trump in person at the 2011 White House Correspondents' Association Dinner, which some have suggested may have spurred the New York billionaire to seek revenge.

Trump and ObamaImage copyrightAP
Analysis by Anthony Zurcher, BBC North America reporter
Donald Trump launched himself onto the national political stage by questioning Barack Obama's US citizenship and eligibility to be president.
Mr Obama spent the last few months of the 2016 presidential election assailing Mr Trump's fitness to occupy the nation's highest office.
Now they've met for the first time ever - as president and president-elect. Talk about awkward.
Although both candidates played nice in their Oval Office get-together, there's no denying that the two men present a clear contrast in manner and style.
In the past, the American public has displayed a tendency to seek qualities in their next president that the current occupant of the Oval Office is perceived to lack. Contrast George W Bush's board-room manner with Bill Clinton's improvisational chaos or Jimmy Carter's squeaky clean reputation after Richard Nixon's Machiavellian manoeuvres.
In this case, they have opted for Mr Trump's blunt talk and bombast after Mr Obama's detached professorial coolness.
Although it wasn't on display this morning in the White House, Inauguration Day could provide a severe case of presidential personality whiplash.

Jokate amuandikia Alikiba barua kutoka kwenye sakafu ya moyo wake

Jokate amuandikia Alikiba barua kutoka kwenye sakafu ya moyo wake

Super business woman, Jokate Mwegelo amemuandikia AliKiba ujumbe mzuri ambao amedai umetoka kwenye sakafu ya moyo wake.

Mwanamitindo huyo ambaye yupo karibu zaidi na mkali huyo wa wimbo ‘Aje’ amemsifia msanii huyo huku akiichambua show yake aliyoifanya usiku wa kuamkia Jumapili katika tamasha la Fiesta Dar es salaam.

Kupitia Instagram, Jokate ameandika:
Komando Kipensi @officialalikiba kwanza thank you for trusting me and @noelgiotz to style you for Fiesta- tulielewa how important this day is to you and I’m glad we made it 💪🏽. It was fun creating this iconic look, you made it easy though I mean your body is just perfect and the way you carry yourself with so much class and honor you just gave this outfit the life and sophistication it needed. Style yako ya mavazi ni ya kipekee, hugezi mtu unatengeneza yako kama unavyofanya na mziki wako, ni halisi. Sasa mimi napenda kuongea nikiguswa, sio kama AK ila baada ya kuona ulichofanya jana kwenye stage ya fiesta ( umeimba live na band kwenye umati mkubwa vile kwa ustadi mkubwa kabisa mpaka watu wakashtuka maana you were simply perfect ) naomba kusema tu wewe hushindani na yoyote hapa Tanzania, kuanzia ladha yako ya mziki unaotengeneza mpaka sauti yako – tena huko kwenye sauti naomba nisiongee maana sitaki upasuke bichwa lako lol ila kuna kitu cha kipekee kwenye sauti yako, you are “The Voice”. Kila siku unakuwa bora zaidi yaani labda nikufananishe na Beyonce kimziki- usiniue lakini 👀. Ukitaka you can dance, you can sing tena live sauti cleeeear haina mikwaruzo, you can rap, unaeeza igiza uchizi yaani you are just perfect kama mwanamuziki. Kama hujui leo ujue. Nakuombea siku mmoja dunia nzima iweze kufurahia hiki kipaji adhimu kutoka kwako. Unajua kuna tofauti ya kuimba wimbo au kusikiliza wimbo tu kama burudani na kusikiliza kitu kinachokuinua spiritually. Kitu kinagusa roho yako. Nikisikia Aje, Mwana, My Everything, Mali yangu hata kama nina mood mbaya vipi my soul becomes happy yaani naturally. You are a gem na utafika tu. Huu mwendo wako huu huu ndio poa. Wasikuchanganye. Nikiangalia mfano wa Wizkid yeye anafanya mziki wake, focus yake niyeye na fans wake na ndio maana yuko alipo licha ya kushindanishwa na watu kutwa nzima. Blood fans wa AK najua mko nae tumlazimishe huyu kijana afanye tour nchi nzima pekee yake labda  🤔. Haya mambo ni makubwa wallahy. All in all I’m very proud of you na your journey of growth and WTH man start giving me credit on the lyrics I help you with 😂. Hongera @cloudsfmtz kwa show nzuri na kwa wasanii wote ❤️#Kajiandae #KingKiba #Kidoti

Sababu ya Kukoroma Ukiwa Umelala na Jinsi ya Kuzuia Hali Hiyo

Sababu ya Kukoroma Ukiwa Umelala na Jinsi ya Kuzuia Hali Hiyo

Kukoroma ni tatizo linalowapata watu wengi wakati wanapolala ambalo linaweza kuwatokea watu wa kila umri ingawa hutokea mara nyingi kwa wanaume au watu wanene. Kukoroma huzidi kwa kadri umri unavyoongezeka na asilimia 54 ya watu wazima hukoroma baadhi ya wakati huku asilimia 25 ya wengine wakiwa na tabia ya kukoroma kila wakati. Kukoroma baadhi ya wakati kwa kawaida sio tatizo kubwa na mara nyingi huleta tu karaha kwa mtu anayelala karibu na mkoromaji.

Hata hivyo kukoroma huko sio tu kwamba huharibu usingizi wa anayekoroma bali pia huwasumbua na kuwakeresha wanaolala karibu na mkoromaji. Wale wenye tabia ya kukoroma, hukoroma kila wanapolala na mara nyingi huchoka wanapoamka, na watu wa aina hii hushauriwa kumuona daktari na kushauriwa kuhusiana na tatizo hilo. Lakini kabla hatujaendela mbele ni bora tujue kukoroma hasa ni nini au hutokea vipi?

Mtu huwa anakoroma pale kunapokuwa na kitu au sababu yoyote itakayoziba kuingia au kutoka kwa hewa mdomoni na katika pua. Kuta za koo hutikisika wakati wa kupumua na matokeo yake ni sauti inayosikika ya kukoroma.

Kuingia au kutoka kwa hewa huweza kuzuiwa na sababu mbalimbali kama vile:

Kuziba tundu za pua kusiko kamili ambako husababisha nguvu zaidi zitumike katika kupitisha hewa kwenye pua wakati mtu akiwa amelala. Kitendo hicho hupelekea nyama laini za pua na koo zijikusanye na kusababisha mkoromo. Kuna baadhi ya watu wanakoroma tu kipindi cha allergy (allergy season) au wanapatwa na matatizo ya sinus. Baadhi ya matatizo kama vile kupinda pua (deviated septum) au ukuta unaotenganisha tundu za pua na polyps za pua pia huweza kufanya pua zizibe na kusababisha kukoroma. Watu wengi wanaofanya operesheni za pua pia hupatwa na tatizo la kukoroma.
Kuwa na misuli dhaifu katika koo na ulimi. Misuli au nyama za koo na ulimi zinapokuwa dhaifu sana hulegea na kuanguka upande wa nyuma wa sehemu inayopita hewa. Suala hilo hutokea pale mtu anapolala fofofo au kuwa na usingizi mzito na kusababisha kukoroma.
Kuwa na misuli minene ya koo. Hii ni kwa wale watu wanene ambao hata nyama zao za koo pia hunenepa na kupanuka na suala hilo husababisha kukoroma, Pia watoto wenye tonsesi kubwa na adenoids baadhi ya wakati hukoroma.
Kuwa na kilimi kikubwa ni mojawapo ya sababu zinazosababisha kukoroma. Kilimi kirefu kinaweza kuzuia koo na pale kinapotikisika wakati hewa inapita kwa msukumo husababisha kukoroma.
Sababu nyinginezo zinazoweza kumsababishia mtu akorome anapolala ni kuwa na umri mkubwa au uzee, imeshuhudiwa kuwa watu wa makamo na wazee hukoroma, kwani misuli na nyama za koo huanza kuzeeka na kulegea kadri umri unayoongezeka. Vilevile wanaume wanakoroma zaidi kuliko wanawake hii ni kutokana na wanaume kuwa na njia nyembamba zaidi ya hewa kuliko wanawake. Kukoroma pia kunaweza kuwa ni tatizo la kurithi. Pombe, kuvuta sigara na matumizi ya baadhi ya dawa pia husababisha misuli ya koo ilegee na hivyo hupelekea mtu akorome. Kulala vibaya pia husababisha kukoroka kama vile kulala kichalichali, kwani hufanya nyama za koo zilegee na kuziba hewa.



Je, Dawa ya kukoroma ni nini?
Swali hilo limeuliwa sana na mimi katika kulijibu ningependa kusema kuwa, kujua sababu inayosababisha mtu akorome na kuitatua au kuiondoa sababu hiyo ndiko kunakotibu kukoroma. Sote tunajua adha inayotokana na kukoroma, na sauti hiyo inavyosumbua hasa iwapo anayekoroma ni mtu wako wa karibu kama vile mumeo, mwenzi wako au yoyote yule inayekubidi ulale naye karibu au katika kitanda kimojana hata chumba kimoja.

Kukoroma pia huathiri usingizi wa mkoromaji kwani anayekoroka humbidi aamke mara kadhaa usingizini akijua au bila kujua kutokana njia zake za hewa kufunga kwa sekunde kadhaa ambapo usingizi pia hukatika. Wanaokoroma pia hushindwa kulala vizuri suala linalopelekea asubuhi wawe wamechoka na kutofanya majukumu yao vyema, na pia wale wanaolala nao karibu hupatwa na matatizo kama hayo. Vilevile tunapaswa kujua kuwa kukoroma kuna athari za kiafya za muda mrefu kwa mtu anayekoroma hivyo si jambo la kufanyia mzaha na ni tatizo ambalo linapaswa kushughulikiwa na kutatuliwa.

Wataalamu wanatuambia kuwa ili kujua kukoroma kwako kunasababishwa na nini ni bora ushirikiane na mwenzi wako au yoyote unayelala naye ili akuchunguze pale unapolala na kujua jinsi mwili wako unavyokuwa pale unapokoroma.

Ni bora aandae orodha na kuchunguza yafuatayo:

Kufunga mdomo na kukoroma kunaonyesha kuwa kuna matatizo ya ulimi.
Kufungua mdomo na kukoroma kunaonyesha unaweza kuwa na tatizo katika misuli au nyama za koo.
Kukoroma unapolala kichalichali kunaonyesha kuwa pengine kwa kubadilisha namna unavyolala kukoroma nako kunaweza kwisha.
Kukoroma wakati unapolala kwa kila mlalo kunaonyesha kwamba tatizo lako ni kubwa na pengine kunahitajia tiba kubwa zaidi.



Iwapo umebadilisha namna unavyolala na haikusaidia, unashauriwa ujaribu yafuatayo:

Punguza uzito
Safisha njia yako ya hewa. Kuwa na pua iliyoziba hufanya kupumua kuwe kugumu na kusababisha kukoroma. Unaweza kufanya hivyo kwa kutumia dawa za kusaidia kupumua kwa urahisi (nasal decongestants) zinazopatikana kwa urahisi katika maduka ya dawa.
Wacha kuvuta sigara.
Lala mapema na pata usingizi wa kutosha kila mara huku ukijiepusha na kuchoka sana. Kunyanyua kichwa kwa nchi 4 huweza kupunguza kasi ya kupumua na kusaidia ulimi na taya kwenda mbele hali ambayo hupunguza kukoroma.
Fanya hilo kwa tumia mito maalum ya kupunguza kukoroma au lala bila mto.

Wataalamu pia wanasema kwamba unaweza kupunguza kukoroma kwa kutokula baadhi ya vyakula au dawa kabla ya kulala ambavyo huongeza kukoroma.

Vitu hivyo ni kama vile

Kutokula mlo mkubwa kabla ya kulala.
Kutokula vyakula vinavyotokana na maziwa au maziwa ya soya.
Kutokunywa pombe kabla ya kulala.
Kutotumia dawa aina ya antihistamines.
Kutotumia vyakula au vinjwaji venye kafeini.


Vilevile wanaokoroma wanashauriwa kufanya mazoezi ya koo ambayo ni pamoja na kuimba, kusoma kwa kurudia rudia voweli (a,e,i,o,u) kwa nguvu kwa dakika tatu mara kadhaa kwa siku, kuweka ncha ya ulimi chini ya meno ya mbele na kurudisha ulimi nyuma kwa dakika 3 kila siku au huku mdomo ukiwa wazi pelekea taya yako upande wa kulia na wacha ibakie katika hali hiyo kwa sekunde 30.

Huku mdomo ukiwa wazi, kaza misuli ya nyuma ya koo na rudia kitendo hicho kwa sekunde thelathini. Unaweza kutizama kwenye kioo na kuona jinsi kilimi kinavyokwenda juu na chini.

Iwapo kukoroma hakutoisha kwa kutumia njia hizo tofauti zilizoelezwa, usife moyo jaribu kumuona daktari na akupe ushauri wa kitiba kuhusiana na tatizo hilo. Madakatari wataalamu wa magonjwa ya pua, masikio na koo au ENT wanaweza kukusaidia zaidi kutatua tatizo hilo. Siku hizi kuna vifaa mbalimbali vinavyotumiwa mahospitalini ili kuondoa kukoroma kama vile kifaa kinachowekwa kwenye meno, CPAP, kidude kinachowekwa mdomoni au hata kufanyiwa operesheni ili kuondoa tatizo hilo.

Waziri Mahiga: Mkataba Kusaka Walioficha Mabilioni Uswisi Wasainiwa Tanzania

Waziri Mahiga: Mkataba Kusaka Walioficha Mabilioni Uswisi Wasainiwa Tanzania

Serikali ya Tanzania na Uswisi zimesaini Mkataba utakaowawezesha Makachero wa Tanzania kwenda nchini Uswisi na kufanya uchunguzi katika mabenki ya huko ili kupata taarifa sahihi za walioficha mabilioni toka Tanzania.

Mkataba huo umesainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr Augustine Mahiga na Balozi wa Uswisi nchini Florence Mattli.

Hata hii ni moja ya hatua muhimu ya Serikali awamu ya tano katika kudhibiti matumizi mabaya ya madaraka na fedha za umma.