Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana Balozi wa Vatican hapa nchini anayemaliza muda wake
Francisco Montecillo Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi huyo wa Vatican
alifika Ikulu kwa ajili ya kuagana na Rais Dkt. Magufuli mara baada ya
kumaliza muda wake ya Ubalozi nchini. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na mgeni wake Balozi wa Vatican hapa nchini anayemaliza muda wake
nchini Francisco Montecillo Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Vatican hapa nchini anayemaliza muda wake Francisco
Montecillo Ikulu jijini Dar es Salaam Balozi
wa Algeria hapa nchini Belabed Saada akikabidhi ujumbe uliotoka kwa
Rais wa Algeria kuja kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi
wa Algeria hapa nchini Belabed Saada akikabidhi ujumbe uliotoka kwa
Rais wa Algeria kuja kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Canada hapa nchini Alexandre Leveque mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Balozi wa Canada hapa nchini Alexandre Leveque wapili
kutoka kulia pamoja na waakilishi wengine wa Serikali pamoja na Ubalozi
wa Canada.