Image copyrightAFPImage caption
Wanachama wa vuguvugu la Bring Back Our Girls
waliandamana mjini Lagos Jumatano kutetea kuachiliwa kwa wasichana hao
Kanda ya video
iliyotumwa kwa maafisa wa serikali ya Nigeria kutoka kwa kundi la
wapiganaji wa Boko Haram inaonesha baadhi ya wasichana waliotekwa eneo
la Chibok wako hai.
Ni miaka miwili tangu kutekwa kwa wasichana 276 kutoka shule moja katika mji wa Chibok.
Ni wasichana 15 wanaoonekana kwenye kanda hiyo ya video ambayo inaaminika ilipigwa Siku ya Krismasi.
Video hiyo imepeperushwa hewani na shirika la utangazaji la marekani la CNN.
Maafisa wa
Nigeria wamesema mashauriano kati ya serikali na wapiganaji hao wa
Kiislamu yanaendelea lakini yatasalia kuwa siri kwa sababu za kiusalama
na ili kuzuia wanaofanikisha wazungumzo hayo wasitambulike. Image copyrightAFPImage caption
Mamake mmoja wa wasichana waliotekwa
Mwandishi wa BBC aliyeko Abuja anasema video hiyo
imewapa matumaini baadhi ya raia wa Nigeria kwa sababu inaonesha baadhi
ya wasichana wako hai.
Lakini baadhi wanasema hali kwamba ni
wasichana wachache sana waliooneshwa kwenye video hiyo inaibua wasiwasi
kuhusu hatima ya wasichana hao wengine walioonekana kwenye video hiyo.
Kanda hiyo ya video ndiyo ya kwanza kutolewa ikiwaonesha wasichana hao tangu mwezi Mei mwaka 2014.
Serikali ya Nigeria imekosolewa kwa kushindwa kuwakomboa wasichana hao. Image caption
Shule ya Chibok inapatikana jimbo la Borno
Kwa muda mrefu, kitambulisha mada #BringBackOurGirls (Turejeshee wasichana wetu) kilivuma sana mtandao wa Twitter.
Mke
wa Rais wa Marekani Michelle Obama ni mmoja wa watu mashuhuri
walioshiriki katika kampeni ya kupigania kukombolewa kwa wasichana hao.
Image copyrightAFPImage caption
Kiarabu kupigwa marufuku katika misikiti ya Ujerumani
Kiongozi wa chama
cha Conservative cha Ujerumani Andreas Scheuer amependekeza kuwa
kijerumani kitumike wakati wa salah misikitini nchini humo badala ya
Kiarabu.
Mwanasiasa huyo aidha anasema kuwa ni sharti Ujerumani izuie ufadhili wa misikiti kutoka Saudi Arabia na Uturuki.
Katibu
huyo mkuu wa chama hicho cha CSU ambacho ni mshirika wa chama
kinachoongozwa na Kansela wa Ujerumani bi Angela Merkel cha CDU analaumu
siasa za kiislamu kwa kuhujumu mtagusano baiana ya Wajerumani waislamu
na wakristo. Image caption
Maimamu wanaoendesha swala na misikiti nchini
Ujerumani wanapaswa kujifunzia hukohuko Ukerumani wala sio Arabuni
Maimamu wanaoendesha swala na misikiti nchini Ujerumani wanapaswa kujifunzia hukohuko Ukerumani wala sio Arabuni
Maoni
yake yanawadia huku kukiwa na mtafaruk mkubwa wa kidiplomasia baina ya
Ujerumani na Uturuki kuhusiana na uhuru wa kujieleza.
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amewasilisha mahakamani kesi dhidi ya mchekeshaji mjerumani Jan Boehmermann.
Rais huyo anadai kuwa Boehmermann alimkosoa heshima katika moja ya mashairi yake iliyopeperushwa na runinga ya taifa ZDF. Image copyrightRobert Harding Alamy Stock PhotoImage caption
Mwanasiasa huyo aidha anasema kuwa ni sharti
Ujerumani izuie ufadhili wa misikiti kutoka Saudi Arabia na Uturuki.
Inadaiwa kuwa mchekeshaji huyo nguli
aliwatahadharisha watazamaji kuwa atakachokisema kitakiuka haki za
kujieleza za wajerumani kabla kumtusi rais Erdogan.
Jan alisema kuwa Erdogan hushiriki ngono na wanyama kama vile mbuzi na kondoo.
Waendesha
mashtaka nchini Ujerumani wangali wanachunguza tukio hilo ilikubaini
iwapo msanii huyo nguli atashtakiwa kwa kumkejeli na kumtusi rais wa
taifa la kigeni.
Serikali ya Uturuki ilisajili kesi hiyo rasmi kw balozi wa Ujerumani nchini humo mjini Ankara. Image copyrightReutersImage caption
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amewasilisha
mahakamani kesi dhidi ya mchekeshaji mjerumani Jan Boehmermann.
Hilo ndilo tukio la pili ambalo linaonekana kuikasirisha sana Ankara.
Awali wimbo mmoja uliopeperushwa kwenye runinga inadaiwa kuukejeli uongozi wa bw Erdogan.
Mchekeshaji huyo amepewa ulinzi mkali wa polisi na hata shoo yake ijayo imepigwa marufuku.
Kesi
hiyo imemweka pabaya Kansela wa Ujerumani bi Merkel kwani yeye pamoja
na viongozi wenza wa bara Ulaya wanaisihi Uturuki(Erdogan) kutekeleza
upande wao wa makubaliano ya kusitisha wimbi la wahamiaji kutoka Syria
Image copyrightAPImage caption
Couch alitorokea Mexico baada ya kujua angekamatwa
Kijana aliyekwepa jela jimbo la Texas kwa kusingizia utajiri baada ya kuua watu akiendesha gari akiwa mlevi amefungwa jela.
Mwaka 2013, Ethan Couch aliua watu wanne baada ya kuwagonga akiwa na gari lake wakati huo akiwa na umri wa miaka 16.
Lakini alifanikiwa kukwepa jela.
Mtaalamu
wa matatizo ya kiakili wakati huo aliambia mahakama kwamba mvulana huyo
alilelewa kwenye maisha ya utajiri kupindukia na kwamba hakufundishwa
maadili mema na wazazi wake. Image copyrightReutersImage caption
Atatumikia kifungo chake katika jela ya watu wazima
Alitaja hali hiyo kuwa “affluenza”, ingawa neno hilo halijatambuliwa na Chama cha Wataalam wa Mambo ya Kiakili Marekani.
Alitakiwa tu kudumisha tabia njema kwa miaka 10.
Lakini
hakuweza na baada ya video kutolewa ikimuonesha akilewa na marafiki zake
alitoroka nchi hiyo na kukimbilia Mexico mwezi Desemba. Image copyrightReutersLakini baada ya muda
alikamatwa na kurejeshwa Marekani.
Jumatano, Mahakama ilimwamuru atumikie vifungo vinne vya siku 180 jela ambavyo vitafuatana, kila kifungo kwa kila mtu aliyeua.
Kwa kuwa tayari ametimiza umri wa watu wazima, ana umri wa miaka 19 sasa, atafungwa katika jela ya watu wazima.
Image caption
Kadi hizo zinatumiwa na kampuni mbili za mabasi
Nchini Rwanda
abiria wanaotumia usafiri wa mabasi mjini Kigali wameanza kusafiri kwa
kutumia mfumo mpya wa kadi za elektroniki kwa kulipia nauli.
Mfumo
huu umewakosesha kazi makondakta huku ukikaribishwa na wamiliki wa
kampuni za mabasi ya abiria kwa kuwasaidia kudhibiti wizi wa pesa
uliokuwepo.
Mwandishi wa BBC aliyeko Kigali Yves Bucyana anasema
kila abiria aliye na kadi anauingia ndani ya basi na kubonyeza kadi yake
kwenye mashine maalum iliyobandikwa karibu na mlango wa basi.
Huo ni mfumo mpya,unaotumiwa na makampuni mawili tu miongoni mwa makampuni kadhaa ya mabasi ya abiria mjini Kigali. Image caption
Mashine ya kusoma kadi mlangoni
Kwa mabasi yaliyoanza kutumia kadi,watu wa kwanza kuathirika ni wapiga debe ambao wameachishwa kazi.
Baadhi ya madereva nao hawajaushabikia mfumo huo wa kulipia nauli kwa kutumia kadi za elektroniki.
“Tuliingia
hasara kwa kupungukiwa na abiria. Hata baadhi ya abiria walikataa
kununua kadi hizi wakisema kamwe hawawezi kutumia kadi hizo kwa madai
kuwa ni kadi za illuminati,” alisema dereva mmoja.
Kampuni
zinazotumia mfumo huo zinausifu kwa kuwa uliwawezesha kudhibiti wizi wa
fedha kwani baadhi ya watumishi walikuwa wakighushi tiketi zilizokuwa
zinatumiwa. Image caption
Kadi hizo zinagharimu nusu dola
Bei ya kadi moja ni franka za Rwanda 500 ama nusu ya dola moja ya Kimarekani.
Kisha abiria hulipia kila safari anayoifanya.
Kwa kuwa siyo abiria wote walio na kadi hizi, malipo ya hapo kwa hapo nayo bado yanakubalika.
Mfumo huu umekuja kuimarisha azma ya serikali ya Rwanda kuwahimiza raia kulipia huduma muhimu kwa kutumia njia ya elektroniki.
Image caption
Orley ni mwanafunzi wa darasa la saba
Mvulana mmoja nchini Australia alifanikiwa kujitambulisha kama waziri mkuu wan chi hiyo kwa siku mbili mwishoni mwa wiki.
Australia imekuwa na mawaziri wakuu wanne tangu mwaka 2013.
LakiniOrley
Fenelon, mwenye umri wa miaka 12, anayetoka mji wa Brisbane alijiweka
katika tovuti ya Wikipedia kama waziri mkuu wa tano bila kutambulika.
Hata waziri mkuu wa sasa Malcolm Turnbull hakujua kwamba alikuwa ‘ameondolewa madarakani’.
Tovuti hiyo yenyewe haikugundua mabadiliko hayo.
"Mimi
na marafiki zangu tulikuwa tunazungumzia kinyang’anyiro cha urais
Marekani na ndipo tukapata wazo la ‘Orley kuwania wadhifa wa Waziri
Mkuu’,” aliambia BBC Newsbeat.
"Niliweka hilo kwenye Instagram na baadaye nikahariri ukurasa wa orodha ya mawaziri wakuu wa Australia kwenye Wikipedia.”
Nilidhani ingegunduliwa mara moja na kufutwa. Lakini hilo halikufanyika.
"Ilifika pahali nikadhani kuna mtu angekuwa anaandika kitabu (kuhusu siasa za Australia) na anihesabu,” alisema huku akicheka. Image caption
Ukurasa wa Wikipedia
"Nilipokuwa waziri mkuu hakuna kubwa lililotokea. Muhula wangu ulikuwa umetulia,” anatania.
Hakuna waziri mkuu aliyefanikiwa kumaliza muhula wake Australia tangu 2007.
Orley ni mwanafunzi wa darasa la saba na anasema angetaka kuwa mtu wa kuchekesha na kuchezea watu.
Lakini
akifanikiwa kuwa waziri mkuu wa Australia mwaka wakati mmoja, anasema
angeifanya Australia kuwa Jamhuri na kumuondoa Malkia wa Uingereza
ambaye kwa sasa ndiye kiongozi wan chi.
LG K10 first impressions: Impressive design, decent prowess
LG K10 smartphoneLG announced its K series of smartphones this year at CES. The South Korean giant has now launched the K10
smartphone in India at a price of Rs 13,500. This is the first 'Made in
India' handset by the company and it promises to offer great
performance and camera capabilities. We spent some time with the
smartphone and here are its first impressions.
Design
LG
K10 flaunts the company's new pebble design, which gives a contemporary
and stylish look to the device. The smartphone has a very sleek form
factor with round edges that makes it comfortable to hold. LG K10
smartphone comes with a removable textured back panel and sports a
button-less front. The volume rocker and power buttons are placed on the
rear panel of the handset along with the 13MP rear camera and LED
flash. Underneath the back panel lie the removable battery, sim cards
and microSD card slots. The display of the device consists of the 5MP
selfie camera, LG branding and four soft keys. We can say that LG K10 is
an impressive smartphone when it comes to the design and look.
The
LG K10 flaunts a 5.3-inch HD display with 1,280x720 pixels resolution.
The display produces sharp colours and offers pretty decent visibility,
when used under bright sunlight. The display is big enough to offer a
delightful gaming or movie experience. The viewing angles were also fine
and we did not notice any pixilation.
Hardware
Coming to the hardware, the LG
K10 smartphone is powered by 1.2GHz quad-core Qualcomm Snapdragon 410
processor coupled with 1GB of RAM. The inbuilt storage of the device
stands at 16GB, which can be expanded up to 32GB using a microSD card.
The device functioned properly without any hiccups. However, we are
disappointed with the low RAM capacity and also witnessed some moderate
heating issues with the handset. The LG K10 packs a 2,300 mAh removable
battery.
Software
The LG
K10 runs the Android 5.1.1 Lollipop operating system. The interface is
pretty clean and user friendly. The display is dominated by four soft
touch keys for back, home, options and the fourth open as the sim
switcher. There is an app drawer, which prevents your homescreen from
getting cluttered. Moreover, you can also make different folders such as
productivity, multimedia etc. in order to keep similar kind of apps
together.
Amazon
achieves near-monopolistic market control, apex agility in terms of
supply chain, and sustained consumer zealotry for its devices. A lot
like Apple.
This week, Amazon announced the availability of Kindle Oasis, a new high-end addition to its black and white e-reader lineup.
Early yesterday morning my ZDNet colleague and hardware columnist, Adrian Kingsley-Hughes, was quick to point out just how high-end this is -- it's $290 for the Wi-Fi only model.
It'll cost you $70 additional for 3G, and another $20 if you want to remove the advertisements on the lock screen.
Yeah, it's steep.
You could buy almost four regular Kindles at $80 apiece for the price of one of these in its basic config. Four.
Who
wants to buy one of these? Someone with a lot of money to burn? Maybe.
But I think Amazon is a smart company and has done enough research to
know they have a market for this thing.
What we can say for sure about Amazon is that with the Kindle Oasis, the company has hit its peak Apple moment.
What do I mean by that, exactly? Amazon has clearly reached a point in its evolution with
the Kindle that it has achieved near-monopolistic market control, apex
agility in terms of managing its supply chain, and sustained consumer
zealotry for its devices, much like Apple has with its iPhone and iPads.
Its customers love them and keep coming back to buy new ones, again and again.
Part
of this is due to the company's fantastic customer-first focus and its
Prime program which brings more and more added benefits every year that
leverages Amazon's many online services, and the excellent industrial
design of the Kindles themselves.
Like Apple, Amazon can create
very large margins for these things and basically nobody will baulk
because you can't buy a Kindle ecosystem-compatible e-paper reader
anywhere else.
Amazon now has stratification across the Kindle
product line to basically please everyone and still have very good
margins. In some ways they are in better shape than Apple in this regard
because they have a $80 device all the way up to a $380 device.
And
unlike Apple that has to compete with Android, the Kindle competes with
essentially nothing. All of its competitors in the e-paper space have
either exited the market or have very little market share to speak of.
Sony's reader business is long gone. Barnes & Noble's NOOK business is on life support and is begging for euthanasia. Kobo
has produced some nice hardware, it competes fairly well in the global
market, and the company appears to be healthy. However it only has
single to low double digit market penetration in the US when compared
with Amazon's e-book and content business.
The Kindle e-books platform rules the space, in both hardware and as a content delivery platform. Mission accomplished.
So, getting back to Kindle Oasis. I don't know how many folks are going to buy a high-end reader like this. I thought $200 for the Kindle Voyage, which was previously Amazon's flagship reader device, was a lot of money. This thing is even more expensive.
But
I do have an idea of the use-case scenario that may have prompted the
development of this device and may bring some clues as to who they are
targeting.
The Oasis is Amazon's market play equivalent to Apple's 12.9" iPad Pro. What do I mean by that, exactly?
The
Oasis is expensive but obviously a massive amount of engineering went
into it. It's two ounces lighter than the previous upper end model, the
Voyage, which was already the lightest Kindle in the lineup.
The device can be used for months at a time without charging, and has additional back-lighting LEDs.
A
very light device is ideal for prolonged reading periods. A big battery
plus additional LEDs are good for prolonged night time reading sessions
over multiple nights.
All of this points towards people who do most of their reading at night, such as C-seats and attorneys. Professionals.
As
nice as the iPad Pro is, or even the Surface 4 Pro or the Surface Book
is, there's no comparison between e-ink screens and IPS LCD in terms of
eyestrain relief. e-ink beats them hands down.
You don't want to shine a backlit LCD into your eyes at night, it's absolute murder on your sleep cycle.
Execs
who do a lot of night time reading may very well be a large subset of
their overall customer base because a lot of these types don't have time
to read during the day. You have to think Amazon did a great deal of
market research before releasing a device like this.
I mean look
at it this way. If you are an attorney or a CxO that earns $300k+ a
year, are you going to buy the cheap Kindle, or are you going to buy the
nicest one?