Sunday, November 6, 2016

Mfalme mteule wa Thailand kuthibitishwa Desemba mosi

Mfalme mteule wa Thailand kuthibitishwa Desemba mosi


Mwana mfalme Vajiralongkorn
Image captionMwana mfalme Vajiralongkorn
BBC imetaarifiwa kwamba mfalme mteule mtarajiwa wa Thailand Vajiralongkorn atathibitishwa rasmi kama mfalme ajaye mnamo Desemba mosi.
Mwana wa mfalme huyo ambaye pia ni mfalme mtarajiwa alitarajiwa kupakwa mafuta na kutawazwa katika kipindi ama baada ya maziko ya babake , mfalme King Bhumibol Adulyadej, aliyefariki wiki tatu zilizopita, kutokana na yeye mwenyewe kuomba muda wa kumuomboleza babake.
Vajiralongkorn ana mtoto mmoja wa kiume aliyempata na mke wake wa zamani Srirasmi
Image captionVajiralongkorn ana mtoto mmoja wa kiume aliyempata na mke wake wa zamani Srirasmi
Mpaka sasa haijafahamika wazi, ni uhusiano wa namna gani mfalme huyo mtarajiwa atakuwa nao baina yake na vikosi vya jeshi la serikali ambavyo hivi karibuni vilikuwa vinaiongoza Thailand, ama ni namna gani atapokelewa na raia wake.
Vajiralongkorn katika mbio za baiskeli mwaka 2015
Image captionVajiralongkorn katika mbio za baiskeli mwaka 2015

Bill Clinton ataitwa nani Hillary akishinda?

Bill Clinton ataitwa nani Hillary akishinda?


Bi Hillary Clinton (kushoto) na mumewe Bw Bill Clinton mjini Las Vegas, Nevada.Image copyrightGETTY IMAGES
Image captionBaadhi wamependekeza aitwe BROTUS, First Dude, First Gentleman na wengine First Laddie
Swali ambalo limekuwa likiulizwa tangu kubainika kwa uwezekano kwamba Bi Hillary Clinton anaweza akawa rais wa Marekani ni jina ambalo mumewe atapewa.
Kwa sasa Bi Clinton, anayewania urais kupitia chama cha Democratic, amekuwa akiongoza katika kura za maoni kitaifa na katika majimbo mengi yanayoshindaniwa.
Wengi wamekuwa wakichakura kwenye Google.
Katika ngazi ya kimataifa, nafasi kama atakayoichukua Bw Bill Clinton si jambo geni. Mumewe Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, Joachim Sauer, ambaye ni mprofesa wa kemia, huitwa jina lake tu.
Mfadhili Philip John May, mumewe waziri mkuu wa Uingereza Theresa May, sawa na Ujerumani, hana jina rasmi.
Lakini nchini Marekani, kumekuwa na utamaduni wa kumrejelea Rais na Mke wa Rais ambaye huitwa First Lady na ambaye kwa Kiswahili huitwa Mama wa Taifa.
Kwa kuwa hali kama ya sasa haijawahi kutokea, si swali rahisi kujibu.
Nafasi inayokaribia zaidi ni ya mke wa gavana wa jimbo Marekani ambaye kwa Kiingereza huitwa First Gentleman.
Kwa sasa Marekani ina wanaume sita kama hao.
Jina hilo lilivuma mtandaoni Bi Clitnon alipoidhinishwa na kamati kuu ya Democratic kuwania urais Julai. Google wanasema swali kuhusu jina atakalopewa mume wa rais liliulizwa sana wakati huo.
Lakini FGOTUS (First Gentleman of the United States) huenda lisivutie kama FLOTUS, ufupisho wa mke wa rais (First Lady of the United States).
Baadhi wamependekeza aitwe First Dude au First Laddie, kwa sababu ya asili ya Clinton ya Celtic.
Hillary Clinton akiwa Cincinnati, Ohio.Image copyrightAP
Image captionMfuasi akiwa na bango linalosoma: "First Laddie"
Akihojiwa na Jimmy Kimmel Novemba mwaka jana, Bi Clinton mwenyewe alisema hana uhakika ni jina gani litafaa.
"Sasa kuna tatizo zaidi kwa sababu marais wote wa zamani wa Marekani pia huitwa Bwana Rais."
"First dude, first mate, first gentleman, sina uhakika," Bi Clinton alisema.
Bw Clinton majuzi aliingilia mjadala huo kwenye kampeni: "Sijali wataniita nini bora tu (Bi Clinton) ashinde."
"Nitakuwa First Volunteer (Mtu wa Kwanza Kujitolea). Natumai kuwa mtu atakayekuwa tayari zaidi kumfanyia kazi bila malipo."

Gari linaloweza kuundwa kwa saa nne pekee Saa moja iliyopita Mshirikishe mwenzako Gari hilo lenye mtindo wa kipekee na ambalo limetumia vifaa vyepesi kuundwa linaweza kutengezwa na mtu mmoja kwa saa nne Image caption Gari hilo lenye mtindo wa kipekee na ambalo limetumia vifaa vyepesi kuundwa linaweza kutengezwa na mtu mmoja kwa saa nne Gari la kielektroniki linaloweza kujiendesha na ambalo huenda likawa katika barabara za Uingereza limezinduliwa nchini humo. Gari hilo lenye mtindo wa kipekee na ambalo limetumia vifaa vyepesi kuundwa linaweza kutengezwa na mtu mmoja kwa saa nne kulingana na kampuni inayotengeza magari hayo. Gari hilo litakuwa tayari kuingia barabarani wakati sheria za magari ya kujiendesha itakapoidhinishwa . Serikali inatarajia kwamba magari hayo yataanza kuendeshwa ifikiapo 2020. ''Malori ya siku hizo hayakubaliki,yana kelele,yanaharibu mazingira na sio rahisi kutumia'', alisema Denis Sverdlov, mkurugenzi mkuu wa kampuni ya kitekenolojia ya Automotive Technology. Tunatengeza malori vile yanavyopaswa kutengezwa,bei rahisi,maridadi,hayana kelele,masafi na yalio na usalama wa hali ya juu.

Gari linaloweza kuundwa kwa saa nne pekee


Gari hilo lenye mtindo wa kipekee na ambalo limetumia vifaa vyepesi kuundwa linaweza kutengezwa na mtu mmoja kwa saa nne
Image captionGari hilo lenye mtindo wa kipekee na ambalo limetumia vifaa vyepesi kuundwa linaweza kutengezwa na mtu mmoja kwa saa nne
Gari la kielektroniki linaloweza kujiendesha na ambalo huenda likawa katika barabara za Uingereza limezinduliwa nchini humo.
Gari hilo lenye mtindo wa kipekee na ambalo limetumia vifaa vyepesi kuundwa linaweza kutengezwa na mtu mmoja kwa saa nne kulingana na kampuni inayotengeza magari hayo.
Gari hilo litakuwa tayari kuingia barabarani wakati sheria za magari ya kujiendesha itakapoidhinishwa .
Serikali inatarajia kwamba magari hayo yataanza kuendeshwa ifikiapo 2020.
''Malori ya siku hizo hayakubaliki,yana kelele,yanaharibu mazingira na sio rahisi kutumia'', alisema Denis Sverdlov, mkurugenzi mkuu wa kampuni ya kitekenolojia ya Automotive Technology.
Tunatengeza malori vile yanavyopaswa kutengezwa,bei rahisi,maridadi,hayana kelele,masafi na yalio na usalama wa hali ya juu.

Trump aondoshwa jukwaani na maafisa wa usalama

Trump aondoshwa jukwaani na maafisa wa usalama

by RORYA MAENDELEO
Mgombea wa urais nchini Marekani Donald Trump akiondoshwa katika jukwaa na maafisa wa usalama
Image captionMgombea wa urais nchini Marekani Donald Trump akiondoshwa katika jukwaa na maafisa wa usalama
Mgombea wa urais wa Marekani kwa tikiti ya chama cha Republican Donald Trump ameimarisha kampeini zake mjini Nevada licha ya kisa cha usalama kilochobabisha walinzi wake kumuondoa jukwaani kwa muda.
Wafuasi wake wanasema walinzi wake walifanikiwa kumuondoa jukwaani licha ya hofu kwamba kulikuwa na mtu aliyekuwa amejihami kwa silaha miongoni mwao.
Bw.Trump alikuwa anakaribia kilele cha hotuba yake ndani ya ukumbi wa Reno uliyojaa wafuasi wake, na ghafla kukatokea rabsha karibu na jukwaa.
Taharuki ilitanda mahala hapo kabla ya walinzi wake kufanikiwa kumuondoa.
Wafuasi wake waliyojawa na hofu walianza kukimbilia lango la kutoka nje wa ukumbi huo kufuatia madai ambayo hayakudhibitishwa
Polisi wamemkamata mtu mmoja kufuatia tukio hilo lakini akaachiliwa muda mfupi baadaye.
Mtu huyo hakupatikana na silaha kama ilivyodaiwa.
Huku zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya uchaguzi mkuu,wagombea wote wawili wameimarisha kampeini zao katika jimbo muhimu la Florida linalo na umaarufu wa kuamua mshindi wa uchaguzi wa urais.
Kumekuwa na ongezeko la watu wa asili ya hispania wanaopiga kura mapema Florida na Nevada.
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema huenda hatua hiyo ikamnufaisha Bi Clinton.
Trump amesema atazuru jimbo la Minnesota ambalo chama cha Republican hakijawahi kupata ushindi kwa zaidi ya miaka arobaini.

Student who oppose Mugabe said arrested

Student who oppose Mugabe said arrested


Protests defy President Mugabe and his policies have been a lot when the country faces a worsening economyImage copyrightAP
Image captionProtests against President Mugabe and his policies have been a lot when the country faces a worsening economy
One university student has been taken up by unknown persons, after displaying a placard with text requiring Zimbabwe President Robert Mugabe to step down
Mr. Mugabe was leading a ceremony for graduating college students A great of Science and Technology of Bulawayo in southern Zimbabwe that is when a group of students staged maamdamano.
Advance Musoke was becoming one of 14 students who were successful were iunu posters protest unemployment. Whether President Mugabe saw these posters.
Makomborero Haruzivishe, who is a student leader told the BBC that unidentified men took master Musoke while others managed to escape.
Protests defy President Mugabe and his policies have been a lot when the country faces a worsening economy

US election 2016: Trump rushed off stage by security

US election 2016: Trump rushed off stage by security



Media captionDonald Trump rushed off stage in Nevada security alert
Republican candidate Donald Trump was briefly rushed off the stage by Secret Service agents at a rally in Reno, Nevada in a false alarm.
A man holding a sign saying Republicans Against Trump was tackled by security agents, after shouts that he had a gun.
Mr Trump returned to the stage minutes later.
The Republican candidate says he is going to target states seen as Democratic strongholds ahead of Tuesday's election.
He is set to visit Pennsylvania, Michigan and also Minnesota, which has not voted Republican since 1972.
Both candidates have been making late changes to their travel schedules as falling poll numbers for Mrs Clinton in some key Democratic-leaning states present what the Trump campaign sees as new opportunities.
Hillary Clinton remains ahead in most national polls.

'There is no gun'

On Saturday evening, Mr Trump had stopped speaking at the Reno rally after seeing something in the auditorium.
He was grabbed by two agents, who rushed him off stage, while the protester was held down and searched.
When he resumed his speech, Mr Trump said: "Nobody said it was going to be easy for us... I want to thank the Secret Service."
The Secret Service later confirmed that someone in front of the stage had shouted "gun", but that "upon a thorough search of the subject and the surrounding area, no weapon was found".

Tanzania: Professor Voted Into UN International Law Commission



Professor Chris Maina Peter, was on Thursday voted member of the United Nations' International Law Commission (ILC) by the UN General Assembly.
Prof Maina, who is currently a Professor of Law at the University of Dar es Salaam (UDSM), was among 13 candidates from Africa who had vied for a seat in the UN's legal body.
The newly elected members will serve a five-year term of office with the Geneva-based body beginning January 2017. The members have been elected from five geographical groupings of Africa (eight members), Asia-Pacific (seven members), Eastern Europe (four members), Latin America and Caribbean (seven members) and Western European states with eight members.
Prof Maina was born on April 14, 1954 and holds a PhD in Law from the University of Konstanz in Germany. He once served as a member of the United Nations Committee on the Elimination of the Racial Discrimination (CERD), United Nations High Commissioner for Human Rights, Geneva, Switzerland. He has also published widely in the area of human rights, humanitarian law, public international law and good governance.
Other members from African countries included Ahmed Laraba (Algeria), TacoubaCissé (Ivory Coast), Dire D. Tladi (South Africa), Hussein A. Hassouna (Egypt), Amos Wako (Kenya), Charles C. Jalloh (Sierra Leone) and Hassan Ouazzani Chahdi (Morocco).
From Latin American and Caribbean was Carlos Argüello Gómez (Nicaragua), Juan Manuel Gómez-Robledo (Mexico), Claudio Grossman Guiloff (Chile), Juan Jose RudaSantolaria, (Peru), Gilberto VergneSaboia (Brazil), Eduardo Valencia -Ospina (Columbia) and Marcelo Vázquez- Bermúdez (Ecuador). Members from Eastern Europe elected were Bogdan Aurescu (Romania), Kirumi Anatolyevitch Kolodkin, (Russian Confederation), Ernest Petric (Slovenia) and Pavel Šturma (Czech Republic).
In the case of Western Europe and other countries who voted were, Concepción Escobar Hernández (Spain), PatríciaGalvãoTeles (Portugal), MarjaLehto (Finland), Sean David Murphy (United States), Georg Nolte (Germany), Nilufer Oral (Turkey), AgostiReinisch (Austria) and Michael Wood (United Kingdom).
The ILC was established by the United Nations General Assembly in 1948 for the promotion of the progressive development of international law and its codification. It holds an annual session at the United Nations Office in Geneva.

Tanzania

Students Blamed Over Loan Remittance Delay
HIGHER Education Students' Loans Board (HESLB) yesterday clarified on the loans disbursement status for this academic… Read more »