WIZARA YA AFYA YATEKELEZA AGIZO LA RAIS WA JAMHURI YA MUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI FEBRUARI 15,2016

89dda5c1-34e2-4a2e-a04e-53bc14c1fdecWaziri wa Afya Ummy Mwalimu akipokea Vitanda vya kawaida vya wagonjwa120, vya watoto njiti 10, vya kujifungulia 10, Magodoro, 120 na Shuka 480, vyote hivyo vimetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kama alivyoahidi siku alipo zungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Februari 13,2016
f53c6d2b-aa8c-4260-8a69-c1f3a3d72596Mashuka yakishushwa kwenye gari tayari kwa kupelekwa kwenye wodi mpya ambayo ilikuwa ikitumika kama ofisi hapo awali.
ca672472-67bd-446b-adf9-61dc171b4569Magodoro yakishushwa kwenye gari kama inavyoonekana pichani.
27954d88-8307-49f7-bcc5-8ced5053e245Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akifanya usafi mbele ya Jengo lililokuwa Ofisi ya Wizara ya Afya ambalo kwa sasa ni Wodi mpya ya wakina mama kama alivyoagiza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.
86923851-b8d1-4d33-b306-17cd508b3119Mafundi wakiendelea kufunga vitanda vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.
09d505a5-5ae2-41a0-b040-97fab05b3602Muuguzi akipandisha Kitanda ili kiweze kuanza kutumika
14c5dfd9-0f1c-4fab-929b-52f5b2d8e005Waauguzi wakitandika vitanda hivyo kama inavyoonekana.
3bdf90b9-64ca-449c-a003-e5c783a7279b

d7244878-6f6b-4621-9328-86663645d66fWagonjwa wakiwa wamelala mara baada ya kufungwa kwa vitanda hivyo.
f8203d86-90da-468b-b1a0-d8c48c8a5792Muuguzi akimfunika mgonjwa kama inavyoonekana mara baada ya kufungwa vitanda hivyo.