CCM TAWI LA UINGEREZA WAPONGEZA SIKU 100 ZA UTENDAJI WA MAGUFULI
Wednesday, February 17, 2016
Tawi la Chama Cha Mapinduzi nchini Uingereza, wamepongeza juhudi za serikali ya awamu ya tano kwa uthubutu na kasi ya hali ya juu ya kurekebisha mfumo wa utendaji katika serikali ambapo umekuwa na uozo mwingi na wa muda mrefu uliopelekea wananchi hasa wa hali ya chini kukosa huduma za muhimu kutokana na watendaji wengi kufanya kazi kwa mazoea yaliyopelekea kuzorota kiufanisi.
WanaCCM hao wa Uingereza wamesema kuwa siku zote serikali ya CCM imekuwa ikipata lawama nyingi katika utendaji mbovu na hivyo kupelekea wananchi kukata tamaa na utendaji wa Serikali na Chama chenyewe ili hali ni baadhi tu ya watendaji wachache wabovu waliokuwa kwa makusudi mazima wanatenda kazi zao chini kiwango bila weledi ama kwa makusudi ili tu kuharibu sifa ya Chama Cha Mapinduzi.
IKU MIA MOJA ZAMAGUFULI
o
WANACCM UINGEREZA WAMPONGEZA KWA KUTHUBUTU
o
WATAKA MAJIPU YA NJE PIA YATUMBULIWE
o
WAHOJI WANAOBEZA MAFANIKIO YAKE HAWAJITAMBUI
Na Mwandishi wetuTawi la Chama Cha Mapinduzi nchini Uingereza, wamepongeza juhudi za serikali yaawamu ya tano kwa uthubutu na kasi ya hali ya juu ya kurekebisha mfumo wa utendajikatika serikali ambapo umekuwa na uozo mwingi na wa muda mrefu uliopelekeawananchi hasa wa hali ya chini kukosa huduma za muhimu kutokana na watendajiwengi kufanya kazi kwa mazoea yaliyopelekea kuzorota kiufanisi.anaCCM hao wa Uingereza wamesema kuwa siku zote serikali ya CCM imekuwaikipata lawama nyingi katika utendaji mbo!u na hi!yo kupelekea wananchi kukatatamaa na utendaji wa "erikali na Chama chenyewe ili hali ni baadhi tu ya watendajiwachache wabo!u waliokuwa kwa makusudi mazima wanatenda kazi zao chinikiwango bila weledi ama kwa makusudi ili tu kuharibu sifa ya Chama Cha Mapinduzi.Tawi hilo la Uingereza wameitaka "erikali kuwabeza na kuwapuuza kabisa wale wotewanaotumia uhuru binafsi wa kutoa maoni kujaribu kuwapotosha wananchi ili wasionemazuri yanayofanywa na serikali ya CCM. Tuna #mani na $ais Magufuli,ametustaajabisha kwa yale yaliyofanywa ndani ya siku mia moja na hii inatudhihirishiakabisa kwamba kwa kipindi kifupi kijacho "erikali itakuwa imefanya makubwa %aidiya haya tunayoyaona sasa.Nidhamu imerejea "erikalini, watumishi wameanza kutenda kwa haki baada ya $aiskuonyesha mfano kwa kuwasimamisha au kuwaondoa kabisa watendaji wabo!u ambaowamekuwa wakichangia sana kuzorota kwa huduma muhimu kwa wananchi.#tapendeza endapo hao wanaobeza siku mia moja za utendaji wa $ais Magufuli naowakatuletea taarifa yao katika kipindi hicho ili wananchi wa maeneo yao hasa abungewapate nafasi ya kuwapima nao kujua nini wametekeleza kwa wananchi wa majimboyao na si kubeza tu ili kusikika ili hali wao wenyewe hawajafanya kitu katika jamiiinayowazunguka.Tawi la Chama Cha Mapinduzi nchi Uingereza limefurahishwa sana na utendaji wa$ais Magufuli na "erikali katika kipindi hiki kifupi sana toka ameingia madarakani nahii inadhihirisha kwamba kuna mengi mazuri mbeleni kwa Taifa la Tanzania.Tunawasihi atanzania wote popote walipo ulimwenguni kwa #mani zao kumwombea
$ais Magufuli na "erikali yake ili aweze kufanikisha safari yake ya kuibadilishaTanzania mpya.&kifungua mkutano huo maalumu Mwenyekiti wa Tawi 'w. (apinga (angoma,amewataka wanachama wa CCM na watanzania popote walipo duniani kujitolea kwahali na mali ili kuchangia kasi ya "erikali ya CCM chini ya )k. *+ Magufuli.(azi ya kutumbua majipu ni kubwa sana na majipu mengi yapo sehemu mbaya sana.Mengi ya hayo majipu tyunayo pia katika sehemu nyingi za uwakilishi wan chi hukungambo. Tumuunge mkono $ais kuwezesha majipu yote yatumbuliwe ili kupataTanzania mpya yenye kumfaidisha kila mmoja wetu hasa masikini aliyesahaulikakabisa kule kijijini. &lisema bw. (apinga.&kimkaribisha Mwenyekiti wa Tawi kufungua mkutano maalumu wa Tawi kutafakarimafanikio ya siku mia moja za $ais )k. Magufuli uliofanyika jijini -eicester Uingerezasiku ya *umamosi, (atibu Mkuu wa Tawi bw. -eybab Mdegela alisema, tayaritumeona ishara za kuzaliwa Tanzania mpya, ni jukumu letu kama Tawi na kamamtanzania mwenye mapenzi na nchi yako, kuunga mkono kwa !itendo juhudi za $ais)k. *+ Magufuli ili nawe uwe sehemu ya mabadiliko hayo/.'w. Mdegela pia ameyataka Matawi yote ya CCM Nje na ndani ya Tanzania kujipanga!izuri katika kuhakikisha kwamba juhudi hizi za $ais )k. Magufuli na "erikali yote!inaungwa mkono kwa !itendo na sio maneno matupu, hasa kuhakikisha kwambatunawaumbua wale wote wasaliti na wanafiki katika Chama ili kuwa na wanaCCMwachache wenye mapenzi ya kweli na Chama na "erikali iliyopo madarakani.Tanzania tuna hazina ya ubora na weledi wa rasilimali watu ambao kwa namna mojaama nyingine wamekuwa wakikatishwa tamaa na kutotoa mchango katika nchi yaokutokana na watendaji wachache wabo!u walioturudisha nyuma kwa maslahi yaobinafsi. Nawasihi tutumie ujuzi na uzoefu wa kukaa nje na kupeleka taaluma zetunyumbani ili nchi yetu ina!yojikwamua kiuchumi nasi tuwe sehemu ya mabadilikohayo. &liongeza bw. Mdegela.&kichangia katika mkutano huo, Makamu Mwenyekiti wa Tawi bw. "aid "ukwaamesema, tusipoteze muda kusikiliza !ioja !ya upinzani, wao kila jema litapingwa tuwamepoteza mwelekeo na hawana hoja ya msingi, wanaweweseka kwani mwisho waounakaribia sasa wanatapatapa. Tumuunge mkono $ais )k. Magufuli kwa kila hali ilikuona mabadiliko ya kweli yanapatikana katika Tanzania yetu iliyojaa utajiri mwingiutakaowezesha kutu!usha hadi katika uchumi wa kati.ito wangu ni kuwasihi wanaccm wote na watanzania kwa ujumla kwamba tusisubirikila kitu kifanywe na serikali, badala yake kila mmoja kwa nafasi yake kuhakikishaunawajibika ili kuleta maendeleo yako binafsi na kwa nchi kwani serikali inasaidiakuweka taratibu nzuri za kiutendaji ili kurahisha huduma ya muhimu kwa kilamwananchi. &lichangia bw. Moses (usamba, (atibu wa CCM "hina la *iji la -eicesterUingereza.
"isi ni wanaccm na ndio wadau wakubwa wa kuwezesha mafanikio haya ya "erikali,tuonyeshe kasi %aidi katika kutekeleza malengo ya "erikali kwa !itendo ili tuwemsaada kwa "erikali na nchi kwa ujumla. Tanzania ni nchi tajiri sana na Mheshimiwa$ais amekuwa akisema hilo mara nyingi, tumsaidie kuona rasilimali za nchi zinaileteaTanzania matumaini mapya kwa michango yetu chanya kutoka huku. &lisema bw.0ictor Mashamba, Mwenyekiti wa CCM "hina la *iji la Manchester Uingereza
No comments:
Post a Comment