Tuesday, July 19, 2016
BARABARA YA NJOMBE-MAKETE KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI..... PRF MBARAWA
by RORYA MAENDELEOWaziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiongea na wakazi wa kijiji cha Usalule, Wilaya ya Wanging’ombe, Mkoa wa Njombe alipotembelea kukagua ujenzi wa barabara ya Njombe–Makete yenye urefu wa KM 109.4 inayotarajiwa kujengwa kwa kiwango cha lami.Waziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akisalimiana na Wakazi wa kijiji cha Usalule, Wilaya ya Wanging’ombe, Mkoa wa Njombe mara baada ya kutoa taarifa ya ujenzi wa barabara ya Njombe–Makete yenye urefu wa KM 109.4 inayotarajiwa kujengwa kwa kiwango cha lami.Waziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akimbeba mtoto aliyehudhuria kikao cha Wakazi wa Kijiji cha Usalule, Wilaya ya Wanging’ombe, Mkoa wa Njombe mara baada ya kutoa taarifa ya ujenzi wa barabara ya Njombe–Makete yenye urefu wa KM 109.4 inayotarajiwa kujengwa kwa kiwango cha lami.Waziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akicheza na wakazi wa Kijiji cha Usalule, Wilaya ya Wanging’ombe, Mkoa wa Njombe waliokuwa na furaha mara baada ya kupewa taarifa ya ujenzi wa barabara ya Njombe–Makete yenye urefu wa KM 109.4 inayotarajiwa kujengwa kwa kiwango cha lami.Muonekano wa barabara ya Njombe–Makete yenye urefu wa KM 109.4 inayotarajiwa kujengwa kwa kiwango cha lami.Meneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Iringa Bi. Elikael Manase akitoa maelezo kwa Waziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuhusu athari ya mmomonyoko wa ardhi unavyoathiri sehemu ambayo Mkongo wa Taifa umepita eneo la Lukumburu Mkoani Njombe.Waziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (mbele) akitoka kukagua eneo lililoathirika na mmomonyoko wa ardhi eneo la Lukumburu Mkoani Njombe.Waziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiongea na wafanyakazi wa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo wakati alipotembelea kuangalia utendaji kazi, Mkoani Njombe.Wafanyakazi wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wakimsikiliza Waziri Profesa Makame Mbarawa wakati alipotembelea kuangalia utendaji kazi, Mkoani Njombe.Wakazi wa Kijiji cha Usalule, Wilaya ya Wanging’ombe, Mkoa wa Njombe wakimsikiliza Waziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakati alipotoa taarifa ujenzi wa barabara ya Njombe–Makete yenye urefu wa KM 109.4 inayotarajiwa kujengwa kwa kiwango cha lami.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment