WAZIRI MKUU WA INDIA MHE. NARENDRA MODI AONDOKA NCHINI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE.
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akipungia mkono vikundi vya utamaduni vilivyokuwa vikitoa buradani katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili nchini