Saturday, June 4, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO WA BODI YA USAJILI WA MAKANDARASI NCHINI CRB MEI 26,2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO WA BODI YA USAJILI WA MAKANDARASI NCHINI CRB MEI 26,2016

1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye ukumbi wa Mikutano wa Diamond Jubilee kwa ajili ya Ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Siku mbili wa Mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi nchini CRB.
2

3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wakandarasi, Wahandisi na wadau mbalimbali wa sekta ya Ujenzi kabla ya kufungua rasmi Mkutano wa Siku mbili wa Mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi nchini CRB uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam
5 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipewa maelezo kuhusu katapila linalotumika katika kazi mbalimbali za ujenzi mara baada ya kufungua mkutano wa siku mbili wa Mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi jijini Dar es Salaam
6

7

8 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakati akikagua baadhi ya mitambo na magari mbalimbali katika maonesho ya vifaa hivyo vinavyotumika katika sekta ya ujenzi.
9 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vifaa vya ujenzi katika moja ya mabanda mara baada ya kufungua mkutano wa siku mbili wa Mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi jijini Dar es Salaam.
10.Wadau mbalimbali wa Sekta ya Ujenzi wakiwemo Wahandisi na Wakandarasi wakipiga makofi wakati wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika mkutano huo wa Mashauriano wa CRB jijini Dar es Salaam

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA HAFLA YA UTOAJI WA TUZO ZA RAIS KWA WAZALISHAJI BORA WA VIWANDA KWA MWAKA 2015.

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA HAFLA YA UTOAJI WA TUZO ZA RAIS KWA WAZALISHAJI BORA WA VIWANDA KWA MWAKA 2015.

2wcxvc s Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua nembo mpya ya Tuzo za Rais kwa Wazalishaji bora wa Viwanda PMAYA The President’s Manufacure of the Year pamoja na Mwenyekiti wa Wenyeviwanda Tanzania CTI Dkt. Samwel Nyantahe katika Ukumbi wa Serana Jijini Dar es Salaam Mei 30,2016
3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wadau mbalimbali wa CTI na kutoka Sekta ya Viwanda nchini kabla ya kutoa Tuzo za Rais kwa viwanda vilivyofanya vizuri kwa mwaka 2015 katika Ukumbi wa Serana Jijini Dar es Salaam
7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP Media dkt. Reginald Mengi baada ya kuzungumza na wadau mbalimbali wa CTI na kutoka Sekta ya Viwanda nchini na kutoa Tuzo za Rais kwa viwanda vilivyofanya vizuri kwa mwaka 2015 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam.
11 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na washindi mbalimbali walipata tuzo za Rais kwa Wazalishaji bora wa viwanda kwa mwaka 2015
12 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini Leodgar Tenga mara baada ya kumalizika kwa hafla hio ya utoaji Tuzo za Rais
13Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na baadhi ya Wadau wa Viwanda nchi mara baada ya kumalizika kwa hafla hio ya utoaji Tuzo za Rais.

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA UJENZI WA MAKTABA MPYA YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM JUNE 2,2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA UJENZI WA MAKTABA MPYA YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM JUNE 2,2016

1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini katika Kitabu maalum cha Kampuni ya Jiangsu Jiangdu construction group inayojenga Maktaba Mpya ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam mara baada ya kuwasili chuoni hapo.
2

3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandala, Balozi wa China hapa nchini lu you Qing, maafisa wa kampuni ya Kutoka China ya Jiangsu Jiangdu wakiweka mchanga kama ishara ya kuweka jiwe la msingi katika Maktaba Mpya ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam UD mara baada ya kuwasili chuoni hapo. Maktaba hiyo itakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 2000 kwa wakati mmoja.
5 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Kikwete, Makamu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandala, Balozi wa China hapa nchini lu you Qing, Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na makamu wa Rais katika serikali ya awamu ya nne Mohamed Gharib Bilal, Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako na Spika Mstaafu Pius Msekwa mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Maktaba hiyo ya kisasa.
6 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Balozi wa China hapa nchini lu youQing kabla ya kwenda kuzungumza na jamii ya wanachuo kikuu cha Dar es Salaam.
7


8Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandala akitoa maelezo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   kuhusu ujenzi wa Maktaba hiyo ya kisasa itakayochukua wanafunzi zaidi ya 2000 kwa wakati mmoja. Wengine katika picha ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Wziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako
9Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye mabango ya picha za mfano wa majengo ya Maktaba mpya itakayojengwa katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
11

12.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia mamia ya jamii ya wanachuo na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Maktaba mpya itakayochukua zaidi ya wanafunzi 2000 kwa wakati mmoja
14Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli machapisho ya tafiti mbalimbali za madini na mambo mbalimbali ya kimaendeleo zilizofanywa na wahadhiri wa chuo hicho mara baada ya kuwahutubia.
15 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha machapisho hayo.
16Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na baadhi ya Wanafunzi pamoja na wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara baada ya kumaliza kuwahutubia.
17Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya kumaliza mkutano huo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Mlimani jijini Dar es Salaam.

Muhammad Ali dead at 74 - tributes and reaction from around the world

Muhammad Ali dead at 74 - tributes and reaction from around the world

Muhammad Ali victorious after first round knockout of Sonny Liston at St. Dominic's Arena
Muhammad Ali victorious after first round knockout of Sonny Liston at St. Dominic's Arena Credit: Neil Leifer /Sports Illustrated/Getty Images/Neil Leifer /Sports Illustrated/Getty Images
Muhammad Ali, the former world heavyweight boxing champion and one of sport's most influential individuals, has died aged 74.
Ali, who earned the nickname 'The Greatest', suffered from Parkinson's Disease since 1984. He was taken into hospital on Thursday for a respiratory condition and had been being kept in "as a precaution". News of his death was released by his family's spokesman early on Saturday morning (GMT).
Politicians, athletes and celebrities immediately flooded to social media to pay tribute to "The Greatest". Ali was also described as a "humble mountain" and "the biggest and the best".
Follow live as the world reacts to the death of the celebrated boxer and public figure. You can also send your reactions in to lydia.willgress@telegraph.co.uk.
Muhammad Ali obituary: Why he was the greatest Play! 03:34
Auto update

From Brian London to Sonny Liston... the five best knockouts

In a career spanning 21 years, Muhammad Ali won 37 fights from knockouts.
From Brian London to Sonny Liston, The Telegraph has rounded up the five best so you can watch the boxer win again and again...

Tanzanian singer Diamond mauled by fans for piercing his nose

Tanzanian singer Diamond mauled by fans for piercing his nose


– Tanzanian singer, Diamond has been a victim of online trolls after he posted a photo online, showing off a nose-ring which was taken as an indicator of his sexuality
Tanzanian top singer, Diamond Platinumz has been the object of harsh social media criticism after he made an alteration to his face which is characteristic of homosexuals-or so says social media.
READ ALSO: Diamond’s wife Zari Hassan hurls insults at her financially challenged fan base
The alteration is a simple shiny ring on his nose. A ring that people have construed to be an indicator of his sexuality. He has been called among other things, a homosexual.
His marriage to Tanzanian socialite, Zari Hassan did not save his face of the accusations. Tanzanians and his fanbase across the globe questioned why he was ditching his African roots in the favor  of the western culture.
READ ALSO :Diamond Platnumz’s manager takes famous singer to rehab for drug addiction
See the photo below :
Tanzanian singer Diamond mauled by fans for piercing his nose
Singer Diamond posts a photo showing a nose ring that he is alleged to have received.
The singer was implored by his ardent fans to pull down  the photo as it was a skewed reflection of the person that he was. While a number of his  fans told him to live his life as he willed, most people felt that the singer-a role model to many, was setting a bad example.
READ ALSO: Weeks after DNA test results, singer Diamond has a nasty fight with his wife in Sweden
Much later the same day, the singer posted another photo, this time the nose ring was missing. Speculations abounded  that the first photo was edited to fit the nose-ring and gauge the reaction of the fans towards it.
This did not however calm down his fans who continued to troll him for allegedly seeking attention.
Platimumz recently  fell out with his wife Zari on Wednesday, March 23 during his Sweden tour dubbed ‘From Tandale to the World’.
The singer had just landed at the Stockholm Airport alongside his mother, Bi Sandra, his  wife Zari, daughter Latifa and members of his label, Wasafi when female fans caused drama which infuriated his wife Zari.
It is alleged that the first night in Sweden, Platinumz and Zari slept on separate rooms before they solved the differences the following day.
Image: Citizentv.co.ke

'Don't leave Italy alone to face migrants': Italian president


'Don't leave Italy alone to face migrants': Italian president
Libyan Red Cross personnel retrieve body of a migrant washed up on beach. Photo: Stringer/AFP

'Don't leave Italy alone to face migrants': Italian president


Speaking on the Italian island of Lampedusa, the first point of arrival in Europe for many migrants, Mattarella said Italy and Europe owed a "debt of gratitude" to the islanders for "the lives saved, for the welcome given to those fleeing hunger and war".
 
Mattarella's statement came as Libyan authorities announced the grim discovery of at least 117 migrants on the shore in the western Libyan town of Zwara -- possibly from one of another three boats that capsized last week off the Libyan shores -- and warned that the toll could rise.
   
"The total number of bodies retrieved until now is 117... 70 percent of them were women plus six children," said Khames al-Boussefi, media coordinator to the Libyan Red Crescent.
   
At the same time, a migrant boat sank off the island of Crete, leaving at least nine people dead and hundreds missing.
 
Two helicopters, three ships and a coastguard vessel were searching the waters off the Greek island of Crete where the boat, believed to have come from  Africa with hundreds of migrants on board, capsized.
   
"Until this point 340 (people) have been rescued and nine bodies have been recovered," the Greek coastguard said in a statement, without giving details on the migrants' nationalities.
   
The International Organization for Migration (IOM) earlier said the vessel was "believed to have left Africa with at least 700 migrants on board".
  
The Friday sinking marked the second migrant vessel found in that area of the southern Aegean Sea since last week, indicating that people smugglers may be forging a new route to avoid NATO ships.
   
It was not immediately clear where exactly the boat had left from or where it was headed, or the nationalities of those on board.
     
In Greece, a coastguard spokeswoman said a passing ship spotted the sinking vessel off Crete.
   
When rescuers reached the scene, about half of the 25-metre-long boat was completely underwater, the spokeswoman said.
   
"The number of people in distress could be counted in the hundreds," she said.
   
The deaths are the first in Greek waters since April, as a controversial March deal between the EU and Turkey designed to halt the flow of migrants using the popular Aegean route has led to a sharp drop in arrivals.
   
Nevertheless, some 204,000 migrants and refugees have crossed the Mediterranean to Europe since January, the United Nations refugee agency said on Tuesday.
   
More than 2,500 people have died trying to make the perilous journey this  year -- the vast majority of them on crossings between Libya and Italy -- as Europe battles its worst migration crisis since World War II.
 
Greek tourist islands in the Aegean witnessed the arrival of hundreds of thousands of people crossing in flimsy boats from nearby Turkey last year, many of them refugees fleeing the war in Syria.
Story continues below…