Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili
kwenye ukumbi wa Mikutano wa Diamond Jubilee kwa ajili ya Ufunguzi rasmi
wa Mkutano wa Siku mbili wa Mashauriano wa Bodi ya Usajili wa
Makandarasi nchini CRB.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia Wakandarasi, Wahandisi na wadau mbalimbali wa sekta ya
Ujenzi kabla ya kufungua rasmi Mkutano wa Siku mbili wa Mashauriano wa
Bodi ya Usajili wa Makandarasi nchini CRB uliofanyika katika ukumbi wa
mikutano wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipewa
maelezo kuhusu katapila linalotumika katika kazi mbalimbali za ujenzi
mara baada ya kufungua mkutano wa siku mbili wa Mashauriano wa Bodi ya
Usajili wa Makandarasi jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakati
akikagua baadhi ya mitambo na magari mbalimbali katika maonesho ya vifaa
hivyo vinavyotumika katika sekta ya ujenzi. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
vifaa vya ujenzi katika moja ya mabanda mara baada ya kufungua mkutano
wa siku mbili wa Mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi jijini
Dar es Salaam. Wadau
mbalimbali wa Sekta ya Ujenzi wakiwemo Wahandisi na Wakandarasi
wakipiga makofi wakati wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika mkutano huo wa
Mashauriano wa CRB jijini Dar es Salaam