Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua
nembo mpya ya Tuzo za Rais kwa Wazalishaji bora wa Viwanda PMAYA The President’s Manufacure of the Year pamoja na Mwenyekiti wa Wenyeviwanda Tanzania CTI Dkt. Samwel Nyantahe katika Ukumbi wa Serana Jijini Dar es Salaam Mei 30,2016 Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wadau mbalimbali wa CTI na kutoka Sekta ya Viwanda nchini kabla ya
kutoa Tuzo za Rais kwa viwanda vilivyofanya vizuri kwa mwaka 2015 katika
Ukumbi wa Serana Jijini Dar es Salaam Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP Media dkt.
Reginald Mengi baada ya kuzungumza na wadau mbalimbali wa CTI na kutoka
Sekta ya Viwanda nchini na kutoa Tuzo za Rais kwa viwanda vilivyofanya
vizuri kwa mwaka 2015 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na washindi mbalimbali walipata tuzo za Rais kwa
Wazalishaji bora wa viwanda kwa mwaka 2015 Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini Leodgar Tenga
mara baada ya kumalizika kwa hafla hio ya utoaji Tuzo za Rais Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
baadhi ya Wadau wa Viwanda nchi mara baada ya kumalizika kwa hafla hio
ya utoaji Tuzo za Rais.