KATIBU MKUU UTUMISHI GEORGE YAMBESI ASTAAFU UTUMISHI WA UMMA
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj2D_NWZGzjp6fhtpgNYyK9V4RQuTYrnojW1mlq03MXLArTW3MS7b_NEJDW6_UIEyvj1y_1khvVfruDBg1wG4VTut7D9DDDqjIwgr7hJ5JpY4Hf4WlCV746wUH53jM9ftdMvVB7GsC5RDbz/s1600/unnamed+(36).jpg)
Katibu
Mkuu Utumishi Bw.George D. Yambesi (kushoto) akikabidhi ofisi kwa Naibu
Katibu Mkuu Utumishi Bw. Hab Mkwizu baada ya kustaafu Utumishi wa
Umma.Makabidhiano hayo yamefanyika ofisini kwake.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEqBGaYQNsiaBbMlZXHnXu2ZL0EBzu2FS1BFdO2XqENlDRVpCckUxxdpGzCkA1hrEwRhdQHsskQqn_yid9LTJBB_48LpCWeXGcY98CP0VIkyN2ejDcSWioVb3FDSjHedYG60iX4tlIEagS/s1600/unnamed+(37).jpg)
Katibu
Mkuu -Utumishi Bw. George D. Yambesi (katikati) akipongezwa na
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu Bw. Aloyce Msigwa,
(kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Hab Mkwizu. Bw. Yambesi
amestaafu Utumishi wa Umma.
No comments:
Post a Comment