Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili
kwenye Uwanja wa Kololo jijini Kampala kuhudhuria sherehe za uapisho wa
Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya Pili Alhaji Ali Hassani Mwinyi
kwenye viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda. Rais Mstaafu Mwinyi
alihudhuria pia sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri
Kaguta Museveni. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete kwenye
viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda. Rais Mstaafu Kikwete pia
alihudhuria sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri
Kaguta Museveni. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na viongozi wa mataifa mbalimbali katika viwanja vya Kololo
jijini Kampala. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na mmoja wa viongozi wa dini wa Taifa la Uganda katika
viwanja vya Kololo jijini Kampala. Rais
Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akifurahia jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara
baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Kololo jijini Kampala Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili
kwenye viwanja vya Kololo jijini Kampala Rais
wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili
kwenye viwanja hivyo. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa wa Sudani Kusini Salva Kir mara baada ya
kuwasili kwenye viwanja hivyo. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akijadiliana jambo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada
ya tukio la uapisho.