Rais Mugabe awa babu Zimbabwe
- Saa 3 zilizopita
Kiongozi wa muda mrefu wa Zimbabwe Robert Mugabe, 92, amekuwa babu rasmi.
Hi ni baada ya bintiye wa pekee Bona Chikore kujifungua mtoto mvulana katika hospitali moja nje ya nchi hiyo.Bi Chikore alijifungua mtoto huyo mwezi uliopita, gazeti la serikali la Herald limeripoti.
No comments:
Post a Comment