Saturday, November 28, 2015

Ninani comendy wa tucasa kwa sasaaaa

Piga kura nyingi zaidi kwani atakae pata kura nyingi ndiye mshindi wetu
1.Erick
2.Lameck
3.Chumi
4.Baraka.

Erick na lameck sema neno hapo.

Sema neno ngosha na goma nani mrefuuuu

Mwl.Nelson ktk pozi...

Yaliyojiri mafinga leo.....................

kwakweli mafinga ni dar ndongo kwani mpaka jioni hii tumekuta kunachangamoto za usafri sanaaaaaaaa

wakipewa semina.


Emmanuel toka Iringa unvst 

mwnykt kanda katika ubora wake

Mzee wakanisa Ngome katika maombi ya utakaso










safriiiiiiiiii sasaaaaaaaaaaa 





CDTI kwaya hapo

Mzee wakanisa la Ngome Mzee Malongo katka maombi ya mwisho.

Wanachama wakipata maombi toka kwa viongozi katka kukamilisha huduma ya ufunguzi wa matawi mapya.

Wakikabithwa katiba ya tucasa.