Saturday, July 18, 2015

Ronaldo ni mchezaji Bora wa Dunia? Angalia jibu la Benitez alipoulizwa..


Ronaldo ni mchezaji Bora wa Dunia? Angalia jibu la Benitez alipoulizwa..


Kocha wa Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez alijikuta anapata wakati mgumu kujibu swali katika mkutano na wahandishi wa habari baada ya kuulizwa kama ana amini Cristiano Ronaldo ni mchezaji bora duniani?
Ni kama Benitez alizuga kutoa jibu la swali hilo na hakutaka kabisa kumtaja Ronaldo kama mchezaji bora zaidi duniani, nafasi ambayo angepewa kocha wa zamani Carlo Ancelotti isingekuwa ishu nzito sana kwake kutoa jibu.
Kocha huyo alimtaja Ronaldo kama mmoja ya wachezaji wenye viwango vya juu kama Bale na Benzema >>>> “Ni ngumu kusema nani ni mchezaji bora duniani, sababu kuna wachezaji wengi wa kiwango hicho kwa muda mrefu… nafikiri Ronaldo, Bale, Benzema na James ni wachezaji wenye viwango vya juu, na kumuweka Ronaldo miongoni mwa wachezaji bora inatosha” >>>Benitez

Diamond aungana na wasanii wa Afrika kwenye press conference ya MTV Base

.


Diamond aungana na wasanii wa Afrika kwenye press conference ya MTV Base

.
Ni july 17 ambapo Diamond Platnumz, Neyo, Jhene, Bucie, P Square na wasanii wengine waliungana na MTV Base kwenye mkutano wa waandishi wa habari kutoka media mbalimbali uliofanyika Durban Afrika Kusini.
Hapa nimekuwekea picha kadhaa ushuhudie jinsi wasanii mbalimbali wakiwa katika mkutano huo wa waandishi wa habari.
.
.
.
Nomuzi Mabena mtangazaji wa MTV Base .
.
Mchekeshaji na muigizaji wa Marekani,Anthony Anderson atakuwa host kwenye utoaji wa tuzo za MTV base
.
Anthony Anderson.
DSC_4182
Jhene Aiko (kulia) akijibu swali kwenye press conference.
.
.
.
.
.
Jhene Aiko akiwa kwenye press conference.
.
.
.
Neyo.
.
Neyo akijibu swali la mwandishi leo kwenye Press Conference.
.
Neyo.
.
.
.
.
.
.
.
Waandishi wa Habari kutoka media tofauti tofauti.
.
.
.
Makamu mkuu wa Rais wa MTV Africa, Alex Okos (Kulia) akizungumza na waandishi wa habari.
.
Mtangazaji wa MTV Base, Nomuzi Mabena akitambulisha rasmi tuzo ya MTV Base itakayotolewa kesho July 18.
.
Huu ndio muonekana wa tuzo ya MTV Base.
.
K.O.
.
Msanii wa kike kutoka Afrika Kusini, Bucie.
.
Cassper Nyovest.
.
Rapper kutokea Africa Kusini, Cassper Nyovest.
.
Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest.
.
Masta Just.
.
.
DSC_4568
Yemi Alade.
.
Yemi Alade.
.
.
.
Peter wa psquare.
.
D’Banj.
.
.
.
Diamond Platnumz.
.
Diamond Platnumz.
.
.
.
Diamond Platnumz akiwa kwenye Redcarpet.
.
.
.
Diamond Platnumz akiwa na mashabiki.
DSC_4785
Diamond Platnumz akiingia kwenye gari baada ya kumaliza press conference.
.
.
.
Diamond Platnumz akiwa kwenye gari.
.
Diamond Platnumz akiteta jambo na meneja wake Salam.

Baada ya kufanikiwa kumnasa Raheem Sterling, Man City imemsajili na kiungo huyu…

Baada ya kufanikiwa kumnasa Raheem Sterling, Man City imemsajili na kiungo huyu…

Klabu ya Manchester City imemsajili kiungo wa Aston Villa Fabian Delph kwa mkataba wa miaka mitano… Delph amejiunga na Manchester City  ikiwa ni siku kadhaa zimepita toka atangaze kuwa hana mpango wa kuihama klabu hiyo baada ya kuhama kwa mshambuliaji Christian Benteke na kujiunga na Liverpool.

Delph amesajiliwa kwa ada ya uhamisho ya pound million 8 na anategemea kusafiri weekend hii kwenda Australia kujiunga na kikosi cha Man City kwa maandalizi ya msimu mpya.
Delph akionesha uzi aliokabidhiwa, namba 18 mgongoni Man City.
Delph alisaini mkataba wa miaka minne na Aston Villa miezi sita iliyopita baada ya ule wa awali kukaribia kumalizika na amecheza mechi 28 za Ligi kuu Uingereza akiwa na Aston Villa na mchezo mmoja wa fainali ya kombe la FA.