Thursday, April 16, 2015

CCM,CHADEMA+UKAWA YANYOSHA MKONO KWA ACT.

ACT Yazidi kutishia maisha ya viama vingine ka ukawa na umoja wake kwani toka safari yao kuanza ya kuzunguka mikoa kumi ikiwa ni miongoni mwa viama vipya hapa nchini. kwa sasa chadema,cuf,nccr,na hata CCM tayari wamepatwa na mtero wa kushindwa kutambua kinacho tendeka chini ya mwavuli wa ACT.
KIONGOZI WA ACT ZITO KABWE 




ACT KIDEDEA MORO WASHIRIKI MAZISHI YA WALIYOPATA AJALI

MKUTANO WA ACT WAZALENDO JIMBO LA MOROGORO MJINI LEO, WATEMBELEA ENEO LA AJALI NA KUSHIRIKI MAZISHI KILOSA LEO,ATOA ONYO KWA SERIKALI

Wanachama  ACT  wazalendo la  wananchi  wa   jimbo la  Morogoro  mjini wakiwa katika mkutano  wa ACT wazalendo leo




viongozi  wa  kitaifa  wa ACT  wazalendo  wakiimba  wimbo wa  Taifa  kabla ya  kuanza  mkutano  wa  hadhara  jimbo la  Morogoro  mjini  leo
Wanachama  wa  ACT  wazalendo  wakiimba  wimbo wa  Taifa  leo


Wananchi  wakishiriki  kuimba  wimbo  wa Taifa  leo 

Afande  Selle  akitangaza  nia  ya  kugombea  ubunge  jimbo la Morogoro  mjini kupitia  ACT Wazalendo  leo


Katibu  mkuu  wa ACT  Wazalendo  Bw  Samson Mwigamba  akieleza  sera ya  chama  hicho  leo

Mwenyekiti  wa Taifa  wa ACT  wazalendo  Anna Mngwira  akiwahutubia  wananchi  wa  jimbo la Morogoro mjini  leo


 Zitto Kabwe  kushoto na afande  Selle  wakionyesha alama  ya  ACT wazalendo

 viongozi  wa  ACT wazalendo  wakijumuika  kucheza  wimbo  mpya  wa ACT  wazalendo 


kiongozi  wa ACT wazalendo  Zitto Kabwe  akihutubia katika mkutano  wa chama  hicho  jimbo la Morogoro  mjini  leo