Friday, January 30, 2015

VIJANA WAJIPANGA 2015 UCHAGUZI


MARASIBORA TAHABANI

Kijiji cha marasibora kata kisumwa wilayani rorya mkoa wa mara yakumbua na misukosuko baanda ya kura kuesabiwa na kubainika kwamba kati ya wangombea wawili Bw.ACHOYO WADE Chadema na SIPROZA CHALSE Ccm kuchuana vikali na kupelekea mshindi kutokupatikana.kitu kilicho mpelekea mwenyekiti huyo aliyekua hakitetea kiti chake kupiga simu polisi.nakupelekea wanakijiji kusombwa kama mizoga akiwemo Mch. Christopher Assan na ndugu yake Agutu Assan na wengine wengi kulala kituoni bila makosa. Tulipojaribu kubaini chanzo wanakijiji walidai kwamba mwenyekiti huyo alijiapisha mwenyewe kitu kilicho fanya wanakijiji kupeleka kesi mahakamani. Tutaendelea kwajulisha yanayojiri huko mahakamani.