Tuesday, December 29, 2015

Fc Barcelona yavunja mkataba na mchezaji....

FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid … by Rama Mwelondo TZA Mapenzi ya wachezaji katika vilabu fulani barani Ulaya, imekuwa kawaida hata kama hawavichezei. December 28 klabu ya FC Barcelona imeingia kwenye headlines baada ya kumsainisha mchezaji na kisha kufuta mkataba wake masaa machache baada ya kugundua kuwa ametweet vitu ambavyo vinaihusu timu ya Real Madrid. Baada ya kufuzu majaribio na Barcelona B Sergi Guardiola alisaini

Tuesday, December 22, 2015

LESONI SASA HII juma hili lote

Diamod interview

Full Interview ya Diamond Platnumz: Kwanini hakutokea White party Uganda, video ya Wema Sepetu, scene iliyomuhuzunisha na mengine by Millard Ayo Ni Interview ambayo mwimbaji Diamond Platnumz alihojiwa CloudsFM kwenye LeoTENA December 22 2015 ambapo ndani yake alizungumzia kutokutokea kwenye show ya Zari All White Party Uganda, video ya Wema Sepetu iliyosambaa akiimba wimbo wa Diamond na mengine mengi. Ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini utasikia yote aliyosema Diamond ikiwemo ya Mama yake alivyoigiza kwenye […]

Monday, December 21, 2015

PICHA ZA WAGENI WAKIWA NA WASHIRIKI WA KANISA LA NGOME HAPO JANA.

Picha za kipindi kupata chakula kanisani ngome.














FURAHA MPAKA KWA WATOTO


WAPISHI WAKIGAWA VYAKULA.

KWAKWELI TUNAKULA LAKINI TUNATIANA MOYO


KUMBUKA 
SILAA HATA WAKATI WA.......... 


MASTER HAPO PAMOJA NA KATIBU TUCASA.

SHEREHE ZIKAFATANA NA CHAKULA 

JEE WAMJUA MWENYEKITI WA KWAYA YA TUCASA?
KUTANA NA MZAMBIA HAPO KATIKA FURAHAAAAA......

Friday, December 18, 2015

Anayetaka nafasi ya jose mourinho

Anayeitaka nafasi ya Jose Mourinho ni huyu hapa by Jesca TZA Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea kwa sasa haina kocha baada ya kumfukuza kazi kocha wao mkuu Jose Mourihno. Headlines za sasa zimemgeukia kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Ulolanzi Guus Hiddink ambye ametajwa kukaimu nafasi ya Mourihno na tayari amesafiri kwa ndege leo kwenda kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu

Ajali mbaya yatokea leo kitonga

Thursday, December 17, 2015

Kidumu kaokoka

Ni kweli Kidumu ameokoka? nini hasa kilitokea? majibu yote ninayo hapa by Millard Ayo Jina lake lilianza kutajwa na Watanzania wengi kupitia hit single zake kama ya 'haturudi nyuma' ft Juliana ni miaka imepita toka wimbo wake wa mwisho uwe kwenye TOP 10 ya Radio za Tanzania, sasa juzi zikatufikia habari kwamba Kidumu ameokoka na sasa hatoonekana akiimba muziki tuliozoea kumuona nao, ni kweli? ni kitu gani kilitokea hasa? […

Somo la leo

--- --- Sent by WhatsApp

Bomoabomoa kinondoni

Wizara ya ardhi ina haya kuhusu Bomoabomoa inayoendelea Bonde la Msimbazi by Jesca TZA Bomoabomoa bonde la Msimbazi imeanza tayari na baadhi ya nyumba tayari zimeshabomolewa katika eneo la Hananasifu, Kinondoni Charles Mkalawa ambaye ni Afisa mipango miji Wizara ya Ardhi alikuwa eneo la tukio na kuzungumza na millardayo.com kuhusu bomoabomoa inayoendelea katika baadhi ya meneo Wananchi hawkauwa na taarifa na bomoabomoa.."Serikali inabidi itambue hii hadithi ya kuwatafutia watu

Kilichomkuta kocha jose mourinho

Kilichomkuta kocha Jose Mourinho baada ya matokeo mabaya mfululizo… by Jesca TZA Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England, Chelsea wameendelea kuwa na bahati mbaya baada ya kuendelea kupata matokea mabaya mfululizo. Kilichonifikia ni kuhusu kocha wa klabu hiyo ya Uingereza kufutwa kazi baada ya kuendelea na matokeo mabaya mfululizo. Bodi ya klabu hiyo chini ya mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich ilikuwa na kikao kizito jana

Davido na agness masogange

Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agness Masogange! by Sandra Brown TZA Wiki moja iliyopita, Mtanzania Agness Masogange alikuwa topic kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya post yake kwenye Instagram kuzua mjadala mkubwa na kuibua uvumi mkubwa sana kati yake na Davido staa wa muziki kutoka Nigeria. Masogange alipost kipimo cha ujauzito kwenye page yake ya Instagram, post iliyoibua mjadala mkubwa Nigeria na Tanzania na kuacha […

Wednesday, December 16, 2015

Kilicho tokea library chuo kikuu cha iringa leo

Library ya chuo yaendelea kuvuja na kuleta kero kwa wanachuo.

Waziri mkuu aliyopigwa ngumi

  Waziri mkuu wa Hispania alivyopigwa ngumi katikati ya kampeni, tukio la pili ndani ya wiki by Millard Ayo Siku zinahesabika toka Waziri mkuu wa Ukraine alipobebwa juujuu akiwa bungeni, aliyembeba alijifanya kama anampelekea ua alafu baada ya kufika akambeba juujuu kabla hajashambuliwa kwa kipigo na baadhi ya waliokuwemo bungeni, sasa December 16 2015 habari ya zamu ya Waziri mkuu wa Hispania. Waziri mkuu wa Hispania Mariano Rajoy alipigwa ngumi usoni na kijana ambaye alikua

Mb dog nishidaaaa

Mabibi na Mabwana MB Dog katuletea hii single mpya ‘Sio Siri’ isikilize hapa….. by Edwin TZA Unapolitaja jina la Mb Dog au Dog Man tayari unajua ni nani anayezungumziwa ambaye kwa kipindi cha nyuma hit kama Latifa,Mapenzi kitu gani,Inamaana na zingine nyingi zilimueka kwenye headline na kuzungumziwa kila mara. Sasa time hii ametuletea hii single mpya iitwayo Sio Siri isikilize hapa http://www.hulkshare.com/embed.php?fn=afb6zzpgveo0 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard

Matukio 10 hatari

Matukio 10 hatari ambayo huwezi kuyaangalia mara mbili katika mechi ya mpira wa miguu (+Video& +18) by Rama Mwelondo TZA Soka imekuwa kama burudani nyingine ya kawaida kwa watu wa rika zote, siku hizi ni kawaida kuona mtu anapanga ratiba yake ya siku lakini usishangae kumuona katenga muda wa kwenda kuangalia mpira katika ratiba zake, licha ya kuwa ndio mchezo wenye mashabiki wengi duniani au ndio mchezo maarufu zaidi. Kuna baadhi ya matukio huwezi kutamani

Top 10 Rnb in december

Top 10 ya Rnb ya Trace TV December 17,2015….(+Video) by Edwin TZA Najua kuna watu walikuwa na hamu ya kufahamu video zinazofanya vizuri duniani na zilizofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa. kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa leo December 17, 2015 kuangalia hii top 10 yao ya Rnb kupitia kituo hicho. 10.Tinashe - Party Favors 9.August

Fabregas kasema haya

Fabregas kaongea haya kuhusu wachezaji wenzake wa Chelsea wanaolipwa mishahara mikubwa … by Rama Mwelondo TZA Klabu ya Chelsea ya Uingereza ni miongoni mwa vilabu vinavyolipa mishahara mikubwa wachezaji wake, klabu hiyo ambayo inamilikiwa na bilionea wa kirusi Roman Abromavich imekumbana na wakati mgumu msimu huu, baada ya kupokea jumla ya vipigo 9 katika mechi 16 ilizocheza. Kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho alinukuliwa siku moja nyuma akilaumu wachezaji wake wanamsaliti, ila

Yaliyompata minaji

Nicki Minaj alipigwa STOP kuperform Angola jumamosi hii! Show itaendelea?! by Sandra Brown TZA Msanii kutokea Marekani, Nicki Minaj jana alizandika headlines kwenye kurasa za burudani baada ya taarifa kusambaa kuwa amepigwa stop kwenda kutoa show Angola jumamosi ya tarehe 19 December wiki hii, kutokana na Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Angola kupinga kufanyika kwa show hiyo. Wanaharakati hao walimuandikia Nicki Minaj barua kumuomba rapper huyo asitishe show

Friday, December 11, 2015

Jm kikwete kuzunguzia kodi

Check out @jmkikwete's Tweet: https://twitter.com/jmkikwete/status/674828435416576001?s=09

Duniani wawili wawili

Duniani wawiliwawili ! hawa walijitokeza wamefanana kimuonekano na Diamond, Ngwea, Balotelli, Bruno Mars na mastaa wengine by Millard Ayo Wakati tukiisubiria After Skul Bash ya December 12 2015 Escape One Mikocheni ambayo huwa inaandaliwa na XXL ya CloudsFM kila mwaka, nimechukua hii video ya moja ya events za After Skul bash ambayo huwa pia kwenye kila event kunatolewa zawadi kwa washkaji waliofanana na mastaa. Kwenye hii video hapa chini kuna vijana wa Tanzania waliojitokeza na kusema […

Tuesday, December 8, 2015

Jee iringa bado maeneo machafu

Mtaa wa ilembula Leo hii badokucha kwani maeneo ya kibiashara chuo kikuu cha Iringa yalikua yakionekana kwa picha hizi