Friday, January 30, 2015

VIJANA WAJIPANGA 2015 UCHAGUZI


Baada ya vijana wakitanzania kupambana na wimbi la kutafuta ajira kwenye ofisi mbalimbali hapa nchin.umoja wa vija wa mitaani wamesema kwa mwaka huu hawatafanya kosa kuchagua viongozi waliyokosa hekima,machungu,na thana ya kweli juu ya nchi yao wasahau kuingia mjengoni mwaka huu wakiwemo na wangombea wanaogawa rushuwa watahakikisha wanaweka mabo yao nje.
Kiongozi wa vijana hao bwana John Nyumani alibainisha hayo jana katika kikao kilichofanyika Buguruni hapa jijini dar pia wameamua kujitolea kuwasihi vijana wanaojiita panya rood kuachana na  kazi yao chafu na kujikita katika kilimo kwani wanafanya mpango wa kuongea na serekali ili wapewe elimu juu ya kilimo.Tunaendelea kufatilia majibu ofisi ya waziri wa kilimo majibu tutawapa hapa hapa.karibuni sana.

  Vijana hao wameimiza serekali kurudisha fikra zao nyuma na kuweza kutambua kwamba vijana ndiyo wenye guvu kazi na wakifanya kazi nchi itapata kodi kubwa zaidi.Vijana hawa wenye kaulimbiu isemayo

1 comment: