Saturday, April 11, 2015

ACT VINARA CHADEMA,CCM + UKAWA MAJANGA


Cha kipya cha ACT yenye kaulimbiu ya mzalendo kwanza yaendelea kuwapa kidhedhe chadema+ukawa na hata chama tawala ccm.Chama cha ACT ambayo kwa sasa ipo juu kwa kuendelea kuwanyakua vinara wa siasa tanzania kama zito na wengine wengi kwani nyepesi nikwamba wapo wabunge ambao wanapanga kukitema chadema kwa vishindo kutokana na manyanyaso ya chama.Nakuendelea kuchanga pesa kwa wanachama wake bila sababu.

No comments:

Post a Comment