Wednesday, October 28, 2015

OWAWA KUTIKISA RORYA................................

llinzi wa mgombea ubunge jimbo la RORYA Bw. Owawa katika kampeni zake ndani ya kijiji cha marasibora.

M gombea Ubunge bwana OWAWA kwa tiketi ya chandema inayoungwa na umoja wa vyama (UKAWA)katka jukua ndani ya kijiji cha Marasibora 

Bw.MUSSA mjomba wa kijana machachari ndani ya jimbo la rorya wakiwa ndani ya kijiji cha MARASIBORA alipozaliwa mama wa STIVEN OWAWA .

Wanakijiji cha marasibora wakiwa makini kipindi cha kampeni za Bw. Owawa ndani ya kijiji chao.

Mch.CHRISTOPHAR wa kanisa ya TAG Marasibora wakiwa kwenye picha ya pamoja na Bw, Owawa.





No comments:

Post a Comment