Tuesday, November 17, 2015

Shule ya Msingi marasibora yabaki jina tu.

Shule ya msingi marasibora kata Kisumwa wilaya rorya imebainika ni magofu baada ya wanafunzi kusomea majengo yasiyo na madirisha wala milango.

Blog yetu ilipata kutembelea hapo shuleni.

Kweli Vijana wanashida Sana Kwani mpaka sasa wlm tunafanya kazi kwenye mazingira magumu Sana zaidi ya Sana miongoni mwa majipu hili nijipu kubwa na Tayari limesha hiva so tujipange kulitumbua tu. 

No comments:

Post a Comment