RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA DKT. RICHARD SEZIBERA, KATIBU MTENDAJI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM FEBRUARI 24,2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Dkt. Richard Sezibera, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 24,2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Dkt. Richard Sezibera, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 24,2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Dkt. Richard Sezibera, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 24,2015 baada ya mazungumzo