Tuesday, September 15, 2015

Chiku kumtikisa Msigwa Iringa.

Mwana dada machachari wa chama cha act wazalendo Chiku abwao kaendelea kukitikisa iringa kwa kasi zaidi na kufanya mbunge wa jimbo hilo Piter msigwa kushinda hata kufkia nusu ya makali yake.

No comments:

Post a Comment