Saturday, June 4, 2016

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA 'AFRICA WORLD HERITAGE JIJINI ARUSHA

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA 'AFRICA WORLD HERITAGE JIJINI ARUSHA

roryamaendeleo 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wasanii waliojitokeza kumlaki wakati alipowasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kufungua mkutano wa 'Africa World Heritage'  mjini Arusha Mei 31, 2016. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Bermuda Emmissions Control Limited, Bw. Donal Smith baada ya kufungua mkutano wa 'Africa World Heritage' kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Mei 31, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akifungua mkutano wa 'Africa World Heritage' kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumaane Maghembe.
 Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa  wa' Africa World Heritage ' wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipofungua mkutano wao kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Vitambu kutoka  Rais wa Bermuda Emmissions Control Limited, Bw. Donal Smith katika mkutano wa 'Africa World Heritage' aliounfungua kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe wakati alipomkaribisha kufungua Mkutano wa "Afrca World Heritage' kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa  cha Arusha  (AICC) Mei 31, 2016. 

No comments:

Post a Comment