Saturday, June 4, 2016

MAJALIWA AKUTANA UJUMBE WA CHUO KIKUU CHA AGHA KHA

MAJALIWA AKUTANA UJUMBE WA CHUO KIKUU CHA AGHA KHA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Chuo Kikuu cha Agha Khan, Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mei19, 2016. Kutoka kushoto ni  Al - Karim Haji, Firoz Rasul, Joel Lugallo na Amin Kurji.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Elimu, Sayansi na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (wapili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chuo Kikuu cha Agha Khan baada yamazungumzo yao  ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016.  Wengine pichani kutoka  kushoto ni Al - Karim Haji , Firoz Rasul, Amin Kurjina Joel Lugallo.

No comments:

Post a Comment