Sunday, April 12, 2015

Diamond Platnumz 'Baba mtarajiwa"aanza kukusanya midoli

Diamond Platnumz 'Baba mtarajiwa"aanza  kukusanya midoli ya mwanae kuchezea!

Diamond Platnumz kama mwanaume yeyote yule anayetarajia kuwa baba kwa mara ya kwanza tena kupitia mwanamke ampendaye, amepania vilivyo kumkaribisha mwanae kwenye sayari ya dunia.Staa huyo ambaye hivi karibuni alikuwa nchini India, amepost picha akiwa supermarket kununua midoli kadhaa kwaajili ya mwanae huyo ajaye.“Ushamba huu, eti nimeshaanza kununua vitoy vya kuchezea,” ameandika Diamond kwenye picha hiyo.
Vijimambo
Read more 

No comments:

Post a Comment