Sunday, April 12, 2015

MUKUTANO WA ACT YAPAMBA MOTO IRINGA.

Wana iringa leo wamejitokeza na kuweza kupata siasa ya aina yake toka kwa wanachama wa cha cha ACT WAZALENDO . Mkutano huu huliyo shangaza bahada ya watu kufurika kwenye viwanga vya mwembetogua hapa mjini IRINGA

No comments:

Post a Comment