Tuesday, July 5, 2016

RAIS DK. MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI FAMILIA ZA WATU 29 WALIOKUFA AJALINI MKOANI SINGIDA......


aja aja1Kamanda wa Polisi mkoa Singida Thobias Sedoyeka amethibitisha kuwa ajali ya basi T 531 BCE likitokea Dar es salaam kwenda Kahama na T 247 linattoka Kahama kwenda Dar es salaam yote ya kampuni moja CITY BOYS yamegongana uso kwa uso na kuuwa abiri abiria wengi papo hapo na kujeruhi wengine.

No comments:

Post a Comment