DOLA YA KISHETANI NA USHOGA Ep. 5 Season finale
QUEEN LATIFAH! MADONA NA WASANII WENGINE WAKISHIRIKI KUFUNGISHA NDOA YA MASHOGA KWENYE 'GRAMMY AWARD.
Ukitaka kufanya uchafu wako hadharani na usipingwe na yeyote hata kwa
kuoneshea kidole; ni kuirubuni jamii kiasi ione uchafu huo ni jambo la awaida,
na siyo ‘big deal.’
Ukiufikisha umma hapo, kiasi cha kuona uchafu huo ni sehemu tu ya maisha na
siyo kitu cha ajabu, basi utaweza uufanya uchafu wako mchana kweupe wala hakuna
atakaye shughulika na wewe.
IKIWA UMESAHAU NI KWAMBA TULIPO FIKA NI ZAIDI YA HAPA ...
Yes, hicho ndicho kinacho fanywa na kazi za wasanii mbalimbali na kwa
nafasi zao na kwenye maisha yao, uone mwanamke kujiweka kama mwanaume na
kinyume chake ni ishu ndogo sana.
Na hivyo ushoga siyo deal, ni maamuzi ya mtu.
Ni sawa kabisa kusema ni maamuzi ya mtu, lakini si sawa maamuzi hayo
kuyafanya yawe ni maamuzi ya kila mtu. Hicho ndicho wanacho fanya na ndicho
ninacho kipinga katika mfululuzo wa post hizi.
Mfuasi wa dini ya kishetani, na aliyekuwa mmoja wa wafufuaji wa ‘NEW AGE
MOVEMENT’ Alice Bailey, katika moja ya kazi zake, zinazo lenga kuuvnja maadili
na kueneza maovu na machafu kwenye jamii alisema hivi.
“IVURUGE SANAA, IFANYE WENDAWAZIMU".
Kivipi?
Ruhusu aina nyingine za kazi ya sanaa ambazo zitavuruga na uharibu mitazamo ya watu, sababu sanaa ni lugha ya roho, lugha ya kile kilicho ndani, ambacho kinawekwa bayana kwa michoro, muziki, maagizo n.k. Tizama filamu za leo, sikiliza mashairi ya muziki wa sasa, tizama kazi za michoro, kote huko utaona ni uwendawazimu.
Kivipi?
Ruhusu aina nyingine za kazi ya sanaa ambazo zitavuruga na uharibu mitazamo ya watu, sababu sanaa ni lugha ya roho, lugha ya kile kilicho ndani, ambacho kinawekwa bayana kwa michoro, muziki, maagizo n.k. Tizama filamu za leo, sikiliza mashairi ya muziki wa sasa, tizama kazi za michoro, kote huko utaona ni uwendawazimu.
Lakini uwendawazimu uko wazi kwa kila mtu kuona, kusikia na kuigiza, na
hakuna nayesema chochote; sababu uchafu umeshafanywa kuwa ni sehemu ya maisha
yetu, na sisi hatuoni tofauti.
Akaendelea kusema;
“TUMIA VYOMBO VYA HABARI NA MAWASILIANO KUTANGAZA NA KUBADILISHA MITAZAMO
YA WATU”
Mfumo unaotumika kusambaza na kusafirisha taarifa ndiyo mfumo mkuu unao
tumika kubadilisha mitazamo ya watu; redio, luninga, magazeti, filamu, mitandao ya intaneti. Unaweza kuona ni
kwakiaisi gani jamii ya leo imebadilisha na mfumo huu wa kukusanya na kusambaza
taarifa. Ni nani anaye miliki vyombo vya habari?
Tizama posti hii kwa kina http://salimmsangi.blogspot.com/2013/08/katikakipindi-ambacho-ulimwengu.html
Matangazo ya picha za uchi ni kitu cha kawaida, masuala ya ngono nje ya ndoa ni kitu cha kawaida mno kwenye kazi yoyote ya sanaa unayoweza kuifikiria, vitendo vya ushoga katika filamu za kileo ni kachumbari katika kazi za sanaa, wanaionesha na wanazo njia zaidi ya milioni moja ya kukuonesha masuala ya kishoga kwenye filamu bila wewe kufahamu. Na kumbuka filamu hizo zinaonesha mchana, asubuhi, usiku na watoto wanayo nafasi kubwa ya kutizama machafu hayo.
Tizama posti hii kwa kina http://salimmsangi.blogspot.com/2013/08/katikakipindi-ambacho-ulimwengu.html
Matangazo ya picha za uchi ni kitu cha kawaida, masuala ya ngono nje ya ndoa ni kitu cha kawaida mno kwenye kazi yoyote ya sanaa unayoweza kuifikiria, vitendo vya ushoga katika filamu za kileo ni kachumbari katika kazi za sanaa, wanaionesha na wanazo njia zaidi ya milioni moja ya kukuonesha masuala ya kishoga kwenye filamu bila wewe kufahamu. Na kumbuka filamu hizo zinaonesha mchana, asubuhi, usiku na watoto wanayo nafasi kubwa ya kutizama machafu hayo.
Anaendelea kusema;
“UFANYE USHOGA NI MOJA KATI YA AINA YA MAISHA MTU ANAWEZA KUCHAGUA NA
KUISHI”
YOUR FAVORITE MOVIE STAR
IS A GAY. AMEKIRI HADHARANI KUWA ANASHIRIKI SODOMA NA GOMORA NA MWANAUME
MWENZAKE. AMENYANYULIWA JUU KUPITIA KAZI MAARUFU YA PRISON BREAK,
HAKUFAHAMIKA KWA WALIMWENGU KABLA YA KAZI HII. ALIPATA UMAARUFU MKUBWA
NA KILA MTU ALITAMANI KUWA SCOLFIELD, JINA ALILOTUMIA KWENYE TAMTHILIA
HIYO. HALAFU GHAFLA ANAJITOKEZA HADHARANI NA KUSEMA YEYE NI SHOGA,
MAMILIONI WA MASHABIKI WAKE WATAENDELEA KUSIMAMA NAYE? WATAENDELEA
KUTIZAM PRISON BREAK? MSTARI UNACHORWA, UNAPOENDELEA KUSIMAMA NAYE
INAAMAANISHA SEHEMU FLANI YA USHOGA UNAKUBALIKA, UNAMAANISHA ULE UGUMU
NA MSIMAMO ULIO KUWA NAO DHIDI YA USHOGA NA MASHOGA UMEANZA KULAANIKA.
LENGO NI WEWE UKUBALI USHOGA NA MASHOGA NI OK, LAKINI UTAKUBALI HIVYO
TARATIBU BILA KUJUA UNAFANYA HIVYO. KILLING THEM SOFTLY NDICHO KINACHO
TOKEA.
Ki vipi? Watu wa ruhusiwe kufanya ngono na kwa namna na jinsi yeyote ile
wanayo taka. Wruhusiwe kisheria, serikali iruhusu na taasisi za kidini zitoe
baraka kwenye hilo. Hivi sasa kuna nchi ambazo si ruhusa kuzungumza dhidi ya
ushoga au kusoma maandishi matakatifu yanayo kataza ushoga. Kufanya hivyo ni
kinyume cha sheria na unaweza kwenda jela. Tizama Posti hii http://salimmsangi.blogspot.com/2015/11/dola-ya-kishetani-na-ushoga-ep-2.html
Nchi zetu ‘msikini’ hazipokei misaada kutoka nchi wahisani mpaka zikubali
wanachi wake wapewe haki na uhuru wa kushiriki usodoma na ugomora. Na sasa yapo
makanisa yanayo fungisha ndoa za jinsia moja.
MVULANA KWENYE FILAMU HII
NI MAARUFU SANA KWENYE FILAMU ZA WATOTO NA KICHAWI, JINA LAKE KWENYE
KAZI HIZO NI HERRY POTTER. ANAO MASHABIKI WENGI KOTE DUNIANI, HASA
WATOTO NA WAPENZI WA FILAMU ZA KICHAWI, NA HAPA MASHABIKI WANAWEKWA NJIA
PANDA, JE WATAENDELEA KUMUUNGA MKONO KWENYE HILI? TARATIBU AKILI ZA
WATU ZINATENGENEZWA KUHUSISHA USHOGA NA WATU MAARUFU, USHOGA NA WATU
WENYE 'MAFANIKIO' NA UNAWEKWA HADHARANI TARATIBU KUPITIA LUNINGA,
TARATIBU WATU WANAONA NI JAMBO LA KAWAIDA SANA.
Wanamuziki maarufu, wacheza sinema maarufu, wanamichezo mbalimbali wenye
majina makubwa, viongozi wa kidini na kisiasa, kwa nyakati tofauti wamekuwa
wakijitokeza ima kuunga mkono ushoga kukiri kuwa wao ni mashoga. Lengo ni mtu
wa kawaida akisikia shoga, ushoga, sodoma na gomoro viwe ni viti vidogo mno
ambavyo havina hata haja ya kuzungumzia.
Hivi hatujafika hapo?
Nafasi yako ni ipi katika kufika au kutokufika?
WAMEPEWA HAKI YA KUOWANA
NA HAKI YA KUPORA WATOTO, NA KUWAFUNDISHA WATOTO HAO CHOCHOTE WANACHO
TAKA IKIWEMO HIZO HAKI ZA MASHOGA, KWA NJIA NYINGINE WANAANDAA KIZAZI
KINGINE CHA MASHOGA, HAWAWEZI KUZAA, LAKINI SHERIA HII INAWAPA HAKI YA
KUWAFUNDISHA USHOGA WATOTO WASIYO WAO.
Mtandao mpana wa filamu duniani, Hollywood kwenye kazi zake mbalimbali,
moja kwa moja au kupitia kwenye mgongo wa kitu kingine wamekuwa wakiunga mkono
ushoga na maaudhi yake yakawekwa katika filamu mbalimbali, zenye majina makubwa
na wachezaji wenye sifa kubwa katika tasnia hiyo. Kutoka kwenye katuni za
watoto mpaka kwenye filamu za kutisha na kugofya, kote huko hawakuacha kuweka
maudhui ya Sodoma na Gomora.
HAPA NI KWENYE TAMTHILIA YA GRAYS ANOTOMY
Filamu kama Brokeback Mountain ambayo mwanzo mwisho maudhui yake ni usodama
na gomora tupu, ilipewa hadhi ya filam bora ya mwaka. Tamthilia kama Friends,
Grays Anotomy, An American Family, Ellen, Glee, Modern Family, The perfect
family, X-Men, kutaja kwa uchache, zipo filamu nyingi hizo nilizo taja zinaonesha
washiriki ambao wamecheza kama mashoga na wakati mwingine ni mashoga kama
kwenye Ellen, lakini zipo nyingine nyingi ambazo zimewekwa vionjo vya kishoga,
eidha kwenye maneno, vitendo, mavazi, mazingira n.k ambavyo ni vigumu kwa mtu
wa kawaida kuving’amu.
Hizo ndizo zinazotengeneza njia za wewe kuja kutizama filamu zinazo onesha wanaume wawili au wanawake wawili wakibusiana na wewe usione tabu yeyote, na wakienda zaidi ya hapo utaona ni sawa tu, lakini kumbe kabla hawajaweka filamu hiyo walishaanza kukutengeneza akili yako kidogo kidogo kukubaliana na haya unayo yaona sasa.
MCHEZA FILAM MAARUFU
KWENYE SERIES YA 'HOW I MET YOU MOTHER' AKIWA JUKWAANI NA MWANAUME
MWENZAKE AMBAYE WANASHIRIKI NAYE USODOMA NA UGOMORA, NA HAPA WANAUONESHA
ULIMWENGU, KUWA NI SAWA KUWA SHOGA, NI SAWA MWANAUME KUINGILIWA NA
MWANUME MWENZAKE, NI SAWA KUFANYA USODOMA NA UGOMORA, NA HAKUNA SHIDA
YEYOTE KUTANGAZA HILO KWA ULIMWENGU NA KWA MABI WAKO. KUPITA WATU HAWA
NA VYOMBO VYA HABARI NA BURUDANI MTU WA KAWAIDA ANAAMBIWA KUWA USHOGA NI
KITU KIZURI NA MAARUFU.
Hizo ndizo zinazotengeneza njia za wewe kuja kutizama filamu zinazo onesha wanaume wawili au wanawake wawili wakibusiana na wewe usione tabu yeyote, na wakienda zaidi ya hapo utaona ni sawa tu, lakini kumbe kabla hawajaweka filamu hiyo walishaanza kukutengeneza akili yako kidogo kidogo kukubaliana na haya unayo yaona sasa.
Ukija kwa watoto napo hapajaachwa salama hata kidogo. Maaudhui ya ushoga
yamejaa katika Kazi nyingi za watoto kutoka tamthilia mpaka sinema. Hizi ni kwa
uchache, Family Guy, Freozen, Boxtrolls, ParaNorman, Coraline, How to train
Your Dragon 2, SpongeBob Squarepants, Puss in Boot, kutaja kwa uchache ni nyingi sana.
KWENYE MTANDAO MAARUFU WA
KATUNI, CARTOON NETWORK' NA LUNINGA AINA HIZI ZA FILAMU ZINAONESHWA KWA
WATOTO WAKO. WAMESHINDWA KUKUPORA WATOTO WAKO KUPITIA SHERIA YA
ADAPTION, WANAMPORA KUPITIA LUNINGA YAKO MWENYEWE. WATCH OUT NA KUWA
MAKINI NA KILE ANACHO TIZAMA MTOTO WAKO.
NJIA AMBAZO WASANII WANATUMIKA KUTANGAZA NA KUSHAWISHI USHOGA KWA WENGINE.
Wabunifu
wa mavazi, industry nyingine hiyo ambayo inayo namba kubwa ya mashoga pia,
wamekuwa wakibadilisha mweelekeo wa mavazi, hasa mavazi na kuyatikia nakshi za
jinsia tofauti na inayo lengwa na mavazi hayo. Kutoka kofia mpaka kiatu.
WANAUME MAARUFU WAKIWA NA SKETI NA VIMINI.
Yote hayo
ukiuliza na kujiuliza utaambiwa ni ‘fashion’ tu. Lakini ambao hatujashikiwa
akili tunajua kuna namna zaidi ya ‘fashion’.
Taratibu watu wengine wanaona ni sawa hivyo, wanaume wanaanza kuvalishwa sketi. Mtangazaji wa kituo cha Luninga hapa nyumbani alitokeza kavali sketi, ni mtangazaji wa kiume, na sketi inaitwa sketi ya kiume. Ukistaajbu ya Musa utaona ya Firauni, kipindi anacho endesha kinamvuto zaidi kwa vijana wa rika la ‘teeneger’ unaweza kuona madhara yake.
LIL WINE AMEVAA SKIN JEANS, SAWA KABISA NA SKIN ALIYOVAA MWANA DADA PEMBENI. JE LL WINE HAJUI HIYO NI NGUO YA KIKE?
Taratibu watu wengine wanaona ni sawa hivyo, wanaume wanaanza kuvalishwa sketi. Mtangazaji wa kituo cha Luninga hapa nyumbani alitokeza kavali sketi, ni mtangazaji wa kiume, na sketi inaitwa sketi ya kiume. Ukistaajbu ya Musa utaona ya Firauni, kipindi anacho endesha kinamvuto zaidi kwa vijana wa rika la ‘teeneger’ unaweza kuona madhara yake.
MSANII HUYU NI MAARUFU HAPA NCHINI. VIATU
ALIVYO VAA VILIZUA GUMZO KWENYE MITANDAO, REDIO NA LUNINGA. AKAJITETEA
ALIVIKUTA KWENYE DUKA LA VITU VYA KIUME. VIATU NI VYA KIKE HAINA
MJADALA, LAKINI VIMEKUWA MAARUFU SASA HIVI MPAKA KWA WANAUME!! UMEONA
SURUALI ALIYO VAA, INATOFAUTI NA SKIN JEANS YA LL'L WINE? LAKINI ZAIDI
TIZAMA RANGI YA SKIN HIYO. PINK, SOTE TUNAJUA RANGI YA PINK NI RANGI YA
KIKE, LAKINI NDIYO RANGI AMBAYO MASHOGA WANAITUMIA KAMA RANGI YAO
KUJITOFAUTISHA NA WANAUME WAKAWAIDA WANAO TUMIA RANGI YA BLUE. NA
SURUALI HIYO ILIKUWA KWENYE DUKA LA VITU VYA KIUME?
UKISHANGAA MWANAUME KAVAA SKIN YA PINK NA
VIATU VYA KIKE, MWINGINE HAPA HAPA NYUMBENI KAJITOKEZA KWENYE TV NA
SKETI ALIYOIITA SKETI YA KIUME. UPO? UNAONA NI SAWA HIVYO? AU UTAITA
FASHION? FASHION ISYO NA MIPAKA.
SKETI ZA KIUME, SIONI TOFAUTI KATI YA KE NA
ZILE ZA KIKE, ISPOKUWA HIZI ZIMEVALIWA NA WANAUME, MASUPER STAR WA LEO,
KWENYE MAJUKWAA KILA MTU AONE. KUNA NINI HAPA?
KABLA KANYE WEST HAJAVAA SKETI KWENYE
JUKWAA, ALITOKA NA WIMBO WA 'JESUS WALKS' WIMBO HUU ULIPATA UMAARUFU
MPAKA KWENYE MAKANISA YA MAREKANI ULICHEZWA NA KUIMBWA, HALAFU AKIWA NA
SAPOTI HIYO KUBWA KUTOKA KWENYE NYUMBA ZA IBADA, AKAJA NA SKETI
JUKWAANI, KILA MTU AONE. WATU WANAWEKWA NJIA PANDA, MAADUI ZETU
WANAIPENDA SANA MBINU HII, JE MAKANISA NA WAUMINI WATAENDELEA KUMUUNGA
MKONO KAMA WALIVYO FANYA KWENYE JESUS WALKS? HIVYO UTAONA WIMBO ULE
ULIKUWA NI MTEGO, NA HAPO KWENYE SKETI NDIPO WANAPOTAKIWA WAINGIE.
SUPER STAR WA FILAM YA KARATE KID, NA MTOTO
WA WACHEZA FILAM MAARUFU JADA NA WILL SMITH, AMEKUWA AKIJITOKEZA
HADHARANI AKIWA AMEVAA SKETI NA MAVAZI MENGINE YENYE NAKSHI ZA KIKE.
SKIN KWA WANAUME, BLAUZI KWA WANAUME, VITOP KWA WANAUME, SKETI KWA WANAUME, POCHI NA VIATU KWA WANAUME, UPO?
Nikiwa
Moshi stendi ya Mabasi, nikakutana na kijana wa kiume, kavaa suruali ya kubana,
halafu ni ‘pedo’, ilikuwa na kila sifa ya kuvalishwa mwanadada, lakini huyu ni
kijana wa kiume kwenye stendi ya mabasi na hana wasiwasi.
2.
MITINDO YA NYWELE.
Kusuka kwa
wanume sasa hivi limekuwa ni jambo la kawaida kabisa kabisa, na sasa hivi
wanaume wanasuka mitindo mbalimbali ya nywele. Ukiuliza utaambiwa ‘fashion’.
Lakini tunajua kabisa kabisa kuwa mwanaume hasuki.
Sasa hivi
anasuka, anatoga masikio na anavaa sketi, sijui unaelewa hii picha inapo
elekea? Na mwisho anataka haki ya kuolewa na kuwekwa ndani.
Lakini
haikuanza kwa ghafla, ilianza taratibu, taratibu na sasa hivi si jambo geni
tena, watu hawawashangai tena kama ilivyokuwa awali.
Mwaka 1998
Ronaldo De Lima, alipokuja na staili yake ya kunyoa, kutokana na umaarufu wake
staili ile ilichukuliwa na kila mtu, sijui kama yeye ndiye wa kwanza ‘kuivumbua’
au aliikopi mahala.
Staili ile
imekuwa na umaarafu tangu hapo mpaka sasa, lakini ghafla staili ile ya nywele
ikabebwa na mashoga, je Ronadlo aliichukua kutoka kwao au wao ndiyo walimkopi
Ronaldo, sifahamu. Ninacho kijua ni kuwa staile ile ya nywele imekuwa kama moja
ya nembo za mashoga, wakike na kiume, weusi kwa weupe, na sisi wazee wa kukopi
tumeikopi kama ilivyo na tunaruka nayo mitaani kwa kujiamini. Lakini ni ‘Hair
Style’ ya mashoga.
HUYU KAJITANGAZA KUWA NI SHOGA, ONA STAILI YAKE YA NYWELE
KAMA KAWAIDA HATUCHELEWI KU-COPY NA
KU-PASTE BILA HATA KUTAKA KUJUA MAANA YAKE NI NINI? VIJANA WENGI HAPA
NYUMBANI UTAWAONA WANAKIMBIZANA NA STAILI HII KAMA UNAVYO MUONA MSANII
HUYU, WAKITAKA KWENDA NA FASHION, LAKINI SI KILA FASHION NI FASHION,
ZINGINE NI AJENDA ZA WATU ZINAFANYIWA KAZI, USIBEBE KILA KILE UNACHO
KIONA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO, KIFANYIE UCHUNGUZI KWANZA,
WAKIKIFUATA WANAO JUA MAANA YA HIYO 'HAIR CUT' WAKIDHANI WEWE NI MWENZAO
UTARUSHA NGUMI?
3.
KAZI ZAO ZA SANAA.
JINA KUBWA KWENYE FILAM DUNIANI, LAKINI KWENYE MUVI HIYO HAPO CHINI WALIMVALISHA HIVI
Kama
nilivyo eleza awali kazi nyingi za wasanii mbalimbali zimekuwa zikitiwa vionjo
vya ushoga kila leo. Si kwenye muziki, wala filamu. Wanawake wamevalishwa kiume
na wanaume wamevalishwa kike, ndiyo kazi inauzika.
JINA JINGINE KUBWA KABISA HOOLLYWOOD NA
DUNIANI, WILL SMITH, AMBAYE MTOTO WAKE WA KIUME SASA ANAKIMBIZANA NA
KUVAA NGUO NA VIPODOZI VYA KIKE NA WILL SMITH KWENYE FILAM HIYO HAPO
ALIYOCHEZA WANAUME WAWILI WANAFANYA USODOMA NA GOMORA.
Dave
Chappele ndiye msanii pekee ambaye mpaka sasa inafahamika kusema; uozo huu
basi, inatosha, enough is enough, akawapa mgongo na kuondoka zake. Aliuvunja
mkataba ambao angelipwa dola za marekani milioni hamsini!!!
Alikataa kuvaa mavazi ya kike, Alikataa, akaja muandishi wa script, meneja, director na kila mwenye nafasi kumtaka vae hivyo, alikataa kata kata.
Alikataa kuvaa mavazi ya kike, Alikataa, akaja muandishi wa script, meneja, director na kila mwenye nafasi kumtaka vae hivyo, alikataa kata kata.
Lakini
wasanii wa kiume kuvalishwa mavazi ya kike limekuwa ni jambo la kawaida mno
kwenye tasnia ya filamu na muziki. Lakini ukitazama mahojiano ya Chappele na
mchekeshaji na muigizaji mwingine anayefahamika kama Katt Williams, ambaye na
yeye amefanya kama alivyo fanya Chappele utaona si bure, wasanii wa kiume
kuvalishwa mavazi ya kike.
JINA JINGINE KUBWA NDANI YA HOLLYWOOD, LAKINI TIZAMA KAZI ZAKE HAPO CHINI.
ZOTE NI MWANAUME ALIYEVALIA MWANAMKE.
JINA JINGINE KUBWA, TIZAMA BAADHI YA KAZI ZAKE HAPO CHINI.
ANOTHER BIG NAME, LAKINI TIZAMA KAZI ZAKE ZINGINE HAPO CHINI
WHY A MAN LIKE HIM, WOULD ACCEPT TO DRESS LIKE A WOMAN, TIZAMA HAPO CHINI.
WHY?
YES, JAMIE FOXX, TIZAMA CHINI.
TIZAMA HAPO CHINI
NI NYINGI NA NI WENGI WENYE MAJINA MAKUBWA
KWENYE FILAM WANFANYA HIVYO. SIWEZI KUZIMALIZA NA SIPENDI KUKUCHOSHA,
FANYA UTAFITI WAKO MWENYEWE NA UTAONA KITU HICHO, UKITAZAMA WENGI NI
EIDHA NI MTU MWEUSI AU MTU KUTOKA LATINI AMERIKA, NA HICHO NDICHO
KILICHO MFANYA CHAPPELLE AZIPE MGONGO DOLA MILIONI HAMSINI, ALISEMA
KWANINI KILA MWANAUME MWEUSI SEHEM FLANI KWENYE KAZI YAKE YA UIGIZAJI
ATAAMBIWA AVAE NGUO ZA KIKE, KWANINI? UTAONA KUWA USHOGA KWA WATU WEUPE
UMEKUWA NI KITU CHA KAWAIDA, NA IDADI YAO YA KUZALIANA SIYO KUBWA
UKILINGANISHA NA WATU WA MATAIFA MENGINE, HII NI KUTOKANA NA ELIMU YA
UZAZI WA MPANGO KUWASAMBARATISHA MAPEMA PAMOJA NA MAMBO YA HAKI ZA
WANAWAKE NA WATOTO, HIVYO KWAO KUZAA SIYO ISHU KUBWA SANA, LAKINI WATU
WEUSI NA MATAIFA MENGINE, WAKO VIZURI, PAMOJA NA UMASIKINI NA NJAA
LAKINI IDADI YAO YA WATU INAKUWA KILA UCHAO, SERA ZA UTOAJI MIMBA, UZAZI
WA MPANGO ZINAHITAJI USAIDIZI KUFIKIA MALENGO, USHOGA UKAONEKANA
UNAWEZA KUSAIDIA, SASA UNAINGIZA KWA KASI KUPITIA WASANII WETU WENYEWE,
WATU WEUSI, NA VIONGOZI WETU WA NCHI WANALAZIMISHWA KUPITISHA NA
KUKUBALINA NA SERA HIZO AMA SIVYO TUTANYIMWA MISAADA. HIVYO PAMOJA NA
KWAMBA USHOGA UNACHANGIA KUONGEZEKA KWA KILE KINACHO FAHAMIKA KAMA
NEGATIVE ENERGY KWENYE UWANDA WETU HUU WA 3D AMBAYO NI HATUA MUHIMU
KATIKA KUMTENGENISHA BINADAM NA MUUMBA WAKE, BINADAM NA MAZINGIRA YAKE
ASILIA NA KUWEKA MAZINGIRA MAZURI YA MPINGA KRISTO KUTOKEA, LAKINI PIA
INASAIDIA KUPUNGUZA IDADI YA WATU, SABABU MASHOGA HAWATO ZAA, ILA
WATAPORA WATOTO WA WATU WENGINE NA KUWAFUNDISHA USHOGA!!!!!!!!!!!
Ajenda ni
ile ile, akili yako inatakiwa ukubali ni sawa mwanamke kuwa kama mwanaume, na
ni sawa mwanaume kuwa kama mwanamke, iwe ni kimavazi, kuonge kiutendaji au
kivyovyote vile, ni sawa, akili yako lazima ifikishwe hapo kwanza ili baadae
ukiona mwanaume anafanya usodoma na ugomora uone kuwa ni sawa hivyo.
Kama
ambavyo unaona ni sawa mwanaume kutoga masikio leo, ni sawa kuvaa sketi, ni
sawa kusuka, basi hata kulawitiwa pia ni sawa.
IS HE OR SHE?
Ili ufike
hapo kazi za sanaa na wasanii wenyewe lazima zitumike kulaanisha ugumu wako wa ‘kuelewa’
na kubadilisha mtazamo wako kama tunavyo ona sasa.
4.
MAISHA BINAFSI YA WASANII
Ni kitu
gani mtu anakifanya ndani kwake au kokote akiwa haonekani na yeyote, hayo ni
maisha binfsi ya muhusika, na hata kidogo hayahitaji uyafuatilie, kama wanavyo
sema wenyewe, ‘Everyone has got h/her own skeloton’. Dhambi unayo ifanya
chumbani kwako mwenyewe, ni yako wewe na Mungu wako.
Lakini dhambi hii inayofanywa usiku au mchana pasina watu kujua, halafu kwa makusudi mazima inaletwa hadharani kila mtu aiyone, hii inakuwa ni shida, na madhara ya dhambi hii kupitia kwa jamii lazima muhusika atawajibishwa mbele ya Mola wake. Sababu amechochea wengine kufanya hivyo.
Wasanii wengi
wanao jihusisha na mambo ya ushoga wamekuwa wakijitangaza waziwazi kwenye
maisha halisi, ukiacha na yale ya usaniii. Lengo lake hili ni kuwapa nguvu
mashoga wengine ambao bado wako njia panda ya uovu wao huo kuwa wasiogope
kujitangaza, mbona flani na flani ni wenzetu na wanajitangaza hadharani waziwazi? Lakini dhambi hii inayofanywa usiku au mchana pasina watu kujua, halafu kwa makusudi mazima inaletwa hadharani kila mtu aiyone, hii inakuwa ni shida, na madhara ya dhambi hii kupitia kwa jamii lazima muhusika atawajibishwa mbele ya Mola wake. Sababu amechochea wengine kufanya hivyo.
BIRDMAN ALIPOHOJIWA JUU YA KUMPIGA BUSU LA
MDOMONI LL'L WYNE, HAKUJUTIA, HAKUSEMA NI BAHATI MBAYA, BALI ALISEMA HUO
NDIYO MCHEZO WAO KWA SASA (THIS IS HOW WE ROLE NOW) KISHA AKASEMA
ATARUDIA TENA, NA TENA.
PUFF NA RICK, JE PICHA HII INASEMA MANENO AMBAYO HATUYATAMBUI? TIZAMA PICHA INAYO FUATA.
JE INAYO TOFAUTI NA ILE YA BIRD NA LL'L WINE?
HIVI NDIVYO MWANAUME ANAVYO CHEZA NA MWANUME MWENZAKE?
PICHA HII YA DRAKE IPO SAWA? JE PICHA INAYOFUATA?
MCHEZO NAO UFANYA DRAKE NI MCHEZO UNAO WEZWA KUFANYWA NA MWANAUME YEYOTE WA KAWAIDA?
ALIKUWA MWANAMICHEZO WA KIUME MAREKANI
NA MEDALI KADHAA ALISHINDA.
MKE PIA ALIKUWA NAYE.
WATOTO WA KUTOSHA ALIPATA.
MAAJABU YA KATOKEA, AKAANZA KUJINASIBISHA NA JINSIA YA KIKE NA KUANAZA KUJIONA YEYE NI MWANAMKE.
AKAFANYA UPASUAJI NA KUBADILISHA USO NA SEHEMU ZINGINE ZA MWILI WAKE AONEKANE YEYE NI MWANAMKE NA MAVAZI AKABADILISHA.
ANAJITAMBUA KWAMBA YEYE NI MWANAMKE SIYO MWANAUME TENA.
MTIZAME HAPO, SI MWANUME TENA. USHOGA
UMEFANYWA NI LIFE STYLE. ALISHAOWA, KAPATA WATOTO WANNE, NA MIAKA MINGI
BAADAE AKAGUNDUA KWAMBA ANACHO 'KINASABA' CHA USHOGA. JAMANI HICHO NI
KINASABA AU MAAMUZI YAKE MWENYEWE? NA UTAONA MASHOGA WENGI WALIANZA
MAISHA YAO KAMA WANAUME WA KAWAIDA NA WAKAFANYA NGONO NA WANAWAKE NA
HATA KUPATA WATOTO KAMA TUNAVYO MUONA HUYU, HALAFU BAADAE WANATULETEA
HADITHI ZA DARWIN. HUYU ANAWEZA AKAMUOA MWANAMKE SABABU YEYE
ANATAMBULIWA KAMA MWANAMKE, KISHA AKIMPA MIMBA MWANAMKE HUYO UTASIKIA
'MIRACLE' MASHOGA WAMEWEZA KUPATA MTOTO. UPUUUZI MTUPU.
HUYU NI MTOTO WA KIUME. LAKINI TANGU AKIWA
MDOGO KAMA UNAVYO ONA HAPO WAZAZI WAKE KWA SABABU WANAZOZIJUA WAO,
WALIAANZA KUMVALISHA MAVAZI YA KIKE.
GAUNI WAKAMNUNULIA NA POCHI WAKAMPATIA PIA, HATA VIATU WAKAMPATIA VYA JINSIA YA KIKE.
MATOKEO YAKE AKAWA HIVI.
MUME PIA AKAPATA, INGAWA YEYE PIA NI MWANAUME.
UN NAKO AKAALIKWA KUKUTANA NA BAN KI MOON
NA VIONGOZI WENGINE WA KIDUNIA ILIWA TAMBUE UWEPO WAKE, NA WATAMBUE
UWEPO WA MASHOGA WENGINE KATIKA NCHI WANAZO TOKA ILI WAWAPE HESHIMA KAMA
SHOGA HUYU ANAVYO PEWA HESHIMA MBELE YAO.
ILIMRADI NI KUFANYIWA KILA AINA YA PROPAGANDA ILI WATU WAONE NA TARATIBU WAANZA KULIKUBALI HILO.
Majina makubwa kwenye uliwengu wa sanaa yamejiweka hadharani kuwa wao wanashiriki ushoga na usodoma na gomora.
HUYO NI JOHN TRAVOLTA, WAPENZI WA FILAM
LAZIMA MNAMFAHA HUYU, NA HAPA ANAANIKA UOZO WAKE KWA MASHABIKI WAKE
WAONE KUWA YEYE NI NANI? JE WATAMFUATA MPAKA HUKO?
TILL NEXT TIME TCHAOOO, TUKUTANE HAPA HAPA KWA POSTI ZINGINE MOTO MOTO .... WAALIKE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI ..
No comments:
Post a Comment