Siku za mwanamke kupata ujauzito
Kwa ufupi
- Swali: Mimi ni binti wa
miaka 21 ambaye ninapata siku zangu kila tarehe 15 ya kila mwezi.
Nimekuwa nikitumia njia ya kalenda katika kujiepusha na mimba
zisizotarajiwa.
- Jibu: Asante kwa swali hilo
kwani mojawapo ya swali ninaloulizwa mara kwa mara na wasomaji wengi.
Wapo niliowasiliana nao na kuonyesha kutofahamu vizuri ni siku zipi
ambazo ni za hatari au kwa namna nyingi zile siku ambazo ni zakuweza
kupata ujauzito.
No comments:
Post a Comment