RAIS. DKT JOHN POMBE MAGUFULI, APOKEA SHILINGI BILIONI 12 YA BAKAA YA KUTOKA TUME YA UCHAGUZI (NEC) JUNE 7,2016 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Leave a reply
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw. Ramadhani Kailima Kobwey wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva wakati akitoa taarifa ya namna Tume ya Uchaguzi ilivyookoa kiasi cha shilingi Bilioni 12 zilizopangwa kutumika katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kobwey baada ya kupokea bakaa ya Bilioni 12 zilizopangwa kutumika na Tume ya Uchaguzi katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015 ikulu jijini dar ea salaam