Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole
Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Kidemokrasia ya Sahrawi Brahim Salem
Buseif kufatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya kidemokrasia ya
Sahrawi Mohamed Abdelaziz. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini
kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya
Kidemokrasia ya Sahrawi kufuatia kifo cha Raisi wa nchi hiyo Mohamed
Abdelaziz pembeni ni Balozi Brahim Salem Buseif Jamhuri ya Kiarabu ya
kidemokrasia ya Sahrawi nchini Tanzania, June 6, 2016 Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Kidemokrasia ya Sahrawi Brahim Salem
Buseif baada ya kusaaini kitabu cha maombolezo kufatia kifo cha Rais wa
Jamhuri ya Kiarabu ya kidemokrasia ya Sahrawi Mohamed Abdelaziz katika
ubalozi huo uliopo mikocheni jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha pamoja na kuzungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa
mambo ya nje wa Ubelgiji Didier Reynders Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha pamoja na kuzungumza na Balozi wa Marekani hapa nchini
Mark Childress Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia hapa nchini
anayemaliza muda wake Luigi Scotto Ikulu jijini Dar es Salaam Balozi
huyo alikuja kumuaga Rais Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Italia hapa nchini anayemaliza muda wake Luigi Scotto Ikulu
jijini Dar es Salaam.