Saturday, June 11, 2016

LINDI YASHINDA TUZO YA WHITLEY AWARD NCHINI UINGEREZA.....

LINDI YASHINDA TUZO YA WHITLEY AWARD NCHINI UINGEREZA

New Picture (10)Mkurugenzi wa Shirika la Kuhifadhi Mpingo Lenye Makao makuu yake wilayani Kilwa Mkoani Lindi,Jasper Makala(Kulia)akiwa na Mwana wa Malikia Princess Anne mara Baada ya Kumkabidhi Tuzo ya Kimataifa ya Utunzaji wa Mazingira Duniani(Whitley Award Mara Baada ya kuibuka Mshindi wa Kwanza katika Washiriki 7 Toka Nchi Mbali mbali
Tuzo hii inathamani ya poundi za kiingereza 35,000 sawa na shilingi 105,000,000  Pesa hizo zitasaidia kukiwezesha Kijiji cha Namatewa Wilayani Kilwa kuanza mchakato wa Kumilikishwa na kunufaika na Msitu wao wa Kijiji.
LND1Mkurugenzi wa MCDI,Jasper Makala Akikabidhi Tuzo yake kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Godfrey Zambi kwa Heshima ya Mkoa huo,Makabidhiano hayo yamefanyika katika warsha ya Kujadili Mgawanyo wa Mipaka kati ya Kijiji cha Nanjirinji Wilayani Kilwa na Mirui ya Wilayani Liwale katika Mkoa wa Lindi
LND2Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Godfrey Zambi akiwa katika Picha ya Pamoja na Jasper Makala na Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya za Mkoa Huo
LND3Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale,Gaudence Nyamwihura ,Mkuu wa Wilaya ya Liwale,Ephraim Mmbaga,Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa,Mariam Mtima,Jasper Makala,Pololeti Mgema,Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea na Nicholas Kombe,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa wakishikilia kwa pamoja Tuzo iliyopokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi
LND4Mkuu wa Wilaya ya Liwale,Ephraim Mmbaga Akitoa Shukran kwa Niaba ya wakuu wa Wilaya na Wananchi wa Mkoa wa Lindi kufuatia Mkoa Huo Kushinda Tuzo hiyo iliyotolewa na Mwana wa Mfalme wa Uingereza kwa Jasper Makala wa Shirika la Kuhifadhi Mpingo Wilayani Kilwa na Kusaidia Mkoa Huo Kuhifadhi Misitu na Utawala Bora wa Vijiji vyenye Misitu
LND5Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea,Pololeti Mgema pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Bi Mariam Mtima Wakichuhudia Zoezi la La Mkuu Wa Mkoa kupokea Tuzo ya Whitley Award
LND6Mkuu wa Mkoa wa Lindi aliongea na Wadau mbalimbali wa Misitu wakiwemo,Wakuu wa Wilaya,Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri waliohudhuria Hafla Hiyo(Hawapo Pichani)kushito ni Jasper Makala,Mkurugenzi MCDI.

MAJALIWA AONGOZA MATEMBEZI YA BOT

MAT1Bendi ya Poli ikiongoza matembezi  ya kuchangia madawati ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Benki kuu ya Tanzania. Matembezi hayo yalianzia Benki Kuu hadi viwanaj vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Juni 11, 2016.Zaidi ya shilingi263 milioni zilichangwa(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MAT2Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza matembezi ya kuchangia madawati ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Benki kuu ya Tanzania. Matembezi hayo yalianzia Benki Kuu ha viwanaj vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Juni 11, 2016.Kushoto kwake ni Gavana wa Benki Kuu, Benno Ndulu na kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. Zaidi ya shilingi milioni 262 zilichangwa.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
MAT3Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  baada ya kuongoza  matembezi ya kuchangia madawati ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Benki kuu ya Tanzania. Matembezi hayo yalianzia Benki Kuu hadi viwanaj vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Juni 11, 2016. Zaidi ya shilingi milioni 263 zilichangwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MAT4MAT5

No comments:

Post a Comment