Tuesday, June 30, 2015

KATIBU MKUU UTUMISHI GEORGE YAMBESI ASTAAFU UTUMISHI WA UMMA

KATIBU MKUU UTUMISHI GEORGE YAMBESI ASTAAFU UTUMISHI WA UMMA

 Katibu Mkuu Utumishi Bw.George D. Yambesi (kushoto) akikabidhi ofisi kwa Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw. Hab Mkwizu baada ya kustaafu Utumishi wa Umma.Makabidhiano hayo yamefanyika ofisini kwake.Katibu Mkuu -Utumishi Bw. George D. Yambesi (katikati) akipongezwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu Bw. Aloyce Msigwa, (kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Hab Mkwizu. Bw. Yambesi amestaafu Utumishi wa Umma.

No comments:

Post a Comment